Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Huyu mwanamke si alishakata rufaa juu ya usimamizi wa mirathi wa hao uliofanywa na Mahakama Kuu? Rufaa haijasikilizwa tena anapandishia kesi nyingine? Ameanza kupoteana mapema sana
Na bado!
Hili liwe fundisho kwa wadangaji wote
 
Hao ndugu wa Mengi wanazingua. Watoto wa jacky na Mengi ni ndugu zao pia.

Why utata uwe mkubwa hivi.

Hapo ndipo napoipendea dini ya kiislam. Mahakama isingepata shida kugawa mali ingesoma taratibu za kwenye msaafu tu.
Kwann aliwahamisha shule hapa bongo?
Hana akili huyu mwanamke!
 
Kiasi gani cha pesa alikuwa anataka kwa ajili ya matumizi ya watoto alikuwa anataka kwa mwezi ?isije ikawa mamilion ya hela

Ova


Mzee Mengi alikua anampa over 50Million kwa mwezi hata kwa kwenda kukopa bank , ukiacha biashara alizomfungulia na school fees za watoto weka pembeni holiday first class return ticket kokote duniani hayo maisha ya kuchezea hela anatakiwa kukubali hayawezekani tena

Hawawezi kukubali Kukaa na madeni kumfurahisha mchepuko wa baba watafanya vya muhimu meals , accommodation, Education, Holiday Mara mbili kwa mwaka sio zile za kila week alikua anasafiri for shopping
 
Hii ndo nasikia leo, nijuavyo hakuna sheria ya mirathi ya kikristo, hivyo sheria haijaweka limit mwanaume mwisho awe na wake wangapi,,
 
amejibu msimamizi ambae ni rafiki wa mpakanjia

Hii ndo nasikia leo, nijuavyo hakuna sheria ya mirathi ya kikristo, hivyo sheria haijaweka limit mwanaume mwisho awe na wake wangapi,,

Watu wanachanganya imani zao, sheria za ndoa zinavyosema, na pia wanachanganya na wivu binafsi kwa wanufaika wa hizo mali za marehemu.

Ukiwauliza Sheria gani ya ndoa inamkataa k lyn kama sio mke halali wa mengi? Wanakuwa wakali bila majibu
 
Si ndo hapo?
Ila we unatumia emotion zaidi kujadili hili,, sheria haisemi eti mtu asiolewe na mtu ambae kishachuma pesa,,, hata nchi zilizoendelea, ukifunga ndoa na mtu, hiyo ndoa ni halali hata mme au mke afe dakika moja baada ya kufunga ndoa mjane ana haki ya kurithi mali
 
Hili swali aliulizwaga umewahi ona divorce ya mumeo na Mercy akajibu hapana[emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Janja janja mahakamani hakuna.
 
Kweli kabisa ,inabidi aache maisha ya kujirusha
Atulie abuni mradi wa kumuingizia pesa
Atulie afanye kazi
Huu siyo wakati wa kudangadanga

Ova
 
Akishia kufungua kiduka chake fake Cha furniture kinauza ofisi chair moja sh.1.2 m...sijui hata alikuwa anawaza nini yaani!
 
Mwenyewe akaishia kumfungua duka la furniture ofisi chair moja inauzwa 1.2…..Sijiu hata alikuwa anawa nini huyu dada
 
I think ,kabla hujani quote ungerudi nyuma uangalie niliyem-quote aliandika nn na mi nikajibu! Anyway!

Btw unaongelea sheria ipi?
Ina maana huko mahakamani kote alikoshindwa hawazijui sheria?
Kwamba hiyo ndoa yake halali anashindwaje ss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…