Pre GE2025 Wasira awatetemesha akina Tundu Lissu na Wenzake: "Kauli Mbiu ya "No Reform, No Election" Haina Maana Kwa Sasa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..Bunge limeelekeza iandikwe upya ili kuwezesha Tume Huru kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.

..kwasababu Mama Abduli alilenga kuiba uchaguzi wa serikali za mitaa ndio maana maelekezo ya Bunge hayajatekelezwa.
Mara unasema bunge limeharibu utaratibu, mara Rais amekataa.

Tuambie lini bunge limesema hivyo? Na azimio hilo lilipitishwa lini?
 
Nauzika zaidi na muonevu government,Tena sana!

Nataka njia za kweli na practical kufanikisha hili si kutujaza upepo

Shida ni Lissu anapotudanganya as if sisi ni watoto wadogo

Ametuaminisha yeye ndio muarobaini wa huu uonevu tukampa status ya Mesiah,cha ajabu anakuja na hizi alinacha ambazo tushazisikia na kujaribu huko nyuma

Akae chini afikirie practical way to get around CCM and its machinery to promised land,na awe mkweli asife kitu

Aache kutudanganya na kutupotezea muda

Muongo tu,sana sana kutokana na ujanja finyu wake atapelekea hadi ACT ku-collude na CCM kutupita kua chama kikuu rasmi nchini maana anampa CCM option,hapo we will be officially burried!

Haoni hata hili kabisa!
Baada ya Mbowe kutoka. CHADEMA is already dead. Tayari Lissu ameanza kuwafukuza wachaga kwenye chama. Watamsusia na kumuachia.

Atabaki na akina Maria Sarungi ambao hawana impact katika jamii.

CHADEMA IS DEAD
 
..badala ya kufanya uchaguzi kwa kutumia sheria mbovu kwanini tusiuahirishe mpaka 2016 ili tufanye marekebisho ktk Tume ya Uchaguzi?

..hii nchi ni yetu sote. Raisi apewe ushauri mzuri kwa maslahi ya taifa letu.
Uko sahihi sana tusitishe mambo ya hovyo kutokea kwa maslahi mapana ya nchi
 
Umerudi pale ale et ku seat bila conditions .mm ndo maana wanangu nimeruhusu wabadili uraia tu
ni kujidanganya zaidi kukaa hapa na kujifanya unakwepa ukweli/reality

hiyo ndio reality

cha msingi ni kua mkweli na ku-recognize hilo na kupanga ujanja madhubuti wa ku-cheat hiyo reality into your advantage

cha ajabu wewe na Lissu ana group lake wanatudanganya as if sisi ni watoto

hawa jamaa thinking yao ni ya kishenzi kama wanasiasa wengine tu

i see njia aliyotumia freeman hawa wajinga watairudia atleast wapate chochote october,otherwise chadema is buried and ACT is taking our place rasmi!

mark this post my nigga!
 
Baada ya Mbowe kutoka. CHADEMA is already dead. Tayari Lissu ameanza kuwafukuza wachaga kwenye chama. Watamsusia na kumuachia.

Atabaki na akina Maria Sarungi ambao hawana impact katika jamii.

CHADEMA IS DEAD
Exactly my sentiments!

Na hizi blunders mkuu ndio Zitto and ACT will benefit the most

With October just keshokutwa,Zitto will smash the whole of Pemba and some few parts of Bara then they are officially number one opposition party in TZ

na ndio itakua matanga rasmi ya CDM

ZItto ni mjanja kuliko Lissu by far,and he will play him like a dummy!
 
..unashauri Chadema wafanye nini?

..maana uchaguzi serikali za mitaa waligusa wakapata 0.8% ya ushindi.
 
Mara unasema bunge limeharibu utaratibu, mara Rais amekataa.

Tuambie lini bunge limesema hivyo? Na azimio hilo lilipitishwa lini?

..kasome Sheria ya kuanzisha Tume Huru ya uchaguzi imesema nini kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa. Na kama kilichoelezwa kuhusu uchaguzi huo kimetekelezwa na serikali.
 
..unashauri Chadema wafanye nini?

..maana uchaguzi serikali za mitaa waligusa wakapata 0.8% ya ushindi.
yafuatayo:

1.chadema ikae na vyama vingine vyote especially ACT with respect as equals and propose a power sharing deal mezani so attractive kiasi kwamba even if ccm ikija kuwarubuni wakatae.....ila hii Lissu hawezi maana Lissu ni isolator na sio organizer na sio team player by nature..

2.after locking number 1 above,wote united front wagomee uchaguzi,then ccm will be forced kuja mezani

3.if number 1 fails,Chadema will have no choice ila kwenda kwenye uchaguzi hivyo hivyo,wasipoenda,ACT will effectively dethrone them

4.wafanye maridhiano kama ya mbowe tu wabadili vipengele kadhaa ccm itakavyo kubali then waende kwenye uchaguzi hivyo hivyo,maana ni heri nusu shari kuliko shari kamili

yale mengine ya kuandamana na kujitia umwamba,sijui na bla blah ni stupid talk tu
 
yafuatayo:

1.chadema ikae na vyama vingine vyote especially ACT with respect as equals and propose a power sharing deal mezani so attractive kiasi kwamba even if ccm ikija kuwarubuni wakatae

2.after locking number 1 above,wote united front wagomee uchaguzi,then ccm will be forced kuja mezani

3.if number 1 fails,Chadema will have no choice ila kwenda kwenye uchaguzi hivyo hivyo,wasipoenda,ACT will effectively dethrone them

