Wasira: Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo.

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.

Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.

Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.

Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?

Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
 
Atolee mifano ya nchi zenye MAENDELEO barani Africa 🌍

Utuambie

POLEPOLE alituambia alimwomba uwaziri mkuu hayati magufuriii hapo hapo akadondokea pua uchaguzi bunda tena kwa kugaragazwa na mwamamke

NB. Huyu mzee anatakiwa awe KABURINI apumzike kwa amani

Screenshot_20260908-123557.png
 
Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.

Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.

Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.

Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?

Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
Ikiwa hofu yako ni hiyo basi tukukunguzie wewe kabisa halafu zikaomgezawe kule,hapo napo tutakosa maendeleo,hayo tunayakosa kwani ukwapuaji umepitiliza ila sii nguvu za yeyote kuzidi ama kupungua,hakuna anayewajibika kikamilifu hasa wenye hiyo nafasi kuhakikisha maendeleo ya wote,zaidi watu wanaangalia maendeleo ya Tumbo zao na za familia zao Tu.
 
Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.

Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.

Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.

Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?

Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
mzee wasira ana maono na mawazo yatakayoishi mamia ya miaka ijayo.

hakuna namna nguvu za rais zinaweza kupunguzwa.

na,
ni nchi ya ajabu sana na isiyojielewa inaweza kufanya kitu useless kama hicho:1Head:
 
Shida ya hivi vyama vinadhani katiba mpya ipo kubeba chama na madaraka tu.
Hivi tukipunguza madaraka ya Rais ya kuteua hadi Dc,DED na DAS ambao kimsingi hawajui hata sura zao kuna shida gani ?
Kuteua kamishana wa TPA, NCAA,TANAPA , sijui mwenyekiti wa bodi flani kuna shida gani
CCM wao huwaza madaraka tu , ukigusa vyeo umewagusa wao
Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya huwa wanaongea kwenye vikak hata Kihongosi juzi alisema hapendekez madaraka ya Rais yapunguze as if CCM wamenunua nchi hii.
 
mzee wasira ana maono na mawazo yatakayoishi mamia ya miaka ijayo.

hakuna namna nguvu za rais zinaweza kupunguzwa.

na,
ni nchi ya ajabu sana na isiyojielewa inaweza kufanya kitu useless kama hicho:1Head:
Unayafahamu hata madaraka ya rais yanayolalamikiwa?
Hebu utuwekee hapa tuone jinsi yanavyochangia maendeleo ya nchi na wengine wakuonyesha namna zinavyokwamisha
 
In fact nguvu na madaraka ya Rais yanapaswa kuongezwa zaidi gentleman, bila kujali hizo porojo zako zingine :1Head:
 
Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.

Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.

Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.

Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?

Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
Wasira apuuzwe.
 
Binadamu wa kale zaidi alipatikana Tz ushahidi upo na tunautunza kwa wivu mkubwa sana.
Au nasema uongo ndugu zangu ?
 
Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.

Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.

Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.

Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?

Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
Huyu jamaa ana akili timamu kweli? Au vile alivyokaa na imesababisha ubongo kukakamaa?
 
Back
Top Bottom