Majina ya michongo ya watoto wa wajomba na mashangazi lazma yapenye mapema.Mchakato wa kuwapata wafanya hyo kazi ulikuaje bada ya watu ku apply mana huku naona ubungo tyr washachuja majina sijui wamechuchaje just 2 days[emoji28]
Kwakweli bila connection hutoboiHapa bila kupepesa macho hili ni shavu kwa wenye connection.
Babu jobless jau sana imagine upo unakaa kwa shem utachakata sa ngapi hela ya lodge hunaa.... Wakikupa hako ka hela usipotulia ndio hivo tenaHahahahahhaahah we mtt ni msnge kwl kmmmk nimecheka sana yani![emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahio kilainishi cha Posho lazma ukitumie kumenya mbususu za kwenye timming!
Duuuh!Buchosa DC ni shilingi mia kwa kila nyumba utakayo weka namba. Watendaji wa kata na wa vijiji wamemgomea kaimu mkurugenzi. Sasa wanaokwenda kutumika ni wenyeviti wa vijiji au vitongoji. Tena namba zitawekwa kwa chaki au mkaa na zitatakiwa kudumu hadi mwezi wa nane. Hii halmashauri ya BUCHOSA imejaaa rushwa na ufisadi mkubwa sana. Mama samia hela yake inapigwa hapo mchana kweupe
Eti jiti 😄😄😄 nimekumbuka mbaliAcheni undezi, wamesema posho per day ni 30K kwa wale watakaofanya kazi siku 40 na wale siku zinazozidi posho itapanda.
Kwa 30K lazma watu wengi watagombania hizo nafasi usifanye masihara na hio 1M+ kwa siku zote za kazi😅 kuna watu wako serikalini hawagusi 30K per day.
Ingekuwa posho ya nyumba ni jiti amna mtu angehangaika nazo.
Nakuunga mkono kwa hoja ya ajira ila uzoefu sio kweli. Uzoefu ni pamoja na nidhamu ya kazi. Je graduate atakuwa na nidhamu ya kazi ?Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato.
Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio na ajira waweze kupata ajira za muda lakini pia itawawezesha kupata hata mitaji midogo kwa ajili ya kuanza biashara ndogondogo ama shughuli za kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.
Kuwapa ajira hizi watumishi kwa kigezo chochote kile itasababisha watu wa chini wasio na ajira wasiinuke lakini pia watumishi hawa wa umma wakienda kufanya hizi kazi utendaji wa serikali utapungua.
1. Kigezo cha Uzoefu: Watumishi hawana uzoefu na Anwani za makazi. Ndio maana kuna mafunzo yanatolewa kabla ya kazi, lakini pia wataalamu wa mambo wengi kwa sasa wako nje ya mfumo wa ajira (As we know mazoezi yote haya yanahitaji uelewa zaidi wa Technolojia)
Chuki kwa watumishi wa umma haitakusaidiaKatika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato.
Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio na ajira waweze kupata ajira za muda lakini pia itawawezesha kupata hata mitaji midogo kwa ajili ya kuanza biashara ndogondogo ama shughuli za kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.
Kuwapa ajira hizi watumishi kwa kigezo chochote kile itasababisha watu wa chini wasio na ajira wasiinuke lakini pia watumishi hawa wa umma wakienda kufanya hizi kazi utendaji wa serikali utapungua.
1. Kigezo cha Uzoefu: Watumishi hawana uzoefu na Anwani za makazi. Ndio maana kuna mafunzo yanatolewa kabla ya kazi, lakini pia wataalamu wa mambo wengi kwa sasa wako nje ya mfumo wa ajira (As we know mazoezi yote haya yanahitaji uelewa zaidi wa Technolojia)
Dah....angalau baada ya kuwepo darasani kwa miaka 23.....Sasa naenda kupata 10K kwa siku.....nitawatafuna sana hawa ....🤣🤣🤣🤣🤭Acheni undezi, wamesema posho per day ni 30K kwa wale watakaofanya kazi siku 40 na wale siku zinazozidi posho itapanda.
Kwa 30K lazma watu wengi watagombania hizo nafasi usifanye masihara na hio 1M+ kwa siku zote za kazi😅 kuna watu wako serikalini hawagusi 30K per day.
Ingekuwa posho ya nyumba ni jiti amna mtu angehangaika nazo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kainjoy elimu yako mkuuDah....angalau baada ya kuwepo darasani kwa miaka 23.....Sasa naenda kupata 10K kwa siku.....nitawatafuna sana hawa ....🤣🤣🤣🤣🤭
basi kwa muda huo wasomi wasio na kazi mtaani wazibe nafasi zao wakati hao watumishi wameenda kwenye hiyo anuani ya makaziWapewe tu watumishi ndio wenye uzoefu......
watumishi wengi ni jipu hata hawajui kutumia simu janja wala computer vizuri pamoja na kwamba watapewa semina ya siku mbili,vijana waliotoka vyuoni wako sharp sana wapewe kaziWapewe tu watumishi ndio wenye uzoefu......
mtumishi ukienda kuifanya hiyo kazi na nafasi yako ya kutumika huko ofisini unamwachia nani kwanini muwe na tamaa wakati kuna wasomi wezenu huku kitaaHizi kazi kila mtu ana haki sawa ya kuomba. Awe mtumishi asiwe mtumishi.
watanzania hatupendani aisee yaani 30,000 kwa siku hadi 300,000 kwa mwezi, dah wakurugenzi na madas wamechukua chao mapema,na walijua tu hali ilivyo ngumu kitaa vijana hata wangeambiwa ni buku5 kwa siku bado wangejazana tu kuombaNi tofauti na hiiView attachment 2124802View attachment 2124803
Ndio maana kuna mafunzo yanatolewa kabla ya kazi, lakini pia wataalamu wa mambo wengi kwa sasa wako nje ya mfumo wa ajira (As we know mazoezi yote haya yanahitaji uelewa zaidi wa Technolojia)Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato.
Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio na ajira waweze kupata ajira za muda lakini pia itawawezesha kupata hata mitaji midogo kwa ajili ya kuanza biashara ndogondogo ama shughuli za kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.
Kuwapa ajira hizi watumishi kwa kigezo chochote kile itasababisha watu wa chini wasio na ajira wasiinuke lakini pia watumishi hawa wa umma wakienda kufanya hizi kazi utendaji wa serikali utapungua.
1. Kigezo cha Uzoefu: Watumishi hawana uzoefu na Anwani za makazi. Ndio maana kuna mafunzo yanatolewa kabla ya kazi, lakini pia wataalamu wa mambo wengi kwa sasa wako nje ya mfumo wa ajira (As we know mazoezi yote haya yanahitaji uelewa zaidi wa Technolojia)
Hapana wasipewe kazi wakalime tu......watumishi wengi ni jipu hata hawajui kutumia simu janja wala computer vizuri pamoja na kwamba watapewa semina ya siku mbili,vijana waliotoka vyuoni wako sharp sana wapewe kazi