Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

Hapa bila kupepesa macho hili ni shavu kwa wenye connection.
 
Kwakweli bila connection hutoboi

Juzi Ijumaa pale Halmashauri ya Jiji imagine kutoka kwenye kona ya NBC kuingia ule mtaa wa Mission mpaka karibia na TRA ilikua ni nyomi balaa magari hayapiti watu wanapeleka barua

mtaani ajira hamna aisee
 
Buchosa DC ni shilingi mia kwa kila nyumba utakayo weka namba. Watendaji wa kata na wa vijiji wamemgomea kaimu mkurugenzi. Sasa wanaokwenda kutumika ni wenyeviti wa vijiji au vitongoji. Tena namba zitawekwa kwa chaki au mkaa na zitatakiwa kudumu hadi mwezi wa nane. Hii halmashauri ya BUCHOSA imejaaa rushwa na ufisadi mkubwa sana. Mama samia hela yake inapigwa hapo mchana kweupe
 
Hahahahahhaahah we mtt ni msnge kwl kmmmk nimecheka sana yani![emoji23][emoji23][emoji23]

Kwahio kilainishi cha Posho lazma ukitumie kumenya mbususu za kwenye timming!
Babu jobless jau sana imagine upo unakaa kwa shem utachakata sa ngapi hela ya lodge hunaa.... Wakikupa hako ka hela usipotulia ndio hivo tena

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Buchosa DC ni shilingi mia kwa kila nyumba utakayo weka namba. Watendaji wa kata na wa vijiji wamemgomea kaimu mkurugenzi. Sasa wanaokwenda kutumika ni wenyeviti wa vijiji au vitongoji. Tena namba zitawekwa kwa chaki au mkaa na zitatakiwa kudumu hadi mwezi wa nane. Hii halmashauri ya BUCHOSA imejaaa rushwa na ufisadi mkubwa sana. Mama samia hela yake inapigwa hapo mchana kweupe
Duuuh!
 
Acheni undezi, wamesema posho per day ni 30K kwa wale watakaofanya kazi siku 40 na wale siku zinazozidi posho itapanda.

Kwa 30K lazma watu wengi watagombania hizo nafasi usifanye masihara na hio 1M+ kwa siku zote za kazi😅 kuna watu wako serikalini hawagusi 30K per day.

Ingekuwa posho ya nyumba ni jiti amna mtu angehangaika nazo.
Eti jiti 😄😄😄 nimekumbuka mbali
 
Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato.

Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio na ajira waweze kupata ajira za muda lakini pia itawawezesha kupata hata mitaji midogo kwa ajili ya kuanza biashara ndogondogo ama shughuli za kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.

Kuwapa ajira hizi watumishi kwa kigezo chochote kile itasababisha watu wa chini wasio na ajira wasiinuke lakini pia watumishi hawa wa umma wakienda kufanya hizi kazi utendaji wa serikali utapungua.

1. Kigezo cha Uzoefu: Watumishi hawana uzoefu na Anwani za makazi. Ndio maana kuna mafunzo yanatolewa kabla ya kazi, lakini pia wataalamu wa mambo wengi kwa sasa wako nje ya mfumo wa ajira (As we know mazoezi yote haya yanahitaji uelewa zaidi wa Technolojia)
Nakuunga mkono kwa hoja ya ajira ila uzoefu sio kweli. Uzoefu ni pamoja na nidhamu ya kazi. Je graduate atakuwa na nidhamu ya kazi ?
Je akitumwa eneo lina milima na mito hawezi kupika data?
Serikali sio wapumvavu kutumia watumishi maana wanadhamana tayari.
Jambo kubwa ni kuwajengea hao vijana nidhamu ili wasiharibu na kulipua kazi.
Suala la kuajiri wasio na ajira hata mimi naliona lina tija ila wengi wa vijana wataishia kununua smart phone, lakni kama watakuwa serious basi huo ni mtaji wa kuanzia shughuli ya umachinga.
Jambo la tatu ni kwamba hii nchi rushwa na kujuana ni tatizo, nachelea kusema hio nafasi itaenda kwa vijana wenye nacho.
Jingine ni mtindoc wa CCM kuwajali UVCCM kwenye ajira, tegemea UVCCM kupewa kiumbele.
Nawashauri vijana muungane mdai hio ajira kwa nguvu zote vinginevyo mtaendelea kupiga kelele huku fursa zikiwapita.
 
Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato.

Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio na ajira waweze kupata ajira za muda lakini pia itawawezesha kupata hata mitaji midogo kwa ajili ya kuanza biashara ndogondogo ama shughuli za kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.

Kuwapa ajira hizi watumishi kwa kigezo chochote kile itasababisha watu wa chini wasio na ajira wasiinuke lakini pia watumishi hawa wa umma wakienda kufanya hizi kazi utendaji wa serikali utapungua.

1. Kigezo cha Uzoefu: Watumishi hawana uzoefu na Anwani za makazi. Ndio maana kuna mafunzo yanatolewa kabla ya kazi, lakini pia wataalamu wa mambo wengi kwa sasa wako nje ya mfumo wa ajira (As we know mazoezi yote haya yanahitaji uelewa zaidi wa Technolojia)
Chuki kwa watumishi wa umma haitakusaidia
 
Acheni undezi, wamesema posho per day ni 30K kwa wale watakaofanya kazi siku 40 na wale siku zinazozidi posho itapanda.

Kwa 30K lazma watu wengi watagombania hizo nafasi usifanye masihara na hio 1M+ kwa siku zote za kazi😅 kuna watu wako serikalini hawagusi 30K per day.

Ingekuwa posho ya nyumba ni jiti amna mtu angehangaika nazo.
Dah....angalau baada ya kuwepo darasani kwa miaka 23.....Sasa naenda kupata 10K kwa siku.....nitawatafuna sana hawa ....🤣🤣🤣🤣🤭
 
Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato.

Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio na ajira waweze kupata ajira za muda lakini pia itawawezesha kupata hata mitaji midogo kwa ajili ya kuanza biashara ndogondogo ama shughuli za kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.

Kuwapa ajira hizi watumishi kwa kigezo chochote kile itasababisha watu wa chini wasio na ajira wasiinuke lakini pia watumishi hawa wa umma wakienda kufanya hizi kazi utendaji wa serikali utapungua.

1. Kigezo cha Uzoefu: Watumishi hawana uzoefu na Anwani za makazi. Ndio maana kuna mafunzo yanatolewa kabla ya kazi, lakini pia wataalamu wa mambo wengi kwa sasa wako nje ya mfumo wa ajira (As we know mazoezi yote haya yanahitaji uelewa zaidi wa Technolojia)
Ndio maana kuna mafunzo yanatolewa kabla ya kazi, lakini pia wataalamu wa mambo wengi kwa sasa wako nje ya mfumo wa ajira (As we know mazoezi yote haya yanahitaji uelewa zaidi wa Technolojia)

[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312]

Hizi kazi za E-government unawasaidia wewe? Maana umesema wataalam wapo nje ya mfumo wa ajira
 
watumishi wana uzoefu pia wanadhamana, ni vigumu kuharibu kazi nyeti kama hiyo. ukipewa wew ukafanya kama ngoswe tutakupata wap... pia acha kufikiria vikazi vya kitonga jaribu kubuni chanzo cha uhakika cha kukuingizia pesa. vikazi hiv vimasababishaga tabia ya chuki na ushirikina
 
Back
Top Bottom