Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
“Siku za miaka yetu ni miaka sabini, Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea mara.Mwanadamu aliyezaliwa na Mwanamke miaka yake ni 70 na akiwa na Nguvu 80
Kuanzia miaka 81 huwezi kumlaumu Kwa chochote!
Mbona Trump ana miaka 79 na amepewa heshima ya kuongoza taifa kubwa la MAREKANI hadi 2029 ambapo atakuwa na umri wa miaka 83?!Wakati mwingine unaweza kufikiri watu wamekuheshimu, kumbe ni kinyume chake!
Yaani mzee wa miaka 80, bado awe na nguvu za kukimbizana na watoto na wajukuu zake?
Hapana, hii haikubaliki.
Ifikie hatua, mtu mwenyewe hujiheshimu na kujithamini kabla ya kuheshimiwa na kuthaminiwa na wengine
Mimi siyo mjumbe Bwashee“Siku za miaka yetu ni miaka sabini, Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea mara.
”
— Zaburi 90:10 (Biblia Takatifu)
huyo mzee mauti Iko mlangoni kabisa!. Yeye ana shida, walimpa hiyo nafasi ndiyo wenye shida zaidi.
hivi na wewe Mbatizaji ulukuwepo pale UKUMBINI?
Mkuu, huoni nyoni ya waTZ wa chama chake wanavyo kwenda kumsikiliza na kumshangilia kwa makofi na vigeregereUnapata wapi muda wa kumsikiliza huyoo mzee asie na busara.
😅Hizo ndizo siasa alizokua nazo, hana kipya anaweza kuwambia watanzania.
Mbona Trump ana miaka 79 na amepewa heshima ya kuongoza taifa kubwa la MAREKANI hadi 2029 ambapo atakuwa na umri wa miaka 83?!
Muda si mrefu watamrudisha walikomtoaMkuu, huoni nyoni ya waTZ wa chama chake wanavyo kwenda kumsikiliza na kumshangilia kwa makofi na vigeregere
Inamaa huyo Mzee wenu hana kitu kingine zaidi ya hicho?😅😅😅Ni aibu kwa umri ule anaanza kutukana wengine. Ni aibu sana kwa huyu mzee hajui tu anachofanya
Mkuu, zamani watu hawakuwa hivyo; kumbuka tu kwamba, hata Uchagu Mkuu wa Nchi ulikuwa unalindwa na mgambo aliye beba fimbo tu, hapakuwa na polisi; watu wanapanga foleni, kuanzia Mkuu wa Nchi hadi Mwananchi masikini; wanao linda kura wanalinda na wasio taka kulinda wana ondoka na matokeo ya uchaguzi yanatangazwa bila kuwa na purukushani zozote. Hivyo ndivyo Watanzania wa zamani walivyo heshimu KATIBA YA NCHI YAO. Leo, Nchi ina mchanganyiko wa watu kutoka sehemu mbalimbali nje ya Nchi yetu; tuna aina tofauti tofauti ya vyakula na vinywaji vya kisasa, aidha elimu yetu nayo inachangia. Nadhani ni muda muafaka wa kurekebisha mambo yetu kwa faida ya maendeleo ya Nchi yetu.Kabisa analeta ujinga wa zamani hapa.
Kazi kweli kweli !Dawa ya moto ni moto.
Mkuu, kwa hiyo unataka kutujulisha kwamba status ya Lema ambae ni mjumbe tu wa kamati ya CHADEMA ni sawa na Mzee Wasirra ambae ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala, ambaye ni msaidizi no. 1 wa Rais wa Nchi? Hivi hawa, wewe unawalinganishaje?Matusi haya na ya Lema dhidi ya mbowe yepi yanaudhi?
1. Mbowe mwizi
2. Mbowe mlarushwa
3. Mbowe anateka watu wa chadema
4. Mbowe muongo
Mpaka kitabu Lema kamuandikia mbowe. Kisa yeye na kundi lake liongoze chadema
Kweli ni mgambo tu walikuwa wakionekana. !Mkuu, zamani watu hawakuwa hivyo; kumbuka tu kwamba, hata Uchagu Mkuu wa Nchi ulikuwa unalindwa na mgambo aliye beba fimbo tu, hapakuwa na polisi; watu wanapanga foleni, kuanzia Mkuu wa Nchi hadi Mwananchi masikini; wanao linda kura wanalinda na wasio taka kulinda wana ondoka na matokeo ya uchaguzi yanatangazwa bila kuwa na purukushani zozote. Hivyo ndivyo Watanzania wa zamani walivyo heshimu KATIBA YA NCHI YAO. Leo, Nchi ina mchanganyiko wa watu kutoka sehemu mbalimbali nje ya Nchi yetu; tuna aina tofauti tofauti ya vyakula na vinywaji vya kisasa, aidha elimu yetu nayo inachangia. Nadhani ni muda muafaka wa kurekebisha mambo yetu kwa faida ya maendeleo ya Nchi yetu.
Siasa za Wasira za Mwaka 60 eti ukichagua upinzani unaleta vita😅😅😅anamtukana LISu ajiandae kuwa kichaa
Mmmh !Muda si mrefu watameudisha walikomtoa
Yeye mwenyewe alipatikana kwenye honeymoon3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
Yes, angeeleza kwanini wana njaa, na mikakati walioipanga kuisimamia serikali kuondoa njaaAnasema watanzania wananjaa hawataki katiba wanataka chakula. Sasa ajiulizi hiyo chaa ya watanzaia nani amesababisha
Ni yeye !!Daaah