Hata iyo million arobaini too much ni kama private high school EnglandWakasomee Dubai ili iwejeπ watasoma IST hapo hapo Dar! Shule za ada Million 40 kwa mwaka zipo yeye anataka mtoto akasomeshwe kwenye ada za million 300 kwa mwaka? Huyu mjane vipi aisee?
Uko too emotional, huwezi jadili kwa haki hii ishu..HAkuna mtu mwenye wivu , majority ya Watanzania ni watu wenye kupenda kusimamia upande wa Haki
Na Mimi ni mmoja wao tunasimamia upande wa wenye haki , huo ujambazi akafanyie kwao Burundi
Anadhani kwa Kua jiwe amefariki Basi mahakamani hakuna haki na atapindua meza hakuna kitu kama hiko
Duh,, [emoji44]Huyu huyu Shilole alikuwa akicheza utupu ubelgiji na kagame?View attachment 2110664
Proved mrangi Victoire Sky Eclat Jestkilla zitto junior King Kong III
Ile ndoa ilikuwa ya mchongo wala mzee alikuwa hajitambuwiHii ndiyo sababu ya watoto wa Mengi kunyimwa haki yao ya mali?
Teh teh teh πππ huyo si PK bhana teh teh teh πππHuyu huyu Shilole alikuwa akicheza utupu ubelgiji na kagame?View attachment 2110664
Proved mrangi Victoire Sky Eclat Jestkilla zitto junior King Kong III
Ni mjinga yule Dada period na nilihisi tuuu....sidhani km kina Mengi wanaweza wasihudumie wale watoto..sema demu akifanya masihara atakosa vyote!Nimekujibu mkuu, huyo dem fala kweli kawatoa watoto Internationsl School Of Tanganyika kawapeleka Dubai kwa Mwanaume wake Mpya na hile familia bado inalipa schoolfees huko dubai anataka audumiwe yeye na mzungu wake , umeona wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mpuuzi yule Dada kumbeeeHata asome shule gani Dubai , hakuna shule ya kufikia IST kwa gharama na wana familia wana uwezo wa kulipa, hiyo ni janja janja ya huyo gold digger kutaka kusumbua ile familia
Aseeehhhhh....kumbe dem zero ubongooMzee Mengi alikua anampa over 50Million kwa mwezi hata kwa kwenda kukopa bank , ukiacha biashara alizomfungulia na school fees za watoto weka pembeni holiday first class return ticket kokote duniani hayo maisha ya kuchezea hela anatakiwa kukubali hayawezekani tena
Hawawezi kukubali Kukaa na madeni kumfurahisha mchepuko wa baba watafanya vya muhimu meals , accommodation, Education, Holiday Mara mbili kwa mwaka sio zile za kila week alikua anasafiri for shopping
Ni Jinga kabisaaa kweli International schools zote world wide za British Curriculum wanaanza mwaka mpya august na kumalizia June -July , wale watoto wameenda Dubai shule last year wakalipiwa na ndugu zao kwa hiyo hata muhula wa kwanza haujaisha analia hajalipiwa school fees , halafu anavyotaka kuwaamisha amisha ana disturb akili za watotoNi mjinga yule Dada period na nilihisi tuuu....sidhani km kina Mengi wanaweza wasihudumie wale watoto..sema demu akifanya masihara atakosa vyote!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Yaani hata sijui aliwaza nini Yule dada...hakuwa serious...Kenta lingejaa na chenchi ingerudiAiseee hata Mimi nilishangaa kama wewe Aiseee
Yaani office chair 1.2 million halafu mchina hahahahahah si Bora niende keko fenicha nikazoe kenta nzima kitu og?
Real Estate ni nini, nyumba ya kupangisha ?Ndio akili za mwanamke mjinga, kipindi kile anaspend kwenye mahotel luxury Dubei pesa angaitumia kuiwekeza kwenye
real Estate Leo asingebaki analialia,
Ndio Ndio sio nyumba tu Bali ni Luxury apartment kamanda yaani hapo Kodi bei ya chini ni laki nane hivi Kwa mwezi mapka million Moja na kuendeleaReal Estate ni nini, nyumba ya kupangisha ?
Chai mujarabu hii yaani watoto wakose huduma?Halii yeye wanalia watoto kwa kukosa huduma
Mimi sio hakimu. Maha kama itaamuaAnataki haki za watoto wa Mengi
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji119]kwa kweliKwani show room yake haiingizi pesa tena au mbao za kutengenezea samani hazipatikani? Kama imekufa basi biashara nyingi za wanawake ni za mchongo
Akili kisoda yy aliwaza leoZile hela alizokuwa ananunua designer handbags, shoes, clothes, sunglasses etc etc angeziweka kwenye call account tu angekuwa mbali...
Halafu badalabya kuhangaika na kampuni ya kuchonga mbao angemshurutisha babu fedha ampe awekeze kwenye real estates saa hii angekuwa anakula kodi tu
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi!!!!!!
Ukishaolewa mke wa pili...(haswa kama ndoa yenyewe unajua ya magumashi) ambapo umekuta mali..... unatakiwa ujae kwa akili!!!!
Kwani alichuma yeye ili zimtoe roho? Dhulma mbayaDoooh! Mwanamke mwenzio unamkandamiza hivyo?
The law of Marriage act ,Watu wanachanganya imani zao, sheria za ndoa zinavyosema, na pia wanachanganya na wivu binafsi kwa wanufaika wa hizo mali za marehemu.
Ukiwauliza Sheria gani ya ndoa inamkataa k lyn kama sio mke halali wa mengi? Wanakuwa wakali bila majibu