Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Wakasomee Dubai ili iweje😅 watasoma IST hapo hapo Dar! Shule za ada Million 40 kwa mwaka zipo yeye anataka mtoto akasomeshwe kwenye ada za million 300 kwa mwaka? Huyu mjane vipi aisee?
Hata iyo million arobaini too much ni kama private high school England
 
HAkuna mtu mwenye wivu , majority ya Watanzania ni watu wenye kupenda kusimamia upande wa Haki

Na Mimi ni mmoja wao tunasimamia upande wa wenye haki , huo ujambazi akafanyie kwao Burundi

Anadhani kwa Kua jiwe amefariki Basi mahakamani hakuna haki na atapindua meza hakuna kitu kama hiko
Uko too emotional, huwezi jadili kwa haki hii ishu..
 
Nimekujibu mkuu, huyo dem fala kweli kawatoa watoto Internationsl School Of Tanganyika kawapeleka Dubai kwa Mwanaume wake Mpya na hile familia bado inalipa schoolfees huko dubai anataka audumiwe yeye na mzungu wake , umeona wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni mjinga yule Dada period na nilihisi tuuu....sidhani km kina Mengi wanaweza wasihudumie wale watoto..sema demu akifanya masihara atakosa vyote!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mzee Mengi alikua anampa over 50Million kwa mwezi hata kwa kwenda kukopa bank , ukiacha biashara alizomfungulia na school fees za watoto weka pembeni holiday first class return ticket kokote duniani hayo maisha ya kuchezea hela anatakiwa kukubali hayawezekani tena

Hawawezi kukubali Kukaa na madeni kumfurahisha mchepuko wa baba watafanya vya muhimu meals , accommodation, Education, Holiday Mara mbili kwa mwaka sio zile za kila week alikua anasafiri for shopping
Aseeehhhhh....kumbe dem zero ubongoo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Ni mjinga yule Dada period na nilihisi tuuu....sidhani km kina Mengi wanaweza wasihudumie wale watoto..sema demu akifanya masihara atakosa vyote!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ni Jinga kabisaaa kweli International schools zote world wide za British Curriculum wanaanza mwaka mpya august na kumalizia June -July , wale watoto wameenda Dubai shule last year wakalipiwa na ndugu zao kwa hiyo hata muhula wa kwanza haujaisha analia hajalipiwa school fees , halafu anavyotaka kuwaamisha amisha ana disturb akili za watoto
 
Aiseee hata Mimi nilishangaa kama wewe Aiseee
Yaani office chair 1.2 million halafu mchina hahahahahah si Bora niende keko fenicha nikazoe kenta nzima kitu og?
Yaani hata sijui aliwaza nini Yule dada...hakuwa serious...Kenta lingejaa na chenchi ingerudi
 
Hakuna kuwatetea wachaga roho mbaya na huyo jackline roho mbaya pia waache wauane
 
Real Estate ni nini, nyumba ya kupangisha ?
Ndio Ndio sio nyumba tu Bali ni Luxury apartment kamanda yaani hapo Kodi bei ya chini ni laki nane hivi Kwa mwezi mapka million Moja na kuendelea
Angewekeza angekua analialia?
😁😁😁
 
Halii yeye wanalia watoto kwa kukosa huduma
Chai mujarabu hii yaani watoto wakose huduma?
Na wewe unaamini huo ujinga wa KLyn?
Yule anataka apate pesa za ziada za kutanulia tu Hana lolote wale watoto matumizi Yao Kwa mwezi yawe SAWA na kiinua mgongo Cha mbunge wewe uliona wapi?
Namna Gani bwana!😁😁😁😁
 
Mjadala Umekua mrefu ukiigawa Jamii pande mbili kutokana na Jina na Umaarufu wa Mzee Mengi, Ingekua mmeambiwa Mirathi ya Mtu asie Maarufu wala msingejadili hilo...Hili suala watu wengi hamlijui..Mwisho wa siku ni lazima pande hizi mbili zikubali kukaa pamoja na kujadiliana ..Kwasababu Mahakamani the Winner takes all...Manake kinyongo na chuki haitaisha kwa njia ya Mahakama....Ndg zangu watu wa Mengi kaeni chini msuluhishane yaishe...Mitandao na magazeti na Mahakama hazitawaunganisha kama familia mtaparaganyika zaidi.

WALE mnaosema kwanini Mengi alimuoa huyu dada huo ni ufinyu wa mawazo hivi unaweza kuingilia uhuru wa mtu kupenda kweli??? yaani mpaka mnampangia mtu aoe lini na wapi ?? kama Mengi alichuma mali na mke mkubwa je MENGI kama Mengi hakua na cha kwake chochote cha kuamua atumie vipi mpaka mmseme kwanini alioa au Mkewe mdogo hasahili kula chochote cha mumewe?? acheni kuiumiza hii familia nyie hamjui ya kwao ndani wapeni nafasi wajitafakari watatue...
 
Zile hela alizokuwa ananunua designer handbags, shoes, clothes, sunglasses etc etc angeziweka kwenye call account tu angekuwa mbali...

Halafu badalabya kuhangaika na kampuni ya kuchonga mbao angemshurutisha babu fedha ampe awekeze kwenye real estates saa hii angekuwa anakula kodi tu

Kweli kwenye miti hakuna wajenzi!!!!!!


Ukishaolewa mke wa pili...(haswa kama ndoa yenyewe unajua ya magumashi) ambapo umekuta mali..... unatakiwa ujae kwa akili!!!!
Akili kisoda yy aliwaza leo
 
Watu wanachanganya imani zao, sheria za ndoa zinavyosema, na pia wanachanganya na wivu binafsi kwa wanufaika wa hizo mali za marehemu.

Ukiwauliza Sheria gani ya ndoa inamkataa k lyn kama sio mke halali wa mengi? Wanakuwa wakali bila majibu
The law of Marriage act ,

Ukifunga ndoa na mtu mwingine wakati hujatoa taraka, hiyo ndoa ni batili.
 
Back
Top Bottom