Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #21
Inaingia kwakuwa Nyumba yake na Familia yake hawaishi Tanzania. Au hujui hilo?Familia ya Lissu inaingiaje hapa?
Ulitaka kuwateka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaingia kwakuwa Nyumba yake na Familia yake hawaishi Tanzania. Au hujui hilo?Familia ya Lissu inaingiaje hapa?
Ulitaka kuwateka?
Chama kipo na Katibu Mkuu na watendaji lukuki. Je, hujui hilo?Wasira ni "debe tupu".
Mtu wa enzi za Nyerere anaweza kuwa na vision gani kwa dunia ya leo?
Mawazo chakavu kutoka kwa mtu chakavu wa chama chakavu
Atakuwa hajui!Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
View attachment 3213528
Akizungumza leo, Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira alieleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.
"Kauli ya 'No Reform, No Election' haina nafasi kwa sasa. Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wameonyesha utayari wa mazungumzo, na bunge linakaribia kuvunjwa, hivyo hakuna muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria yanayohitaji muda mrefu," alisema Wasira.
Aliongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio.
Wasira aliwataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu. "Ni muhimu kushiriki uchaguzi na kuwa sehemu ya demokrasia badala ya kupoteza muda na kauli ambazo hazina tija kwa wananchi," alisisitiza.
oh!! Kumbe?Atakuwa hajui!
Vipi utamsindikiza angalau ukamtandikie kitanda?Lissu si muda mrefu ataenda Ubelgiji
Akili za mzee huyu Poti wangu - zimegota, acheni niwe Lema tu kwa MboweMhh tayari kumekucha ila nini sema wasira kashika mpini
Je, wewe unaonaje?Vipi utamsindikiza angalau ukamtandikie kitanda?
Tundu Lissu Amezaliwa January 20, 1968 so ana miaka 57 as today, Nitashangaa kama atatameshwa na Stephen Masato Wasira aliyezaliwa July 1, 1945, mwenye miaka 79 as today. yaani kwa kifupi wakati Wassira yupo na 22 yrs old Tundu lissu ndo anazaliwa, aiseee anatetemeshwaje hapi Kijana wa Singida?Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
View attachment 3213528
Akizungumza leo, Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira alieleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.
"Kauli ya 'No Reform, No Election' haina nafasi kwa sasa. Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wameonyesha utayari wa mazungumzo, na bunge linakaribia kuvunjwa, hivyo hakuna muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria yanayohitaji muda mrefu," alisema Wasira.
Aliongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio.
Wasira aliwataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu. "Ni muhimu kushiriki uchaguzi na kuwa sehemu ya demokrasia badala ya kupoteza muda na kauli ambazo hazina tija kwa wananchi," alisisitiza.
Naona ushatangulia ili umpokee kabisaJe, wewe unaonaje?
Wakati ccm yenyewe ilishavunja maridhiano kwa kukataa kuwa na Katiba Mpya pamoja na TUME HURU YA UCHAGUZI.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
View attachment 3213528
Akizungumza leo, Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira alieleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.
"Kauli ya 'No Reform, No Election' haina nafasi kwa sasa. Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wameonyesha utayari wa mazungumzo, na bunge linakaribia kuvunjwa, hivyo hakuna muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria yanayohitaji muda mrefu," alisema Wasira.
Aliongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio.
Wasira aliwataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu. "Ni muhimu kushiriki uchaguzi na kuwa sehemu ya demokrasia badala ya kupoteza muda na kauli ambazo hazina tija kwa wananchi," alisisitiza.
Mlitoa pesa nyingi sana ili Lissu asishinde na ulikuwa umpiga debe wa mbowe ili Lissu asiwe mwenyekiti yote hayo ni kuwa na hofu naye.Gentleman,
kwamba lisu anaogopwa? huenda ni huko huko chadema 🐒
Hiyo ni personal issues. Mambo ya kuzaliwa na kutokuzaliwa yapo out of context.Tundu Lissu Amezaliwa January 20, 1968 so ana miaka 57 as today, Nitashangaa kama atatameshwa na Stephen Masato Wasira aliyezaliwa July 1, 1945, mwenye miaka 79 as today. yaani kwa kifupi wakati Wassira yupo na 22 yrs old Tundu lissu ndo anazaliwa, aiseee anatetemeshwaje hapi Kijana wa Singida?
Gentleman,Mlitoa pesa nyingi sana ili Lissu asishinde na ulikuwa umpiga debe wa mbowe ili Lissu asiwe mwenyekiti yote hayo ni kuwa na hofu naye.
Lissu ameshawahi kulifanyia nini Taifa la Tanzania? 🤣 🤣 🤣 🤣 Taja jambo moja tuYani wasira amtetemeshe Lissu? Hahahahaah we mtoto, umeogeshwa leo?