Pre GE2025 Wasira: CHADEMA wakitaka kufanya fujo wanachukua vijana kutoka Tarime

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
muwe munamukokea moto pembeni asisinzie babu yenu
 
Mzee bado anasiasa za mwaka 47
 
Ametudharau sana vijana wa Tarime. Kwahiyo sisi ndio hatuna ajira za kueleweka tunasubiria kukodishwa tukafanye fujo maeneo mengine?

Kama ccm inathamini juhudi za vijana, kwanini wakija wageni bodaboda wote wanapigwa marufuku mjini?
 
Mkuuu akili zako hazina akili
 
Hii muzee ishachoka
 
Ulivyo jichanganya! 😂😂😂😂
 
Tatizo la nchi hii watu wanachagua chama badala ya kuangalia mtu mwenye uwezo wa kumsemea matatizo yake na kushirikiana pamoja kuyatatua siku tukitoka hapo tu tuache kuchagua marafiki wasio na uwezo tichague viongozi bora
 
Mipango ya kwenye majukwaa ya kiasiasa huwa haitekelezeki huishia hapo hapo

castigating in politics does not hold water in modern politics without fulfilments of people's needs
 
CHADEMA imekaa mdomoni kuliko sera za chama chake.
 
Kwa maoni yako huyo Wasira ana ushahidi wa hayo anayoyasema?

Au mnataka kulifanya jeshi la polisi lionekane halijui wajibu wake?

Mimi siamini kama kuna vijana wanachukuliwa tu bila malipo kisa wakaandamane mkoa mwingine

Hiyo kazi ya kuchukua vijana kwingine ni ya ccm tu kwa vyama vingine ni ngumu mno!
 
Hivi Wasira anaposema ni marufuku vyama pinzani kutumia vijana kutoka Mkoa wa Mara, anajielewa yeye mwenyewe na Chama alichomo anakielewa? Hivi anatambua kiuhalisia kwamba CCM, tofauti na vyama vya upinzani (ukitoa CUF) siyo Cama cha Tanganyika. Huo ni muungano wa vyama viwili (ASP na TANU), vya nchi mbili (Zanzibar na Tanganyika), vilivyoungana 1977 ili kuongoza nchi mpya iliyopatikana baada ya Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Tanganyika kukubaliana kuunganisha nchi zao kuuwa nchi moja iliyoitwa Tanzania. Muungano huo (nchi hiyo mpya) ulivunjika pale Serikali ya Zanzibar ilipoamua kujitoa katika Serikali ya Muungano. Kwa maana ya kitendo hicho cha nchi ya Zanzibar kuondoa ardhi yake na Serikali yake kutoka katika Muungano, hiyo nchi mpya (Tanzania) ilitoweka katika ramani. Hii ina maana CCM nayo imebakia kuwa Muungano wa ASP na TANU ambao hauna kauli (mandate) rasmi katika Zanzibar na Tanganyika. Na hii ndiyo siri iliyo nyuma ya pazia kwa nini CCM inapinga kwa nguvu zote RASMU YA KATIBA MPYA, kwa sababu katiba hiyo itaunda Muungano ambao hautakuwa wa nchi moja, bali Muungano wa nchi mbili wanachama, kila moja ikiwa na Serikali yake na vyama vyake vya siasa. Ni dhahiri katika mfumo huo CCM, ambayo ilianzishwa kuongoza Muungano wa nchi moja, haitakuwa na kazi, bali kusambaratika. Na ndivyo ilivyo kiuhalisia katika hali ya Muungano huu unaolazimishwa kuwapo kwa nguvu za dola. Muungano halali haupo, ndiyo sababu anayeitwa Rais wa Muungano, anatawala Tanganyika peke yake, maana Zanzibar ina Serikali yake. Kwa ufafanuzi huo, mzee Wasira atambue kwamba vyama vya upinzani ndivyo vyama halali vya Tanganyika hivyo ndivyo vilivyo na haki ya kuwatumia wanachama wake wa sehemu yo yote ya Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…