DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Ha ha ha......Mungu huyo huyo muweza wa yote, ajuaye yote lakini alikuwa anamtafuta Adam na kuuliza uko wapi? Baada ya Adam kujificha?
Au unazungumzia Mungu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha......Mungu huyo huyo muweza wa yote, ajuaye yote lakini alikuwa anamtafuta Adam na kuuliza uko wapi? Baada ya Adam kujificha?
Au unazungumzia Mungu gani?
Imeandikwa wapi iyo mkuuMungu huyo huyo muweza wa yote, ajuaye yote lakini alikuwa anamtafuta Adam na kuuliza uko wapi? Baada ya Adam kujificha?
Au unazungumzia Mungu gani?
Jambo lenyewe Ni imani, so lazima unielewe hivyohivyo kupitia imani na sio kupinga tu.Kama huyo Mungu ni imani, Jambo lisiloweza kuthibitishwa, Wewe Uliwezaje kujua huyo Mungu yupo?
Ulifikaje hitimisho la kusema Mungu yupo, Wakati Mungu huyo unasema ni imani/jambo lisiloweza kuthibitishwa?
Sasa wewe ulithibitishaje, Jambo au imani ya Mungu ambayo haithibitishiki?
Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu kwa sababu hajawahi kuwepo mwenyewe ajidhihirishe yupo.
Uthibitisho sio jambo la imani, Ni jambo la uhakiki.Jambo lenyewe Ni imani, so lazima unielewe hivyohivyo kupitia imani na sio kupinga tu.
Niliweza kuthibitisha yupo kupitia kuamini Jambo lisiloweza kuthibitishwa.
Ni wewe ndio hujui Kama Mungu yupo na sijui unamkosi gani, mbona wengine wengi tu wanamthibitisha? Eti unadai awepo mwenyewe athibitishe!! Ameshaweka utaratibu wa mwanadamu kumthibitisha so lazima uufuate ili ujue kwamba yupo. La Kama hutaki kufuata utaratibu hulazimishwi.
Kama huwezi kumuona huyo Mungu, Wewe ulimuona wapi ukajua yupo?Watu mnaopinga uwepo wa Mungu sijui mna matatizo gani. Kinachoona Ni ubongo na huo unaukomo wa kuona vitu. Kwanza umo ndani ya kichwa utawezaje kumuona Mungu ambaye hawezi kuonekana kupitia macho?
Ubongo pia unaona mauza uza na mawenge.Bahati mbaya Ni kwamba ubongo umepewa kuona vitu kwa namna namna chache sana. Kuna namna ya kuhisi, namna yakuona, namna yakunusa nk.
So unapotaka kumuona Mungu Ni lazima ujue unataka kumuona kupitia mlango upi wa fahamu. Kama Ni kupitia macho, je hayo macho yako yamepewa kumuona? Na Kama hayana uwezo wakumwona kwanini kujisumbua? Mtakuwa zuzu!
Mungu yupo. Bahati nzuri ameupa ubongo uwezo wakumwona kupitia njia mbalimbali.
Baki hivyohivyoKama huwezi kumuona huyo Mungu, Wewe ulimuona wapi ukajua yupo?
Au unafosi mawazo yako na imani zako uchwara zisizo na uthibitisho wowote ule?
Ubongo pia unaona mauza uza na mawenge.
Sasa tutahakikishaje na kuthibitishaje kwamba unamuona kweli huyo Mungu kupitia ubongo wako na si mauza uza?
Aliekwambia imani Ni kutokuwa na uhakika Ni nani? Imani Ni uhakika wa mambo. Kama hakuna uhakika basi hiyo sio imani. Sasa nitakuthibitishiaje Kama Sina uhakika? Uhakika ninao 💯 percent na ikipungua hata moja asilimia nakuwa Kama wewe.Uthibitisho sio jambo la imani, Ni jambo la uhakiki.
Imani ni kutokuwa na uhakika. Ukishakuwa na uhakika juu ya jambo fulani wala hutahitaji tena imani ya kuamini jambo hilo.
