Najua haihitaji imani kujua maxence melo lakini inahitaji imani kumjua Mungu au hatujaelewana? Kama wewe huitaki imani wengine wanaitumia na wanamuona Mungu.Kama kitu kipo huitaji imani ya kujua uwepo wake.
Mfano, Hauhitaji imani kujua kwamba mwanzilishi wa JF ni Maxence melo.
Kwa sababu tayari una uthibitisho na uhakika kwamba JF ilianzishwa na Maxence melo. Na hilo linathibitika pasi shaka.
Sasa tutahakikisha vipi na kuthibitisha vipi, imani yako ya uwepo wa huyo Mungu ni imani ya kweli, Na si Mauza uza tu?
Sasa ndugu tumeongea vyakutosha naomba kwa uelewa wako na kwa faida ya wengine hebu tueleze tujue kwamba tumetokea wapi? Au tumeumbwa na Nani?Ukishindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo, Ni kwamba Hayupo.
Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Najua haihitaji imani kujua maxence melo lakini inahitaji imani kumjua Mungu au hatujaelewana? Kama wewe huitaki imani wengine wanaitumia na wanamuona Mungu.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata huyo muumbaji wa kila kitu lazima awe ameumbwa.Sasa ndugu tumeongea vyakutosha naomba kwa uelewa wako na kwa faida ya wengine hebu tueleze tujue kwamba tumetokea wapi? Au tumeumbwa na Nani?
Kitabu cha Mwanzo kuanzia aya ya 8Imeandikwa wapi iyo mkuu
Mungu alieiumba Tanzania akamwachia shetani jukumu la kuchagua viongozi wa kuwaongoza watu wake (watanzania)Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc
Wenye akili tu wataelewa
Ok sawa japo hujanijibu nitakuuliza swali dogo kwanza then tuendelee.Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata huyo muumbaji wa kila kitu lazima awe ameumbwa.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetoka sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.
Hivyo hivyo to infinity...
Yani kutakuwa na waumbaji endless.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza tu chenyewe pasipo kuumbwa, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje kuwepo pasipo kuumbwa.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina muumbaji, Hata Ulimwengu Hauna na Hauhitaji Muumbaji.
Ulisoma Geography vizuri kwamba ukisafiri kuizunguka dunia, Utarudi palepale starting point yako.Ok sawa japo hujanijibu nitakuuliza swali dogo kwanza then tuendelee.
Je hivi umbali unamwisho?
Usiwe unakurupuka kujibu tafakari swali kwa umakini then ujibu. Umefikiri kwenye dunia hujafikiri nje ya dunia hii au na huko Ni kwa kufikirika pia?Ulisoma Geography vizuri kwamba ukisafiri kuizunguka dunia, Utarudi palepale starting point yako.
Shuleni tena kidato cha kwanza kabisa, Hukusoma mambo ya Circumnavigation of the Earth?
Pamoja na maelfu ya watoto na wanawake wanaoteseka na kufa kila siku kwa njaa, vita, magonjwa, majanga ya asili n.kMungu huyu huyu ambaye anaruhusu haya manyamwera watekaji,na watoa roho za watu waendelee kuvuta hewa safi ya dunia!
Nje ya dunia ni wapi?Usiwe unakurupuka kujibu tafakari swali kwa umakini then ujibu. Umefikiri kwenye dunia hujafikiri nje ya dunia hii au na huko Ni kwa kufikirika pia?
Angani kwenye magalaxyNje ya dunia ni wapi?
Umeulizwa umbali una mwisho? Kwa fikra zakoNje ya dunia ni wapi?
Umbali kwenda wapi?Umeulizwa umbali una mwisho? Kwa fikra zako
Jibu swali tuendelee mbele na mada mbona Mimi nilikuwa nakujibu? Yaani kaswali kadogo tu hoi utaweza yanayokuja?Umbali kwenda wapi?
Huko nje ya dunia ni wapi?
Hakuna umbali usio na mwisho, Kuna umbali kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.Angani kwenye magalaxy
Hakuna umbali usio na mwisho, Umbali upo kutoka point moja kwenda nyingine kwenye universe.Jibu swali tuendelee mbele na mada mbona Mimi nilikuwa nakujibu? Yaani kaswali kadogo tu hoi utaweza yanayokuja?
Unajaribu kumuweka Mungu katika hisia za kibinadamu naona.Kwani wewe nani alikuambia kifo ni adhabu??Mtu akifa tunaumia sababu amekufa au tunaumia sababu hatutamuona tena?? Kifo ni nini hata kiingiliane na uwepo wa Mungu. Kama ukijua mtu akifa nini kinafuata then unahaki ya kumlaumu Mungu..lkn nina uhakika 1000% hujui kuna nini baada ya kufa , lkn unalaumu watu wanakufa.Pamoja na maelfu ya watoto na wanawake wanaoteseka na kufa kila siku kwa njaa, vita, magonjwa, majanga ya asili n.kView attachment 3092122
Huyo Mungu hajawahi kusaidia chochote licha ya watu kusali na kumuomba sana awasaidie na kuwalinda. Lakini Holaaaa!!!
Nothing happens.