Wasioamini Mungu inawahusu

Wasioamini Mungu inawahusu

Kama huyo Mungu ni imani, Jambo lisiloweza kuthibitishwa, Wewe Uliwezaje kujua huyo Mungu yupo?

Ulifikaje hitimisho la kusema Mungu yupo, Wakati Mungu huyo unasema ni imani/jambo lisiloweza kuthibitishwa?

Sasa wewe ulithibitishaje, Jambo au imani ya Mungu ambayo haithibitishiki?

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu kwa sababu hajawahi kuwepo mwenyewe ajidhihirishe yupo.
Jambo lenyewe Ni imani, so lazima unielewe hivyohivyo kupitia imani na sio kupinga tu.

Niliweza kuthibitisha yupo kupitia kuamini Jambo lisiloweza kuthibitishwa.

Ni wewe ndio hujui Kama Mungu yupo na sijui unamkosi gani, mbona wengine wengi tu wanamthibitisha? Eti unadai awepo mwenyewe athibitishe!! Ameshaweka utaratibu wa mwanadamu kumthibitisha so lazima uufuate ili ujue kwamba yupo. La Kama hutaki kufuata utaratibu hulazimishwi.
 
Watu mnaopinga uwepo wa Mungu sijui mna matatizo gani. Kinachoona Ni ubongo na huo unaukomo wa kuona vitu. Kwanza umo ndani ya kichwa utawezaje kumuona Mungu ambaye hawezi kuonekana kupitia macho?
Bahati mbaya Ni kwamba ubongo umepewa kuona vitu kwa namna namna chache sana. Kuna namna ya kuhisi, namna yakuona, namna yakunusa nk.
So unapotaka kumuona Mungu Ni lazima ujue unataka kumuona kupitia mlango upi wa fahamu. Kama Ni kupitia macho, je hayo macho yako yamepewa kumuona? Na Kama hayana uwezo wakumwona kwanini kujisumbua? Mtakuwa zuzu!

Mungu yupo. Bahati nzuri ameupa ubongo uwezo wakumwona kupitia njia mbalimbali.
 
Uthibitisho sio jambo la imani, Ni jambo la uhakiki.

Imani ni kutokuwa na uhakika. Ukishakuwa na uhakika juu ya jambo fulani wala hutahitaji tena imani ya kuamini jambo hilo.

Maana tayari utakuwa na uhakika na uthibitisho wa uwepo wa jambo hilo.

Sasa, Tutahakikishaje na kuthibitishaje kwamba imani yako ya uwepo wa huyo Mungu ni ukweli?

Maana kuamini tu, unaweza kuamini hata uongo.

Lakini ili tuhakiki na tujue kwamba imani yako ina ukweli lazima uthibitishe hiyo imani yako.
 
Kama huwezi kumuona huyo Mungu, Wewe ulimuona wapi ukajua yupo?

Au unafosi mawazo yako na imani zako uchwara zisizo na uthibitisho wowote ule?

Ubongo pia unaona mauza uza na mawenge.

Sasa tutahakikishaje na kuthibitishaje kwamba unamuona kweli huyo Mungu kupitia ubongo wako na si mauza uza?
 
Baki hivyohivyo
 
Uthibitisho sio jambo la imani, Ni jambo la uhakiki.

Imani ni kutokuwa na uhakika. Ukishakuwa na uhakika juu ya jambo fulani wala hutahitaji tena imani ya kuamini jambo hilo.

Maana tayari utakuwa na uhakika na uthibitisho wa uwepo wa jambo hilo.

Sasa, Tutahakikishaje na kuthibitishaje kwamba imani yako ya uwepo wa huyo Mungu ni ukweli?

Maana kuamini tu, unaweza kuamini hata uongo.

