Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Yes,
ukweli lazima usemwe.
madaraka ya rais yapunguzwe halafu apewe nani au yaende wapi?
we uliskia nchi gani inafanya kitu useless kama hiyo

Yes,

Delegation of Power.Yes,
ukweli lazima usemwe.
madaraka ya rais yapunguzwe halafu apewe nani au yaende wapi?
we uliskia nchi gani inafanya kitu useless kama hiyo![]()
Huyo jamaa kumuelewa msome kinyume chake ni mtu wa iron anachoongea hamaanishi ila kinyume chakeDelegation of Power.
Nataka apewe majukumu hadi ya kuchonga majeneza ya wateule wake.
Ni kweli kama mamlaka ya raisi yakipunguzwa basi iwekwe sharia ya kunyongwa mafisadi
La sivyo Kuna watu watanya madudu Kwa kujificha katika kivuli Cha katiba
Huyu mzee walah kalewa madaraka Kawa nchwiii ,yaan huyu mzee astaafishwe Kwa lazima maana Hana mchango chanya kwenye nchiAkichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.
Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.
Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.
Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?
Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
Elezea madaraka wanayoyasemaYes,
ukweli lazima usemwe.
madaraka ya rais yapunguzwe halafu apewe nani au yaende wapi?
we uliskia nchi gani inafanya kitu useless kama hiyo![]()
nasema hivi,Elezea madaraka wanayoyasema

Nguvu ya kuteka na kupoteza watu ni bora iondolewe tuKenya Rais amepunguziwa Madaraka! Tanzania tunawazidi maendeleo?
Huyu mzee haangalii kesho ya vizazi vyetu na vizazi vinavyokuja!
Hizo nguvu zimetumika Kuteka, kutesa, kubambikia kesi, kufira na kuua Watanzania maelfu mpaka sasa.Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.
Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.
Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.
Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?
Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
Zipi hasa huwa ndio Sifa za mgombea Urais?Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.
Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.
Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.
Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?
Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
WTF?
Kenya Rais amepunguziwa Madaraka! Tanzania tunawazidi maendeleo?