Wasira anaanza kuwa kero, ataleta mtafaruko

MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
Sio kwamba mwili pekee ndio huwa unachoka ukishakuwa Mzee !
Fikra pia huwa zimeshachoka !
Kazi kweli kweli !
 
Huyu Mzee, akataliwe na mambo yake yote..na chama chake nacho tukikatae
 
Aibu aibu aibu aibu
Babu unatukana??
Busara zipo wapi??
Unafundisha jamii kitu gani????
 
Yule mzee hajapewa semina kumbe hajui afanye nini? CCM wamsaidie wampe maelekezo kabla hajakuwa kituko kamili.
 
Uyo Mzee kaanza kufanya kazi ya uenezi ya CPA Makala...katibu wa uenezi na propaganda..yawezekana hajui descriptions za iyo position aliyopewa...
Ni kweli ataenda kuleta mtafaruku ndani ya vyama vya uponzani na hata ndani ya CCM wenyewe Kuna mambo atakuja kuyaongea yatawakwaza Sana wale wa CCM wenye mioyo ya mabadiko..
Just take it .
Kwa ufupi kashabowa Sana.
 
Wewe unampinga LISU Bado unampinga wasira Babu retire waachie vijana
 
Wewe unampinga LISU Bado unampinga wasira Babu retire waachie vijana
I have reasons to go against Lisu! You may not appreciate my reasons, but are there and sensible for a rationally thinking member of a society!
 
Kimsingi Mwamba ana zaidi ya miaka 90!!

Siku Moja atasinzia akiwa anahutubia!! Hapo Sasa ni kumuomba Mungu asije akatamka viungo vya Siri!!
🤣 🤣 🤣
 
Mtu huwezi ukawa na akili timamu ukifikisha miaka 80 na zaidi.
Uhuru wa nchi hii umechangiwa na watu wengi wa wakati huo wakiwemo wananchi wa hali ya chini yaani kila mmoja alishiriki kwa sehemu yake kwahiyo si sahihi kikundi cha watu fulani kujiona wao ndiyo wana haki ya kuongoza nchi hii milele na milele.
 
Anaweza Kweli Kupiga Campaign Tanzania Yote Muda Ukiwadia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…