Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Umeridhika na msaada wa wali mkuu?Waislam wapewe msaada wa chombo cha kuangalia anga za mbali, ili waone mwezi ukiandama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeridhika na msaada wa wali mkuu?Waislam wapewe msaada wa chombo cha kuangalia anga za mbali, ili waone mwezi ukiandama
Huo mchele wa mbeya ni ghali na watu hawana pesa ndio maana wanautaka huo wa bure !Wewe mleta mada ni MWONGO. Mimi ni mkristo lakini katika hili NAUNGANA na hao waislam. Tutapewaje chakula ambacho tunacho? Kule Mbeya kuna mcheke mwingi. Nyuma y msaada huu kuna AJENDA YA SIRI. Hizi NGO lazima ziwe controlled.
Si suport nchi yetu kupokea misaada hasa ya vyakula kutoka nje ila huu mchele usitumike kama ndio kichaka cha kila mtu kujifanya amechukizwa na kumpangia mtu kipi akusaidie kipi asikusaidie. Watu weusi sisi tuna maajabu mengi sana Mbona hao hao wamerekani wanatusaidia madawa tunapokea? Kifupi ni kwamba kama sisi hatutaki huo mchele tukawauzie wafuga kuku kisha tupate cash tukanunue hizo ambulace kwani tatizo lipo wapi?
Mbona ARV na Vyandarua hatuhoji?Kwanini hatuletewi msaada wa ndege za abiria tunaletewa wali tu? Tena uliorutubishwa?
Mtaweza kulipia nauli za ndege au mtataka mpewe na msaada wa nauli za ndege??Kwanini hatuletewi msaada wa ndege za abiria tunaletewa wali tu? Tena uliorutubishwa?
That is mine, speak out yoursSo, these are the kinds of contents that fill your mind.
Mkuu tunaongelea ishu ya wanawake kuzuiwa kwenda shule. Mbona unaingiza hoja ya usomi tena? Jibu swali kama lilivyoulizwa usijibu nje ya key.Nani kakudanganya,hizo nchi ndio zina wasomi wanawake kuliko hata nchi xozote duniani.Kama hutembei duniani,hata Google,unashindwa kuingia.Chuo kikuu cha kwanza duniani,kilianzishwa na mwanamke wa kiislamu.Ingia Google uone,na hicho chuo kiko mpaka leo.
Mbona wao walitetea mkataba hovyo wa bandari? Nasemaje, nasemaje, walete mchelee huo tuleeSakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.
Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.
MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.
Nawasilisha.
Swali kuntu sana hiliHao waisilamu ARV hawatumii pia?
Msaada ni kitu ambacho hakitolewi masharti na mpokeaji mkuu. Kama uwezo wangu ni wa kukupa wali huwezi kunilzamisha nikununulie ndege. Hakuna kitu kama hicho.Kwanini hatuletewi msaada wa ndege za abiria tunaletewa wali tu? Tena uliorutubishwa?
Bado maamuma mpo kumbe? Yani kuzaliwa mshamba kazi kweli. Msaliti yupo analiwa na funza huko. Bwawa la umeme gani wakati mgao bado upon? Alafu umeme wa maji sio WA muda mrefu!! Elewa.R.I.P Magufuli
Sasa tunaletewa vitu vya kijinga badala ya kuletewa vitu vya maendeleo kwa nchi yetu.
Ni wamarekani hawahawa kwa kumtumia mamluki Tundu Lisu wanayemsomeshea watoto wake walipinga ujenzi wa bwawa la umeme alafu wanajifanya wanatupenda sana kutuletea mchele!!
Hawa jamaa si wanafiki...nawakubali kwa misimamo.Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.
Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.
MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.
Nawasilisha.
Porojo za uswahilini hizi.Kitasaidia kwa kiasi fulani kwenye maeneo yaliyobainika kuathirika zaidi na Changamoto hiyo wakati Taifa au Wazazi husika wanajipanga kuona ni kwa namna gani Tatizo/Changamoto ya Utapiamlo uliokithiri kwa watoto mashuleni litashughulikiwa na kuondoshwa kabisa.
Je, unataka watoto waendelee kusoma huku wana njaa? Nadhani wamevumilia sana vya kutosha kusoma kipindi ambapo chakula hakikwepo.
Mchele haujaletwa kama mwarobaini wa kumaliza uwepo wa Division zero.
Je, ww (kama ulipitia huko) ulipata division gani kwa sababu hukuula mchele wa Marekani?
Hivi kwani marekani hakuna waislam? Naomba kueleweshwaaSakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.
Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.
MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.
Nawasilisha.
Kuna vitu vingi ninawapingaga radio imani! Kwa hili niko pamoja nao 100% Hao mashetani ya mangaribi yana mbinu nyingi sana za kutumaliza! Pale tutakapoweza tupinge kwa nguvu zote! Hivyo viNGO vinavyojipendekeza kwa hao viangaliwe kwa jicho la tatu.Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.
Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.
MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.
Nawasilisha.
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.
Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.
MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.
Nawasilisha.
Ni sheeedah sana...Hao waisilamu ARV hawatumii pia?
True.Tukatae vyote tu VYA Marekani na Uarabuni.Kama ilivyo aibu kuletewa vyakula, hata hayo magari, ndege iwe aibu kuomba na kupewa kama msaada huku tuna kila rasilimali ya kununua hivyo.
R.I.P Magufuli