Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Sio busara watoto kuhukumiwa kwa makosa ya mama yao wao kama wana issues na Jacq wangemalizana naye yeye kama yeye watoto wanahusikaje na fraud ambayo mama yao alifanya
 
Wamechagua maisha mazuri hawataki tabu za kulea Lea.
Japo wakihitaji watoto wanaweza wapata muda wowote
Nani kakudanganya,hakuna tajiri anayejitambua asiyependa mrithi wa mali zake,wanakaribia miaka 50 hao,kuna kitu hakiko sawa
 
Yule alikua gold digger....kwa pesa za mengi angeweza funguliwa bonge la biashara ...angeendesha maisha bila stress

Sema akili hamna alichojua yeye ni kuvaa na anasa na rfk zake....

Funzo kwa wadada...nyapu zinalipa sponsa akiwa hai..akifa na we kwisha....
Fanyeni kaziiiiiii
Success is not sexually transmitted [emoji2]
 
Hiyo unayoongelea wewe ni ndoa za kimila na muslims hazina Limit, Mzee Mengi alikua na ndoa halali ya kanisa inayotambua mke mmoja

View attachment 2110388

View attachment 2110389

Hakuna lolote,hasa wivu wa nn Kwa jaq?
Watu wanaongea ukweli,ndio alikuwa mchepuko aliyelazimisha ndoa ili aonekane mke halali ,anachokutana nacho ndo matokeo ss!
Mi simpondi ila nasema hivi, hili somo Kwa wadangaji wote wanaodandia Mali za watu,make sure huyo danga anakufanyia kila kitu kabla hajafa ili usilete shida kwenye familia uliyoikuta!

Kwanza ningekuwa mi na hivi wanahudumia watt,ningewaachia mi naendelea na maisha yangu kuliko huu upumbavu anaofanya!

Basi tosheka na unachopewa, yaani ulipiwe ada , full accommodation, vocation bado tena huridhiki,anasahau kuwa kuna wtt wakubwa aache ujinga! Hakuna asiyejua Mali zote alizikuta hajachuma tusijitoe akili hapa!
Kwanza kawakuta wastaarabu nakwambia!

Mke hana ha
Nani kakudanganya,hakuna tajiri anayejitambua asiyependa mrithi wa mali zake,wanakaribia miaka 50 hao,kuna kitu hakiko sawa

Hao watoto wa mengi wamemtesa sana baba yao kisaikolojia. Baba hajawai kuona mjukuu mpaka anafika 70.

Hata kama ningekuwa mimi ningezalisha binti

Maana mali zingepotea tu maana kizazi chake hakijaandaa warithi 2nd ama 3rd generations
 
Kumbe wanasoma Dubai? Hata mimi ningegoma kuwalipia ada. Haka kademu kanapenda makubwa sana. Nadhani Mengi hakukatongoza, bali kenyewe ndo kalimtongoza ili kajilimbikizie mali.

Hata ule wosia nina mashaka kaliuandika kenyewe....
Wanasema.alijilengesha

Alimwinda mzee kilakona[emoji2]
 
Mke hana ha

Hao watoto wa mengi wamemtesa sana baba yao kisaikolojia. Baba hajawai kuona mjukuu mpaka anafika 70.

Hata kama ningekuwa mimi ningezalisha binti

Maana mali zingepotea tu maana kizazi chake hakijaandaa warithi 2nd ama 3rd generations
Mizimu ya kwao na maagano yake huenda ndio sababu,utajiri unaambatana na majaribu
 
Zile hela alizokuwa ananunua designer handbags, shoes, clothes, sunglasses etc etc angeziweka kwenye call account tu angekuwa mbali...

Halafu badalabya kuhangaika na kampuni ya kuchonga mbao angemshurutisha babu fedha ampe awekeze kwenye real estates saa hii angekuwa anakula kodi tu

Kweli kwenye miti hakuna wajenzi!!!!!!

Ukishaolewa mke wa pili...(haswa kama ndoa yenyewe unajua ya magumashi) ambapo umekuta mali..... unatakiwa ujae kwa akili!!!!
Real estate , Treasury bonds wala asingekua anavuja jasho kwanza mzee alikuwa na maji marefu angemwekea bilioni 2 tu huko kwenye bonds miaka 25 wale madogo wangezikuta tu na zingewasomesha .

Real estate angepata hela ya kula au kubadilisha magari still angejikita kwenye bizness zingine kama electronics angetoka mazima.
 
