Wasipindishe ukweli. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa bali watu hawamtaki Rais aliyepo madarakani

CCM iondoke ije CHADEMA inayotaka kuiweka Tanzania chini ya wapumbavu wa Uingereza!. CCM haijachokwa wenye uelewa wa nini kinafanyika hawawezi kukichoka chama kinachotimiza ilani kurasa kwa kurasa.
Narudia tena, wananchi wameshaichoka ccm, ndio maana ccm haiko tayari kwa chaguzi za haki, na iko tayari kufanya mauaji ili kubaki madarakani kwa nguvu. Cdm wakichukua nchi watawawapa nini wazungu? Hebu tuambie nani mmiliki wa gas ili tujue cdm wakiingia wataikuta bado haijauzwa ili wawape hao wazungu.
 
Huu ndio ukweli wa mambo. Wananchi hawamtaki rais Samia.

Mbaya zaidi hata ndani ya CCM inaonekana hawamtaki.

Watu wameanza kuingia barabarani na kuanza kuleta ghasia hata matokeo hayajatoka.

Hii ina maanisha ni wazi kuwa hawamtaki. Kwa nini?

Walishasema ufisadi na mambo mengineyo.

Hawa wanaoitwa wasuruhishi wanasuruhisha nini?
Unaijua idadi ya watanzania waliojiandikisha na waliompigia kura au unadhani Tanzania inaishia Kimara?
 
Narudia tena, wananchi wameshaichoka ccm, ndio maana ccm haiko tayari kwa chaguzi za haki, na iko tayari kufanya mauaji ili kubaki madarakani kwa nguvu. Cdm wakichukua nchi watawawapa nini wazungu? Hebu tuambie nani mmiliki wa gas ili tujue cdm wakiingia wataikuta bado haijauzwa ili wawape hao wazungu.
Zinapokuja chaguzi za haki mnatafuta sababu za kutia mpira kwapani, mnakimbia uchaguzi.

Ujanja wenu ni kuandika harshtags za mitandaoni, shughuli za kuleta maendeleo zinafanywa na CCM kwa mapana yake.

Siasa za kuvizia pesa za EU mmeachiwa nyinyi mafundi wa matamko na vijembe.
 
Chaguzi za haki zinafahamika, huwezi kuwa na uchaguzi wa haki kisha tume hairuhusiwi kushitakiwa. Yaani chaguzi zenye upendeleo wazi kisheria unatakiwa uwe mjinga kushiriki.

Shughuli za kuleta maendelea zinafanywa kupitia kodi za wananchi na sio ccm. Kawaambieni wajinga wasiojua lolote.

Pesa za wazungu zina mchango mkubwa kwenye nchi hii, labda ulete story ya sizitaki mbichi hizi. Nenda katazame deni la taifa, utajua ni akina nani wanatudai sana. Na miradi ya misaada ni mingapi ya wazungu. Mkikaa wajinga watupu ndio mnalishana habari ya story za mabeberu, tena ni baada ya kuona wananchi hawawataki, ndio mnatumia kama sehemu ya kufanyia hila.
 
Samia yupo ikulu mpaka 2030 labda Mungu aamue vinginevyo.
 
Hata Burkina Faso na Madagascar wana marais, lakini haimaanishi ni marais waliochaguliwa na wananchi.
Samia kafanya kazi mkuu, nyinyi CHADEMA wazee wa kutaka Tanzania itawaliwe na rais wa muda kutoka Uingereza hakuna wa kuwashangaa. Ni mawakala wa hao kina EU, hamna jipya lolote.

Samia anastahili kwa mapana yake achana na hizi siasa za instagram na jamii forum, she deserves a second term in the office, endeleeni kulialia humu mitandaoni.
 
Kwenye ule uchaguzi wa juzi ile voters turn out ndio kila mwanaccm alijua ni kwa kiwango ccm imechokwa. Nasisitiza, maandeleo yanaletwa kwa kodi za wananchi na sio kwa hisani ya rais. Hiyo rais kafanya kazi kawaambie waliolala.

Ukitaka kujua ccm imefikia mwisho, tazama zogo la siku tatu tu, hakuna mwanaccm anathubutu kuvaa jezi ya ccm, wala kushangilia ushindi. Kwa sasa hata viongozi wa ccm hawathubuti kabisa kuitisha mikutano ya hadhara!
 
Back
Top Bottom