Mie mwenyewe hapa nina mashaka kama nitapa au la! maana mie nimezaliwa 11/5 na ndio tarehe ambayo iko kwenye kitambulisho changu cha NIDA na cheti cha kuzaliwa lakini kwenye Lawson inasomeka nimezaliwa 10/5.Jamaa anatia huruma... na vile mwezi huu salary imeongezwa.. patamu hapo!!
Awamu hii hakuna kuongeza ongeza muda!!Sasa mkuu, kwanini msingetuongezea muda kidogo ata mwezi wa 9 hivi ndio iwe mwisho.
hahaha imekula kwako hiyo!! Hadi taarifa zifanane... kwa nini hukurekebisha mapema ulivyoona salary slip ina makosa ya tarehe?Mie mwenyewe hapa nina mashaka kama nitapa au la! maana mie nimezaliwa 11/5 na ndio tarehe ambayo iko kwenye kitambulisho changu cha NIDA na cheti cha kuzaliwa lakini kwenye Lawson inasomeka nimezaliwa 10/5.
Ni kwa watumishi wa umma wote! hata kama uko "SU"Mbona pengine sijaskia hizo mambo za uhakiki kupitia ID sijui za kazi mara salary au ni zoezi jipya
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Zoezi likoje Mkuu kama kwenu lishaanza maana wengine tupo likizo na ofisi bado haijatupa taarifaNi kwa watumishi wa umma wote! hata kama uko "SU"
Hili zoezi linashughulikiwa na ofisi ya Utumishi kwenye ofisi yako (HR office kama wanalivyozoea kujiita). Kuna ofisi ambazo zina matawi sehemu mbalimbali na kule walipo hakuna mtu wa kuwahakiki hivyo wanakwenda ofisi za Halmashauri za miji, manispaa au jiji walipo au wanakwenda ofisi ya Mkuu wa mkoa.Zoezi likoje Mkuu kama kwenu lishaanza maana wengine tupo likizo na ofisi bado haijatupa taarifa
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Mbna una wasi mkuu!we hauna NnMmh tafuta taarifa rasmi mkuu
Nimekuelewa Mkuu.Hili zoezi linashughulikiwa na ofisi ya Utumishi kwenye ofisi yako (HR office kama wanalivyozoea kujiita). Kuna ofisi ambazo zina matawi sehemu mbalimbali na kule walipo hakuna mtu wa kuwahakiki hivyo wanakwenda ofisi za Halmashauri za miji, manispaa au jiji walipo au wanakwenda ofisi ya Mkuu wa mkoa.
Unatakiwa kwenda kwenye uhakiki na vitu vitatu: salary slip, kitambulisho cha kazini na kitambulisho cha taifa alimaarufu NIDA. kama uko likizo jitahidi uwasiliane na ofisi yako idara ya utumishi wakupe utaratibu. usidharau hii serikali ya awamu hii kukutoa kwenye system ni dakika!
Njoo PM chumbani uniambie ofisi yako,halafu nitakuelekeza pa kwenda. karibuNimekuelewa Mkuu.
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
ndio mkuuMbna una wasi mkuu!we hauna Nn
Ova
Kama hukupigiwa simu jua kuna tatizo mahali, unatakiwa kukifuata baada ya mwezi mmoja... Hata kama hujapigiwa simu... Kwa hiyo nenda Kachukue kama hakipo basi taarifa zako hazikwenda kwa hiyo Itabidi urudie tena kujaza fomu na sasa utaratibu umebadilika mkuu...kwani bado kuna ugumu wa kukipata maana nakumbuka changu niliambiwa ntapigiwa simu hadi leo zaidi ya mwaka kama sio miaka. NIDA nao wawe aggressive kwenye kazi zao nimejua kilipo baada ya kwenda kukifuatilia sasa hivi angalau najua hata namba yangu.
kazi kwenu watumishi wa umma.
asante. walikichungulia kwenye system pale 7/7 kipo . ngoja siku niliyoambiwa ikifika nikakione kama kipo kweli. ingawa nilipewa namba ya hicho kitambulisho.Kama hukupigiwa simu jua kuna tatizo mahali, unatakiwa kukifuata baada ya mwezi mmoja... Hata kama hujapigiwa simu... Kwa hiyo nenda Kachukue kama hakipo basi taarifa zako hazikwenda kwa hiyo Itabidi urudie tena kujaza fomu na sasa utaratibu umebadilika mkuu...
Lazima fomu yako ipite uhamiaji wa ndani kwa ajili ya mhuri na utapewa maelekezo huko kabla ya kupata huo mhuri....
Omba Mungu kiwepo tuu...
Hata mie hapa kibaruani kwangu tumesisitizwa kuhakikisha tunafanyiwa uhakiki huo wa kuonesha kitambulisho cha kazi, salary slip na kitambulisho cha taifa, wanasema ukizembea kuna hatari ya kukosa "mtonyo" wa mwezi wa saba.
Kwani walivyofanya zoezi la kuandikisha watumishi wa umma wote wewe hukuandikishwa?Mie ofisini kwangu tarehe ya mwisho ya uhakiki ni tarehe 25 unadhani nitakosa mshahara Wa July hapo?, kwanza cjawahi kuwa na kitambulisho cha Taifa.
Zoezi likoje Mkuu kama kwenu lishaanza maana wengine tupo likizo na ofisi bado haijatupa taarifa
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app