Maana tayari utakuwa na uhakika na uthibitisho wa uwepo wa jambo hilo.
Sasa, Tutahakikishaje na kuthibitishaje kwamba imani yako ya uwepo wa huyo Mungu ni ukweli?
Maana kuamini tu, unaweza kuamini hata uongo.
Lakini ili tuhakiki na tujue kwamba imani yako ina ukweli lazima uthibitishe hiyo imani yako.
Your argument is invalid bro, akili yangu imeumbwa wapi na nani?Ukijibu nani kaumba akili yako basi utapata jawabu lake
Aseee .. mmmnmmhKama mchawi anap angan na anakuloga unaumwa hy Mungu ananguvu gn watu wajinga sn
Alitakiwa pia amuonye na Shetani ya kwamba kuna Binadamu,,,ugomvi wake na Shetani Kwanza Sisi tunahusikaje?Kesi ime egemea upande mmoja Tu ya kwamba Shetani m'baya,,inabidi tusikilize na upande wa pili ili tubalansi mamboMungu akivyomuumba binadamu alimuonya kuwa kuna shetani! Aliwapa uamuzi waamue kumfuata Mungu ili wasitawi, au shetani alafu wafe! Binadamu akaamua kumfuata shetani! Sasa kosa la Mungu liko wapi? Acha wadundwe mpaka akili ziwakae sawa!
Kama imani ni uhakika wa mambo, Thibitisha uwepo wa huyo Mungu ili tuhakikishe kama kweli yupo.Aliekwambia imani Ni kutokuwa na uhakika Ni nani? Imani Ni uhakika wa mambo.
Unaweza kuwa hata na imani ya uongo, Kwa sababu unaweza kuamini hata uongo.Kama hakuna uhakika basi hiyo sio imani.
Kama uhakika na uthibitisho unao sasa tuthibitishie na sisi ili tuhakikishe kwamba kweli imani yako ya huyo Mungu ni imani ya kweli na si imani ya uongo.Sasa nitakuthibitishiaje Kama Sina uhakika? Uhakika ninao 💯 percent na ikipungua hata moja asilimia nakuwa Kama wewe.
Aseee Mimi nasoma tuu commentsAlitakiwa pia amuonye na Shetani ya kwamba kuna Binadamu,,,ugomvi wake na Shetani Kwanza Sisi tunahusikaje?Kesi ime egemea upande mmoja Tu ya kwamba Shetani m'baya,,inabidi tusikilize na upande wa pili ili tubalansi mambo
Ukishindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo, Ni kwamba Hayupo.Baki hivyohivyo
Kisicho kuwepo hakithibitishwi. Unaye sema kipo ndo unatakiwa uprove uwepo wakeUsome vizuri
Lete evidence kama huyu mungu hayupo
Mimi nimesema yupo nimetoa evidence
Kumbe unataka kuthibitishiwa je unaimani?Kama imani ni uhakika wa mambo, Thibitisha uwepo wa huyo Mungu ili tuhakikishe kama kweli yupo.
Unaweza kuwa hata na imani ya uongo, Kwa sababu unaweza kuamini hata uongo.
Lakini ili imani yako iwe ni ukweli na uhakika lazima uwe na uthibitisho wa hicho unacho kiamini.
Tukione kweli kipo na tujiridhishe kwa uhakika.
Mimi nikikwambia nina imani kwamba kuna Dragons 🐉 watemao moto 🔥 midomoni mwao bila kukupa uthibitisho na evidences za hao Dragons wenyewe walivyo, Utakubali tu?
Kama uhakika na uthibitisho unao sasa tuthibitishie na sisi ili tuhakikishe kwamba kweli imani yako ya huyo Mungu ni imani ya kweli na si imani ya uongo.
Watakwambia katokea tu from no whereSo, who created God?
Kama kitu kipo huitaji imani ya kujua uwepo wake.Kumbe unataka kuthibitishiwa je unaimani?
Sasa kama katokeo from no where, kwa nini wanalazimisha sisi tuwe tumeumbwa? 😂Watakwambia katokea tu from no where