The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Atolee mifano ya nchi zenye MAENDELEO barani Africa 🌍Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.
Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.
Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.
Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?
Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
Ikiwa hofu yako ni hiyo basi tukukunguzie wewe kabisa halafu zikaomgezawe kule,hapo napo tutakosa maendeleo,hayo tunayakosa kwani ukwapuaji umepitiliza ila sii nguvu za yeyote kuzidi ama kupungua,hakuna anayewajibika kikamilifu hasa wenye hiyo nafasi kuhakikisha maendeleo ya wote,zaidi watu wanaangalia maendeleo ya Tumbo zao na za familia zao Tu.Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.
Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.
Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.
Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?
Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
mzee wasira ana maono na mawazo yatakayoishi mamia ya miaka ijayo.Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.
Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.
Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.
Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?
Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
Unayafahamu hata madaraka ya rais yanayolalamikiwa?mzee wasira ana maono na mawazo yatakayoishi mamia ya miaka ijayo.
hakuna namna nguvu za rais zinaweza kupunguzwa.
na,
ni nchi ya ajabu sana na isiyojielewa inaweza kufanya kitu useless kama hicho
In fact nguvu na madaraka ya Rais yanapaswa kuongezwa zaidi gentleman, bila kujali hizo porojo zako zingineUnayafahamu hata madaraka ya rais yanayolalamikiwa?
Hebu utuwekee hapa tuone jinsi yanavyochangia maendeleo ya nchi na wengine wakuonyesha namna zinavyokwamisha
Wasira apuuzwe.Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.
Hizi akili zimejaa kimazoea sana.
Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta ili ziendelee.
Haya mawazo ni mawazo ya ajabu sana na ni ajabu kwamba yanatolewa na watu waliopata dhamana kubwa sana katika taifa letu.
Unaposema Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo
Kwani nguvu za rais zinaongezaje maendeleo?
Kwa hiyo kote walikoendelea rais ana nguvu sana?
Au kokote ambako madikteta wanatawala kuna maendeleo sana?
DuhIn fact nguvu na madaraka ya Rais yanapaswa kuongezwa zaidi gentleman, bila kujali hizo porojo zako zingine
Huyu jamaa ana akili timamu kweli? Au vile alivyokaa na imesababisha ubongo kukakamaa?Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo.