Wasipindishe ukweli. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa bali watu hawamtaki Rais aliyepo madarakani

Wasipindishe ukweli. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa bali watu hawamtaki Rais aliyepo madarakani

RAIS HANA SHIDA , KUWAONGOZA WATU NI KAZI NGUMU

EBU FIKIRIA AINA YA WATU KAMA HAWA NDO WANATAKA RAIS ATOKE

👇🏾
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 12
Huu ndio ukweli wa mambo. Wananchi hawamtaki rais Samia.

Mbaya zaidi hata ndani ya CCM inaonekana hawamtaki.

Watu wameanza kuingia barabarani na kuanza kuleta ghasia hata matokeo hayajatoka.

Hii ina maanisha ni wazi kuwa hawamtaki. Kwa nini?

Walishasema ufisadi na mambo mengineyo.

Hawa wanaoitwa wasuruhishi wanasuruhisha nini?

..kutokumtaka Raisi Samia sio kosa.

..hata Raisi Samia naye hamtaki Tundu Lissu.

..kuteka, kutesa, kuua, ni makosa.
 
Nyumba za machawa,wajumbe,wenyeviti wa mtaa , familia za madiwani na Police zipo kwenye mtaa yetu zitembelewe na kusalimiwa zarau itaisha D24/D25 nitatoka
 
Nyumba za machawa,wajumbe,wenyeviti wa mtaa , familia za madiwani na Police zipo kwenye mtaa yetu zitembelewe na kusalimiwa zarau itaisha D24/D25 nitatoka
Jaribuni muone aisee tutakufa na nyny
 
Huu ndio ukweli wa mambo. Wananchi hawamtaki rais Samia.

Mbaya zaidi hata ndani ya CCM inaonekana hawamtaki.

Watu wameanza kuingia barabarani na kuanza kuleta ghasia hata matokeo hayajatoka.

Hii ina maanisha ni wazi kuwa hawamtaki. Kwa nini?

Walishasema ufisadi na mambo mengineyo.

Hawa wanaoitwa wasuruhishi wanasuruhisha nini?
Jina lako lina reflect ujinga wako
 
calm down,
sio vema sana kutumia mihemko kutetea hoja yako mwenyewe ambayo kwakweli ni ugoro mtupu :NoGodNo:
Kama alinunua khanga, pikipiki, baiskeli, na mapapai lakini bado watu wakamkataa we huoni kuna shida?
 
Back
Top Bottom