Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajaoa wala kuolewa na hawana hata watoto wa kusingiziwaHivi hao wengine hawajaoa na kuolewa?
Wamechagua maisha mazuri hawataki tabu za kulea Lea.Hawajaoa wala kuolewa na hawana hata watoto wa kusingiziwa
Anapenda mambo makubwa sidhani kwao kuna aliesoma shule nzur hivyo yeye mwenyewe kasoma kayumba na forodhaniHawajakataa kusomesha pia nafikiri anataka wasome Dubai kwenye shule za kina sheikh Khalifa Sultaani za kifalme za kiboss boss!!hapo ndo anafeli
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nani kakudanganya,hakuna tajiri anayejitambua asiyependa mrithi wa mali zake,wanakaribia miaka 50 hao,kuna kitu hakiko sawaWamechagua maisha mazuri hawataki tabu za kulea Lea.
Japo wakihitaji watoto wanaweza wapata muda wowote
Success is not sexually transmitted [emoji2]Yule alikua gold digger....kwa pesa za mengi angeweza funguliwa bonge la biashara ...angeendesha maisha bila stress
Sema akili hamna alichojua yeye ni kuvaa na anasa na rfk zake....
Funzo kwa wadada...nyapu zinalipa sponsa akiwa hai..akifa na we kwisha....
Fanyeni kaziiiiiii
Hiyo unayoongelea wewe ni ndoa za kimila na muslims hazina Limit, Mzee Mengi alikua na ndoa halali ya kanisa inayotambua mke mmoja
View attachment 2110388
View attachment 2110389
Hakuna lolote,hasa wivu wa nn Kwa jaq?
Watu wanaongea ukweli,ndio alikuwa mchepuko aliyelazimisha ndoa ili aonekane mke halali ,anachokutana nacho ndo matokeo ss!
Mi simpondi ila nasema hivi, hili somo Kwa wadangaji wote wanaodandia Mali za watu,make sure huyo danga anakufanyia kila kitu kabla hajafa ili usilete shida kwenye familia uliyoikuta!
Kwanza ningekuwa mi na hivi wanahudumia watt,ningewaachia mi naendelea na maisha yangu kuliko huu upumbavu anaofanya!
Basi tosheka na unachopewa, yaani ulipiwe ada , full accommodation, vocation bado tena huridhiki,anasahau kuwa kuna wtt wakubwa aache ujinga! Hakuna asiyejua Mali zote alizikuta hajachuma tusijitoe akili hapa!
Kwanza kawakuta wastaarabu nakwambia!
Nani kakudanganya,hakuna tajiri anayejitambua asiyependa mrithi wa mali zake,wanakaribia miaka 50 hao,kuna kitu hakiko sawa
That was a mistake.Alitakiwa kutumia jina la mzee kujenga business empire yake lakini yeye alilenga kula alivyovikuta.
Wanasema.alijilengeshaKumbe wanasoma Dubai? Hata mimi ningegoma kuwalipia ada. Haka kademu kanapenda makubwa sana. Nadhani Mengi hakukatongoza, bali kenyewe ndo kalimtongoza ili kajilimbikizie mali.
Hata ule wosia nina mashaka kaliuandika kenyewe....
Mizimu ya kwao na maagano yake huenda ndio sababu,utajiri unaambatana na majaribuMke hana ha
Hao watoto wa mengi wamemtesa sana baba yao kisaikolojia. Baba hajawai kuona mjukuu mpaka anafika 70.
Hata kama ningekuwa mimi ningezalisha binti
Maana mali zingepotea tu maana kizazi chake hakijaandaa warithi 2nd ama 3rd generations
Real estate , Treasury bonds wala asingekua anavuja jasho kwanza mzee alikuwa na maji marefu angemwekea bilioni 2 tu huko kwenye bonds miaka 25 wale madogo wangezikuta tu na zingewasomesha .Zile hela alizokuwa ananunua designer handbags, shoes, clothes, sunglasses etc etc angeziweka kwenye call account tu angekuwa mbali...
Halafu badalabya kuhangaika na kampuni ya kuchonga mbao angemshurutisha babu fedha ampe awekeze kwenye real estates saa hii angekuwa anakula kodi tu
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi!!!!!!
Ukishaolewa mke wa pili...(haswa kama ndoa yenyewe unajua ya magumashi) ambapo umekuta mali..... unatakiwa ujae kwa akili!!!!
WTF[emoji2] She's dunderheadNimekujibu mkuu, huyo dem fala kweli kawatoa watoto Internationsl School Of Tanganyika kawapeleka Dubai kwa Mwanaume wake Mpya na hile familia bado inalipa schoolfees huko dubai anataka audumiwe yeye na mzungu wake , umeona wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Labda alikuwa anahitaji mapesa mengi wao wanampa kidogo, maana hukumu ya mwisho ilitoka wakaahidi mbele ya mahakama kwamba wataendelea kuwahudumia watoto
Hawajaoa wala kuolewa na hawana hata watoto wa kusingiziwa
Mi bado mdogo hata uwezo wa kumtunxa mtoto sinaKama wewe umefanikiwa kupata mtoto mshukuru Mungu
Wanasema.alijilengesha
Alimwinda mzee kilakona[emoji2]
Kama wewe umefanikiwa kupata mtoto mshukuru Mungu, kuoa na kuolewa kwa Maisha na mitihani waliyopitia kwa kuona Baba yao sio kitu cha wao kuamka nakuoa mtu yoyote
Matukio ya Dr Mengi yamewaalibu kisaikolojia, hawaamini mtu , kila mwanamke wanadhani amefata Mali au atawapitisha kwenye mitihani ya Mzee wao, Mamiss Tanzania wameishiwa kuliwa chini chini na kuachwa. Japo za chini ya carpet Abdiel ameamua kuoa This year
Mke hana ha
Hao watoto wa mengi wamemtesa sana baba yao kisaikolojia. Baba hajawai kuona mjukuu mpaka anafika 70.
Hata kama ningekuwa mimi ningezalisha binti
Maana mali zingepotea tu maana kizazi chake hakijaandaa warithi 2nd ama 3rd generations
Mtu wa miaka 50 kweli aseme hajaoa sabab baba yake alimuona k lyn.
Mwanaume umri wa kuoa ni mid 20s tu . Sema sababu ya umaskini ndio tunajipanga ili tuweze tunza mke ndio tunaoa late 20s ama 30s.
Mtoto wa tajiri level za Mengi anafikaje 50 hajaoa wala hajazaa.
Huyo wa kiume na wa kike na yeye hivyo hivyo hajaolewa mpaka 50s. Hiyo si balaa
Hawajifunzi kwa matajiri wenzao Kina mo dewji wameoa wakiwa early 20s.
Hao watoto wamemuangusha baba yao na mama yao kufa bila kuona wajukuu
Husimkufulu Mungu, Oprah mwanamke tajiri Duniani na Hana mtoto unataka kusemaje?
Abdiel hachana na maoya oya wa mitandaoni wengi ni njaa na hasira za ugumu wa maisha zinawasumbua, ipo siku Mungu atakupa furaha ya maisha yako na mtoto na Yule kipenzi cha roho yako unaependa kumuongelea
Mid 20 unakimbilia nini ? Labda nyie njaa kali , Nani amefika 50 hajaoa