Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,461
- 19,779
Presumably retarded.Na hawa ndio wazee tulionao? Hawana clue tuko zama zipi, na future ikoje? How pathetic is he
Presumably retarded.Na hawa ndio wazee tulionao? Hawana clue tuko zama zipi, na future ikoje? How pathetic is he
Matusi ya nini sasa??Wasira ni taahira tu huyo.
Siasa za dhihaka hazina tijaZinjathropo in one & two.
Kaburini?? Tengana na Siasa za namna hii za kumuombea mabaya mtu mwema.NB. Huyu mzee anatakiwa awe KABURINI apumzike kwa amani
Maendeleo ni pamoja na wingi wa rasilimali na historia ndio maana Qatar ina maendeleo makubwa kuizidi Egypt.Kenya Rais amepunguziwa Madaraka! Tanzania tunawazidi maendeleo?
Huyu mzee haangalii kesho ya vizazi vyetu na vizazi vinavyokuja!
Sasa eti huyu babu ndio asikilizwe akiwa fofo bungen! Mburaa...Atolee mifano ya nchi zenye MAENDELEO barani Africa 🌍
Utuambie
POLEPOLE alituambia alimwomba uwaziri mkuu hayati magufuriii hapo hapo akadondokea pua uchaguzi bunda tena kwa kugaragazwa na mwamamke
NB. Huyu mzee anatakiwa awe KABURINI apumzike kwa amani
View attachment 3668493
Pumbavu,kwahiyo Kenye tunaizidi maendeleo? Takataka. Sijui na lenyewe litaondoka lini, si linaenda kwenye 90Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.
Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.
Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.
Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?
Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
Yaani sikujua kwamba we jamaa ni mbumbumbu kiasi hiki jitaidigi basi kuficha upumbavu japo kidogonasema hivi,
hakuna haki, kinga au madadaka ya Rais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, yatapunguzwa hata nukta tu au koma gentleman,
, ispokua wananchi na waTanzania wengi nadhani wanapendelea Rais wao aongezewe nguvu na madaraka zaidi katika kuongoza nchi![]()
huna haja ya kuweweseke, kujawa mihemko au makasiriko dhidi ya maoni na mtazamo wangu dhidi ya madaraka, kinga na nguvu za Rais wa Tanzania gentleman.Yaani sikujua kwamba we jamaa ni mbumbumbu kiasi hiki jitaidigi basi kuficha upumbavu japo kidogo
Coz hata katiba pendekezwa ambayo ni zao la ccm ilipunguza madaraka ya rais rasimu ya warioba ndo usiseme kwa hiyo wewe akili zako zinawaza pumba tu

Kwa hiyo hapa umejibu nini kama maoni sina yaani ninyi ndio mnaiongoza nchi kaburini raisi anateua watu zaidi ya 200 haujui kwamba kwa vyovyote atainguzwa mkenge na wahuni?huna haja ya kuweweseke, kujawa mihemko au makasiriko dhidi ya maoni na mtazamo wangu dhidi ya madaraka, kinga na nguvu za Rais wa Tanzania gentleman.
toa tu maoni na mtazamo wako ukiwa umerelax na itapendeza zaidi, hakuna haja ya kupanic na kujipiga kifua hali ya kua hata maoni yenyewe huna![]()
Bahati nzuri huwa watu wenye uwezo wa kuchalenji mambo ya kikatiba na kutoa maoni chanya ni wenye ni wenye upeo mkubwa sana ila wenye upeo mdogo wanabaki kushabikia tu type ya wasiraYes,
ukweli lazima usemwe.
madaraka ya rais yapunguzwe halafu apewe nani au yaende wapi?
we uliskia nchi gani inafanya kitu useless kama hiyo![]()
Ngedere huyu ,maendeleo gani mmeleta zaidi ya kujaza matumbo yenu miaka 65+ pumbavu mbwa taka taka ,Mkoloni mwingereza ni bora Mara milioni kuliko hizo takatkata ,Leo Tanzania ingekuwa London ndogo , haya mafala yanabwata na kutafuna resources Kama panya na mchwa ,ccm laana ya taifaAkichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.
Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.
Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.
Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?
Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
Mzee Wasira hua anatoa mawazo yanayoishi daima,Bahati nzuri huwa watu wenye uwezo wa kuchalenji mambo ya kikatiba na kutoa maoni chanya ni wenye ni wenye upeo mkubwa sana ila wenye upeo mdogo wanabaki kushabikia tu type ya wasira
Pengine humfahamu wasira au huna historiaMzee Wasira hua anatoa mawazo yanayoishi daima,
na hua hapepesi macho katika kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.
Jambo muhimu zaidi waTanzania wote wanamuelewa vizuri sana 🐒
Fala huyu.Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.