Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

Ipp haina watu makini, ukimaanisha wafanyakazi au waajiriwa?
Muajiriwa ana ubavu wa kushindana na mwenye hisa kwenye kampuni?
 
Yule Mutie si wanasema alikuwa na mtoto?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 

Angalau umemjibu!!mimi uwa nayazarau majitu majinga,yanayojifanya yanajua kumbe hayajui chochote.
 
Unajua ada ya IST Mkuu kwa mtoto mmoja ? Na Abdiel alilipa .Nenda kaulize shuleni ndio uje tuongee kwa facts na kumlaumu Abdiel kyln aliwatoa kwenda Dubai kwa faida ya nani na gharama ya nani
Kwenye mijadala ya Jack na Mengi unakua kimbele front kweli, mlishare nini na huyo Jack hadi unamchukia namna hiyo?

I'm curious.
 
Kwenye mijadala ya Jack na Mengi unakua kimbele front kweli, mlishare nini na huyo Jack hadi unamchukia namna hiyo?

I'm curious.

Kumbe hata wewe umeliona hili.

Mada za mengi na jack huwa anatawala yeye tu tena upande wa kumponda jack na watoto wake
 
Kwenye mijadala ya Jack na Mengi unakua kimbele front kweli, mlishare nini na huyo Jack hadi unamchukia namna hiyo?

I'm curious.
Nimpende nimemzaa , sipendi matapeli na dhulmati Mimi kama imekuuma saga chupa unywe hapa ni mwendo wa facts
 
Kumbe hata wewe umeliona hili.

Mada za mengi na jack huwa anatawala yeye tu tena upande wa kumponda jack na watoto wake
Komaaaa tusipangiane maïsha nimpende nani nisimpende haikuusu tawala na wewe na facts basi kama inakuuma
 
Sasa mkuu kwa umri ule wa Jack unataka asipate kumbatio jipya, halafu ni sheria gani inayomkataza mjane asiishi mahali popote Duniani zaidi ya Nchi yake

Sawa Kama amepata mume, basi hana budi kuwarudisha watoto kwao kwa ndugu wa mumewe ambao sina shaka watatunzwa kama baba yao alipokuwa hai kwani wana uwezo tuo.
 
Kwenye mijadala ya Jack na Mengi unakua kimbele front kweli, mlishare nini na huyo Jack hadi unamchukia namna hiyo?

I'm curious.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah mumeeh mmmh.
 
Mengi alimuoa kwa sababu alitaka kuhalalisha ngono na kukwepa kudandia wanawake hovyo. Kimada siyo halali yako na wala huna mamlaka juu yake lakini mke ni wako!
Uhalalishe ngono kwa nani wakati hakuna anaewajua kwamba mnafanya hiyo ngono? Udandie wanawake wa hovyo kwanini wakati una kimada wako umemuweka ndani? Mamlaka hutokana na wajibu, ukiwajibika ipasavyo kwa kimada wako basi automatically unapata mamlaka, mfano ulipe kodi ya nyumba, tayari una mamlaka naye.
 
Hapa tatizo lipo kwenye mission wakati wanaoana au kuwa wapenzi mission yao ilikua ipi

Kosa kubwa k-lyne aliingia tu na mission akawa anafanya mengi pekeake k-lyne akibaki na mission yakuvizia mzee akifa ndohaya tuonavyo
 
Mkuu embu weka akili yako sawa sawa sifa ya biashara ya familia ni kupokezana kijiti lazima awepo mmoja aliyetafuta mtaji ili wengine wauwendeleze mfano GSM, metl, motisum, azam, murzah na kuendelea tatizo lipo kwa ngozi nyeusi na dada zetu wasioweza kujiongeza kwa kuamini papa lake litamlea milele
 
Nimpende nimemzaa , sipendi matapeli na dhulmati Mimi kama imekuuma saga chupa unywe hapa ni mwendo wa facts
Seriously upo so desperate hadi unatia huruma,
Woman, you need help, Mengi ameshafariki na Jack ni mjane halali kabisa wa Mengi zaidi ana Watoto wawili na Marehemu hana budi kupigania Usawa wa Watoto wake,

Facts zako haziwezi kubadili hilo.
 
Jacquliene vipi umekuja kupambana huku
 
Kimada ni kimada na mke ni mke!
Mke ana utambulisho wako lakini kimada ana utambulisho wa wazazi wake!
 
Seriously upo so desperate hadi unatia huruma,
Woman, you need help, Mengi ameshafariki na Jack ni mjane halali kabisa wa Mengi zaidi ana Watoto wawili na Marehemu hana budi kupigania Usawa wa Watoto wake,

Facts zako haziwezi kubadili hilo.


Sasa wewe mwenye facts za kubadili hili Nenda kampe Mali zote za Mr and Mrs Mercy Mengi 😿😿😿nyie mnaemdanganya atunishiane misuri na wenye share kubwa .’mnamfanya mjane mdangaji anajikuta mkubwa kama mbingu na hatoboi unaamishaje watoto kwenda Dubai kisa umepata bwana mzungu bila kushirikishandugu zao,hili hela hisilipwe direct shule na IPP ingie kwenye account ya kyln apige watoto awasomeshe maswekeni Dubai huko

Kama mnampenda mshaulini vizuri haache wizi akae na hiyo familia wamalize tofauti zao apewe fungu lake

Desperate Ninasomesha 2 boys IST na one girl Dar Braeburn , ninaishi Oysterbay kwenye mansion yangu sijapanga, nina apartment za kutosha kukuweka bure kabisa wewe na waume zako nina tender nyingi za serikali , na watu binafsi . Wewe ndio upo desperate unadhani akipata hela ya dhulma atakupa labda hela ya kununua vitz 😹😹😹😹😹
 
Akili zangu mbili zinanikumbusha kuwa kwenye Shauri la Mirathi No. 39 la mwaka 2019 Jaji Mlyambina aliwateua Abdiel Mengi na Benjamin Mengi kuwa wasimamizi wa Mirathi wa mali za Marehemu Dkt. Reg. Mengi na kutupilia mbali WOSIA wa mchongo wa MDANGAJI K-Lyn anayeshauriwa aachane na kupambania MALI zisizomhusu atafute SPONSOR mwingine wa kumlaghai.....

Usela mavi wanikumbusha kuwa "Share" na "Matunzo" ni vitu viwili tofauti.. Outcome ya kesi ni muda utaamua na wala hazitegemei hisia za huruma.
 
We endelea kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…