Wasipindishe ukweli. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa bali watu hawamtaki Rais aliyepo madarakani

Wasipindishe ukweli. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa bali watu hawamtaki Rais aliyepo madarakani

Vigezo kwanini hawamtaki ndo utupe, kwababu naona Raisi wasasa hana tofauti kubwa na maraisi wa CCM walio pita.
Samia ana dharau wananchi [ nywi nywinywi], hawasikilizi na kujiita Bi Chura na baya zaidi anafanya upendeleo wa wazi kwa ndugu zake katika teuzi zake utadhani anaendedesha biashara ya familia yake!! Hakuna mtu atampenda kiongozi wa namna hiyo. Zaidi ya yote ni FISADI mpenda RUSHWA anaiba mali za nchi na kuzificha UARABUNI kwa wajomba zake ; kwa maelezo hayo anakosa sifa za uongozi!
 
Kama alinunua khanga, pikipiki, baiskeli, na mapapai lakini bado watu wakamkataa we huoni kuna shida?
hayupo wa kumkataa kiongozi wa kitaifa Tanzania,
upende usipende nchi itaongozwa kwa misingi ya kikatiba na magaidi lazima yasambaratishwe :NoGodNo:
 
hayupo wa kumkataa kiongozi wa kitaifa Tanzania,
upende usipende nchi itaongozwa kwa misingi ya kikatiba na magaidi lazima yasambaratishwe :NoGodNo:
We unaongea sababu upo hapa unajamba hovyo. Mbona alienda kuapishwa porini na wanajeshi?
 
Hawakubali kuwa ni tatizo

..Rais Samia angetekeleza 4R kwa dhati Oct 29 ingepita salama.

..huenda ni akili zake mwenyewe, au kuna watu walimshauri, akafanya aliyofanya, na matokeo yake ni vifo na uharibifu wa mali.

..watu walikuwa na matarajio makubwa sana na Rais Samia, kwamba hataiabisha, na kuiharibu, nchi kiasi hiki.
 
Wanadhani Watanzania wa miaka ya themanini ndio. wa leo
 
Labda. Hao wapiga kura mil 31 walitoka wapi?
Umesahau kwamba kabla ya uchaguzi masheikh wa Bakwata walimuombea Samia kura hadi kwa malaika na majini? Kwahiyo inawezekana uchaguzi wa mwaka huu kura nyingi zilitoka kwa hao viumbe ndio maana kapata kura nyingi.
 
Vigezo kwanini hawamtaki ndo utupe, kwababu naona Raisi wasasa hana tofauti kubwa na maraisi wa CCM walio pita.
Wenyewe wanavyomsifia wanasema mambo aliyeyafanya Samia kawazidi marais wote waliyopita.

Wananchi wameshachoshwa na huu uongozi wa ccm, mtangulizi wake alifanikiwa kujenga ushawishi kwa wananchi wa hali ya chini alifikia hadi kujiita rais wa wanyonge alikuwa kama jeshi la mtu mmoja.

Sasa Samia kashindwa kujenga ushawishi kwa wananchi bali kaishia kurithi mabaya tu ya mtangulizi wake kashindwa kuyaondoa na kaja kufanya mambo ambayo wananchi wanaona si sahihi na kwamba kama angekuwepo mtangulizi wake asingweza kuyafanya.
 
Vigezo kwanini hawamtaki ndo utupe, kwababu naona Raisi wasasa hana tofauti kubwa na maraisi wa CCM walio pita.
Ukweli ni kuwa kizazi hiki kimeichoka ccm, hivyo hata aje rais gani wa ccm bado atakataliwa. Ni juu ya ccm kuukubali ukweli huu, kisha ufanyike uchaguzi wa haki, anayeshinda ashinde kihalali.
 
Huu ndio ukweli wa mambo. Wananchi hawamtaki rais Samia.

Mbaya zaidi hata ndani ya CCM inaonekana hawamtaki.

Watu wameanza kuingia barabarani na kuanza kuleta ghasia hata matokeo hayajatoka.

Hii ina maanisha ni wazi kuwa hawamtaki. Kwa nini?

Walishasema ufisadi na mambo mengineyo.

Hawa wanaoitwa wasuruhishi wanasuruhisha nini?
Hizo ni propaganda chafu za CHADEMA wanaotaka nchi iwekwe mikononi mwa mashoga wa Uingereza.

Hakuna ambaye hamtaki Samia, chuki na udini vinaendekezwa chini kwa chini lakini hakuna alichoweza kufanya hayati JPM ambacho kimemshinda SSH.
 
Ukweli ni kuwa kizazi hiki kimeichoka ccm, hivyo hata aje rais gani wa ccm bado atakataliwa. Ni juu ya ccm kuukubali ukweli huu, kisha ufanyike uchaguzi wa haki, anayeshinda ashinde kihalali.
CCM iondoke ije CHADEMA inayotaka kuiweka Tanzania chini ya wapumbavu wa Uingereza!. CCM haijachokwa wenye uelewa wa nini kinafanyika hawawezi kukichoka chama kinachotimiza ilani kurasa kwa kurasa.
 
Back
Top Bottom