Lakini ili tuhakiki na tujue kwamba imani yako ina ukweli lazima uthibitishe hiyo imani yako.
Aliekwambia imani Ni kutokuwa na uhakika Ni nani? Imani Ni uhakika wa mambo. Kama hakuna uhakika basi hiyo sio imani. Sasa nitakuthibitishiaje Kama Sina uhakika? Uhakika ninao 💯 percent na ikipungua hata moja asilimia nakuwa Kama wewe.
 
Mungu akivyomuumba binadamu alimuonya kuwa kuna shetani! Aliwapa uamuzi waamue kumfuata Mungu ili wasitawi, au shetani alafu wafe! Binadamu akaamua kumfuata shetani! Sasa kosa la Mungu liko wapi? Acha wadundwe mpaka akili ziwakae sawa!
Alitakiwa pia amuonye na Shetani ya kwamba kuna Binadamu,,,ugomvi wake na Shetani Kwanza Sisi tunahusikaje?Kesi ime egemea upande mmoja Tu ya kwamba Shetani m'baya,,inabidi tusikilize na upande wa pili ili tubalansi mambo
 
Aliekwambia imani Ni kutokuwa na uhakika Ni nani? Imani Ni uhakika wa mambo.
Kama imani ni uhakika wa mambo, Thibitisha uwepo wa huyo Mungu ili tuhakikishe kama kweli yupo.
Kama hakuna uhakika basi hiyo sio imani.
Unaweza kuwa hata na imani ya uongo, Kwa sababu unaweza kuamini hata uongo.

Lakini ili imani yako iwe ni ukweli na uhakika lazima uwe na uthibitisho wa hicho unacho kiamini.

Tukione kweli kipo na tujiridhishe kwa uhakika.

Mimi nikikwambia nina imani kwamba kuna Dragons 🐉 watemao moto 🔥 midomoni mwao bila kukupa uthibitisho na evidences za hao Dragons wenyewe walivyo, Utakubali tu?
Sasa nitakuthibitishiaje Kama Sina uhakika? Uhakika ninao 💯 percent na ikipungua hata moja asilimia nakuwa Kama wewe.
Kama uhakika na uthibitisho unao sasa tuthibitishie na sisi ili tuhakikishe kwamba kweli imani yako ya huyo Mungu ni imani ya kweli na si imani ya uongo.
 
Alitakiwa pia amuonye na Shetani ya kwamba kuna Binadamu,,,ugomvi wake na Shetani Kwanza Sisi tunahusikaje?Kesi ime egemea upande mmoja Tu ya kwamba Shetani m'baya,,inabidi tusikilize na upande wa pili ili tubalansi mambo
Aseee Mimi nasoma tuu comments
 
Kama imani ni uhakika wa mambo, Thibitisha uwepo wa huyo Mungu ili tuhakikishe kama kweli yupo.

Unaweza kuwa hata na imani ya uongo, Kwa sababu unaweza kuamini hata uongo.

Lakini ili imani yako iwe ni ukweli na uhakika lazima uwe na uthibitisho wa hicho unacho kiamini.

Tukione kweli kipo na tujiridhishe kwa uhakika.

Mimi nikikwambia nina imani kwamba kuna Dragons 🐉 watemao moto 🔥 midomoni mwao bila kukupa uthibitisho na evidences za hao Dragons wenyewe walivyo, Utakubali tu?

Kama uhakika na uthibitisho unao sasa tuthibitishie na sisi ili tuhakikishe kwamba kweli imani yako ya huyo Mungu ni imani ya kweli na si imani ya uongo.
Kumbe unataka kuthibitishiwa je unaimani?
 
Kama kitu kipo huitaji imani ya kujua uwepo wake.

Mfano, Hauhitaji imani kujua kwamba mwanzilishi wa JF ni Maxence melo.

Kwa sababu tayari una uthibitisho na uhakika kwamba JF ilianzishwa na Maxence melo. Na hilo linathibitika pasi shaka.

Sasa tutahakikisha vipi na kuthibitisha vipi, imani yako ya uwepo wa huyo Mungu ni imani ya kweli, Na si Mauza uza tu?
 
Back
Top Bottom