4.wafanye maridhiano kama ya mbowe tu wabadili vipengele kadhaa ccm itakavyo kubali then waende kwenye uchaguzi hivyo hivyo,maana ni heri nusu shari kuliko shari kamili

yale mengine ya kuandamana na kujitia umwamba,sijui na bla blah ni stupid talk tu

..#4 haiwezekani kwasababu CCM wameshasema hakuna kitakachobadilika kwasababu muda ni mfupi sana mpaka October 2025.
 
namba 4 ilikua inawezekana maana FAM alikua anafanya nao maridhiano

na nina wasiwasi wakilalamika sana na ili ku-sanitize wizi wao watakua willing kuwapa afew vipengelee kabla ya October

maana ccm itatafuta sana sanitization ya uchaguzi october kuupa atleast fake legitimacy infront of international powers,na hii ni njia

probabily wataonjesha vipengele kidogo kama FAM alivyokua ana pursue nao
 
..Lissu anasema Chadema walitoa mapendekezo ya mabadiliko, na ratiba ya namna ya kutekeleza mapendekezo hayo. Kwa bahati mbaya CCM walikataa mapendekezo hayo na matokeo yake mazungumzo yakavunjika.

..Vilevile Lissu hajakataa mazungumzo. Yeye anasisitiza kwamba hataki uongo au kudanganyana wakati wanazungumza. Kama ni mazungumzo basi pande zote zishiriki zikiwa na nia njema na zizingatie maslahi ya nchi.
 
haya wamekataa hayo mabadiliko,hebu niambie utafanya nini?

bila kuungana vyama vyote 30 au atleast with ACT ,kwa lissu na wahafidhina wa CDM ni ngumu,then hakuna chochote hapo
 
..ndio nakuuliza wewe sasa utoe muelekeo.

..mabadiliko yamekataliwa, wameshajaribu kwenda hivyohivyo wameambulia 0.8% ya matokeo.

..Na wananchi wako busy na Simba vs Yanga.

..Na Mama Abduli ameshahonga vyama 18 vya mfukoni.

..ungekuwa Mwenyekiti wa Chadema ungefanya nini?
 
hapo ndio inapokuja "the art of ushirikiano" ambao it is not the best quality of Lissu

solution ni moja tu,ku device the best deal CDM can offer to these 30 parties to join him in order to counter CCM

hela za ccm ni illegal hivyo sio binding,ila alliance is a legal contract na ipo binding,atakaeenda kinyume mnaweza pelekana mahakamani,hivyo most likely ni effective

ila hili la forging strategic alliances Lissu haliwezi maana ana ego kubwa sana to do this,na hii itapelekea CDM kufa kama vyama vya Lyatonga

Muelekeo wangu ndio huo na Lissu hataweza ufata maana DNA yake si ya kushirikiana ni ya Mimi mimi mimi!

We are doomed,yaani tushafeli tayari,ccm will rule another 5yrs un opposed!
 
Ukosefu wa akili huu. Yaani waingie kwenye Uchaguzi Mkuu halafu mfanye kama wa Serikali za Mitaa?
 
..kasome Sheria ya kuanzisha Tume Huru ya uchaguzi imesema nini kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa. Na kama kilichoelezwa kuhusu uchaguzi huo kimetekelezwa na serikali.
Mzee. Uchaguzi wa serikali za mitaa upo na sheria yake. Uchaguzi mkuu upo na sheria zake. Na uundwajiwa tume huru ya uchaguzi upo na sheria yake. Sijui wewe unaongelea sheria ipi hapa?
 
..baada ya kuunda Tume "Huru" uchaguzi wa serikali za mitaa haukupaswa kusimamiwa na Ofisi ya Rais. Nini kilitakiwa kufanyika ili kiwezesha hilo, lakini hakikufanyika, ndio msingi wa hoja yangu.
 
hapo ndio inapokuja "the art of ushirikiano" ambao it is not the best quality of Lissu

solution ni moja tu,ku device the best deal CDM can offer to these 30 parties to join him in order to counter CCM

hela za ccm ni illegal hivyo sio binding,ila alliance is a legal contract na ipo binding,atakaeenda kinyume mnaweza pelekana mahakamani,hivyo most likely ni effective

ila hili la forging strategic alliances Lissu haliwezi maana ana ego kubwa sana to do this,na hii itapelekea CDM kufa kama vyama vya Lyatonga

Muelekeo wangu ndio huo na Lissu hataweza ufata maana DNA yake si ya kushirikiana ni ya Mimi mimi mimi!

We are doomed,yaani tushafeli tayari,ccm will rule another 5yrs un opposed!

..ACT au chama kingine kwanini wasitengeneze hiyo coalition? Sio lazima kila kitu kimtegemee Lissu, au Chadema.
 
..baada ya kuunda Tume "Huru" uchaguzi wa serikali za mitaa haukupaswa kusimamiwa na Ofisi ya Rais. Nini kilitakiwa kufanyika ili kiwezesha hilo, lakini hakikufanyika, ndio msingi wa hoja yangu.
Sasa ulitaka wakiuke Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za mitaa? We jamaa 🤣 🤣 🤣 Sheria ya Kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Sheria ya UChaguzi wa Serikali za mitaa ni Sheria mbili tofauti usichangaye.
 
..ACT au chama kingine kwanini wasitengeneze hiyo coalition? Sio lazima kila kitu kimtegemee Lissu, au Chadema.
CHADEMA is Alredy dead. ACT itakuwa chama kikuu cha upinzani. Mbowe anahamia ACT
 
Back
Top Bottom