Wasioamini Mungu inawahusu

Wasioamini Mungu inawahusu

Mimi naona tunahoji mambo makubwa Sana na sometime yapo nje ya uwezo wetu. Tuanzie Kwa kuhoji Hawa wakoloni weusi, yapo ndani ya uwezo wetu na majibu tutayapata
 
Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc

Wenye akili tu wataelewa
Kuna lipoyoyo moja linaitwa kiranga ndio li kiranja lao wasiotaka kumsikia mungu
 
Back
Top Bottom