Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,045
Nikweli unachosema kwakuwa Akili yako IPO nyuma yamakalio yakoSijawahi kujiandikisha kutaka kitambulisho cha uraia na kamwe sitafanya hivyo. Naona ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine
Ambao hawajapata vile vitambulisho kuna namba wanapewa na ofisi za NIDAWakuu habari za kazi.
Kuna tetesi kua watumishi wa umma wasio peleka Vitambulisho vya Utaifa kwa Human Resources au ofisi husika kama ilivyoagizwa kwaajili ya uhakiki, hawatapata mshahara wa kuanzia mwezi huu July.
Hiyo nimeambiwa Leo na HR wa ofisi yangu. Mimi nikiwa mmoja wa watu wasiopeleka (kwasababu Sijapata bado), na deadline ya kupeleka IDs hizo ni Tarehe 16 July mwaka huu.
Nilikua nauliza kama kuna ukweli wowote katika tetesi/taarifa hizi.
Shukrani.
Oya! Sio kila kitu unachoongea na mchepuko wako gestini unaleta huku jukwaani, tumia chujio!Wakuu habari za kazi.
Kuna tetesi kua watumishi wa umma wasio peleka Vitambulisho vya Utaifa kwa Human Resources au ofisi husika kama ilivyoagizwa kwaajili ya uhakiki, hawatapata mshahara wa kuanzia mwezi huu July.
Hiyo nimeambiwa Leo na HR wa ofisi yangu. Mimi nikiwa mmoja wa watu wasiopeleka (kwasababu Sijapata bado), na deadline ya kupeleka IDs hizo ni Tarehe 16 July mwaka huu.
Nilikua nauliza kama kuna ukweli wowote katika tetesi/taarifa hizi.
Shukrani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utaambiwa kwenu south sudan
Ova
Poa ila nina msela wangu yupo huku chuga ngoja nimtafute nimuulizeUkipata pakuanzia kukipata naomba nijurishe
Duh! Naona uko full confidence mkuu.Sijawahi kujiandikisha kutaka kitambulisho cha uraia na kamwe sitafanya hivyo. Naona ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine
sema Huna kazi baada ya kudakwa na vyeti feki sasa kitambulisho cha nini?Sijawahi kujiandikisha kutaka kitambulisho cha uraia na kamwe sitafanya hivyo. Naona ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine
Msela au MUMEO?Poa ila nina msela wangu yupo huku chuga ngoja nimtafute nimuulize
mselaMsela au MUMEO?
Mm sema ID hiyo.Sijawahi kujiandikisha kutaka kitambulisho cha uraia na kamwe sitafanya hivyo. Naona ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine
HUJUI UMUHIMU WAKE
we utakuwa sio mtumishi wa serikaliSijawahi kujiandikisha kutaka kitambulisho cha uraia na kamwe sitafanya hivyo. Naona ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine
Aisee Ntakugawia WanguHata mie hapa kibaruani kwangu tumesisitizwa kuhakikisha tunafanyiwa uhakiki huo wa kuonesha kitambulisho cha kazi, salary slip na kitambulisho cha taifa, wanasema ukizembea kuna hatari ya kukosa "mtonyo" wa mwezi wa saba.
Hizo taarifa si za kweli.
Huu sio uhakiki huu ni mpango wa kuunganisha taarifa za watumishi ambazo zimetawanyika sehemu mbalimbali(nida, utumishi na hazina) ili zifanane kuepuka mrundikano wa taarifa nyingi zinazojirudiarudia.
Na ni zoezi endelevu hivyo halihusiani na usitishwaji wa mishahara.
Mshahara utasitishwa kama itabainika taarifa zako zilizoko utumishi ni tofauti na za nida na hazifanani na za hazina na pia umeshindwa kuthibitisha taarifa sahihi ni zipi.
Hapo tayari unakuwa ni mtumishi hewa.