Pre GE2025 Wasira awatetemesha akina Tundu Lissu na Wenzake: "Kauli Mbiu ya "No Reform, No Election" Haina Maana Kwa Sasa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wasira ni "debe tupu".
Mtu wa enzi za Nyerere anaweza kuwa na vision gani kwa dunia ya leo?
Mawazo chakavu kutoka kwa mtu chakavu wa chama chakavu
Chama kipo na Katibu Mkuu na watendaji lukuki. Je, hujui hilo?
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
View attachment 3213528
Akizungumza leo, Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira alieleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.

"Kauli ya 'No Reform, No Election' haina nafasi kwa sasa. Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wameonyesha utayari wa mazungumzo, na bunge linakaribia kuvunjwa, hivyo hakuna muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria yanayohitaji muda mrefu," alisema Wasira.

Aliongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio.

Wasira aliwataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu. "Ni muhimu kushiriki uchaguzi na kuwa sehemu ya demokrasia badala ya kupoteza muda na kauli ambazo hazina tija kwa wananchi," alisisitiza.
Atakuwa hajui!
 
Tundu Lissu Amezaliwa January 20, 1968 so ana miaka 57 as today, Nitashangaa kama atatameshwa na Stephen Masato Wasira aliyezaliwa July 1, 1945, mwenye miaka 79 as today. yaani kwa kifupi wakati Wassira yupo na 22 yrs old Tundu lissu ndo anazaliwa, aiseee anatetemeshwaje hapi Kijana wa Singida?
 
Huyu mzee atakuja kujifia bure aise maana ukimuangalia alivyosimama utadhani kabanwa haja kubwa.

Sasa huyu nae ni wakutetemesha mtu . Mtu mwenyewe amejichokea kuanzia mwili hadi akili.Hapo anawaza kusinzia tu.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
View attachment 3213528
Akizungumza leo, Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira alieleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.

"Kauli ya 'No Reform, No Election' haina nafasi kwa sasa. Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wameonyesha utayari wa mazungumzo, na bunge linakaribia kuvunjwa, hivyo hakuna muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria yanayohitaji muda mrefu," alisema Wasira.

Aliongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio.

Wasira aliwataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu. "Ni muhimu kushiriki uchaguzi na kuwa sehemu ya demokrasia badala ya kupoteza muda na kauli ambazo hazina tija kwa wananchi," alisisitiza.
Wakati ccm yenyewe ilishavunja maridhiano kwa kukataa kuwa na Katiba Mpya pamoja na TUME HURU YA UCHAGUZI.
 
Tundu Lissu Amezaliwa January 20, 1968 so ana miaka 57 as today, Nitashangaa kama atatameshwa na Stephen Masato Wasira aliyezaliwa July 1, 1945, mwenye miaka 79 as today. yaani kwa kifupi wakati Wassira yupo na 22 yrs old Tundu lissu ndo anazaliwa, aiseee anatetemeshwaje hapi Kijana wa Singida?
Hiyo ni personal issues. Mambo ya kuzaliwa na kutokuzaliwa yapo out of context.
 
Mlitoa pesa nyingi sana ili Lissu asishinde na ulikuwa umpiga debe wa mbowe ili Lissu asiwe mwenyekiti yote hayo ni kuwa na hofu naye.
Gentleman,
kwahiyo mlitaka kutumia ukumbi wa mlimani city na hoteli bure sio?🐒
 
Back
Top Bottom