Nimekujibu mkuu, huyo dem fala kweli kawatoa watoto Internationsl School Of Tanganyika kawapeleka Dubai kwa Mwanaume wake Mpya na hile familia bado inalipa schoolfees huko dubai anataka audumiwe yeye na mzungu wake , umeona wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
WTF[emoji2] She's dunderhead
 
Labda alikuwa anahitaji mapesa mengi wao wanampa kidogo, maana hukumu ya mwisho ilitoka wakaahidi mbele ya mahakama kwamba wataendelea kuwahudumia watoto

Kuwaudumia watoto ni kuwapa mapesa Mengi ?😥😥
 
Hawajaoa wala kuolewa na hawana hata watoto wa kusingiziwa

Kama wewe umefanikiwa kupata mtoto mshukuru Mungu, kuoa na kuolewa kwa Maisha na mitihani waliyopitia kwa kuona Baba yao sio kitu cha wao kuamka nakuoa mtu yoyote

Matukio ya Dr Mengi yamewaalibu kisaikolojia, hawaamini mtu , kila mwanamke wanadhani amefata Mali au atawapitisha kwenye mitihani ya Mzee wao, Mamiss Tanzania wameishiwa kuliwa chini chini na kuachwa. Japo za chini ya carpet Abdiel ameamua kuoa
 
Kama wewe umefanikiwa kupata mtoto mshukuru Mungu, kuoa na kuolewa kwa Maisha na mitihani waliyopitia kwa kuona Baba yao sio kitu cha wao kuamka nakuoa mtu yoyote

Matukio ya Dr Mengi yamewaalibu kisaikolojia, hawaamini mtu , kila mwanamke wanadhani amefata Mali au atawapitisha kwenye mitihani ya Mzee wao, Mamiss Tanzania wameishiwa kuliwa chini chini na kuachwa. Japo za chini ya carpet Abdiel ameamua kuoa This year

Mtu wa miaka 50 kweli aseme hajaoa sabab baba yake alimuoa k lyn. Kwani Mengi na k lyn wamekutana lini? Si wamekutana huku watoto wa Mengi ni above 40

Mwanaume umri wa kuoa ni mid 20s tu . Sema sababu ya umaskini ndio tunajipanga ili tuweze tunza mke ndio tunaoa late 20s ama 30s.

Mtoto wa tajiri level za Mengi anafikaje 50 hajaoa wala hajazaa.

Huyo wa kiume na wa kike na yeye hivyo hivyo hajaolewa mpaka 50s. Hiyo si balaa

Hawajifunzi kwa matajiri wenzao Kina mo dewji wameoa wakiwa early 20s.

Hao watoto wamemuangusha baba yao na mama yao kufa bila kuona wajukuu
 
Mke hana ha

Hao watoto wa mengi wamemtesa sana baba yao kisaikolojia. Baba hajawai kuona mjukuu mpaka anafika 70.

Hata kama ningekuwa mimi ningezalisha binti

Maana mali zingepotea tu maana kizazi chake hakijaandaa warithi 2nd ama 3rd generations

Husimkufulu Mungu, Oprah mwanamke tajiri Duniani na Hana mtoto unataka kusemaje?

Abdiel hachana na maoya oya wa mitandaoni wengi ni njaa na hasira za ugumu wa maisha zinawasumbua, ipo siku Mungu atakupa furaha ya maisha yako na mtoto na Yule kipenzi cha roho yako unaependa kumuongelea
 
Mtu wa miaka 50 kweli aseme hajaoa sabab baba yake alimuona k lyn.

Mwanaume umri wa kuoa ni mid 20s tu . Sema sababu ya umaskini ndio tunajipanga ili tuweze tunza mke ndio tunaoa late 20s ama 30s.

Mtoto wa tajiri level za Mengi anafikaje 50 hajaoa wala hajazaa.

Huyo wa kiume na wa kike na yeye hivyo hivyo hajaolewa mpaka 50s. Hiyo si balaa

Hawajifunzi kwa matajiri wenzao Kina mo dewji wameoa wakiwa early 20s.

Hao watoto wamemuangusha baba yao na mama yao kufa bila kuona wajukuu

Mid 20 unakimbilia nini ? Labda nyie njaa kali uwa mnafukuzwa nyumbani mapema mkaoe kupunguza mizigo home, Nani amefika 50 hajaoa
 
Husimkufulu Mungu, Oprah mwanamke tajiri Duniani na Hana mtoto unataka kusemaje?

Abdiel hachana na maoya oya wa mitandaoni wengi ni njaa na hasira za ugumu wa maisha zinawasumbua, ipo siku Mungu atakupa furaha ya maisha yako na mtoto na Yule kipenzi cha roho yako unaependa kumuongelea
Mid 20 unakimbilia nini ? Labda nyie njaa kali , Nani amefika 50 hajaoa

Njaa kali tunazo ila hatuzulumu warithi mali za baba yao. Ama za waume zao .

Pia pamoja na njaa zetu hatutetei ujinga wa kufika 45 ama 50s hujawai kuoa wala kuolewa wala kuzaa mtoto huku kwenu ni matajiri. Inategemea nyinyi mkifa utajiri wa baba yenu utaenda wapi sasa kama sio kuhamishwa kutoka kizazi chake
 
Back
Top Bottom