Wasira: Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo.

Huyu mzee walah kalewa madaraka Kawa nchwiii ,yaan huyu mzee astaafishwe Kwa lazima maana Hana mchango chanya kwenye nchi
 
Elezea madaraka wanayoyasema
nasema hivi,
hakuna haki, kinga au madadaka ya Rais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, yatapunguzwa hata nukta tu au koma gentleman,
, ispokua wananchi na waTanzania wengi nadhani wanapendelea Rais wao aongezewe nguvu na madaraka zaidi katika kuongoza nchi
 
Rais amekuwa na hayo mamlaka yote kwa zaidi ya miaka 40+ na hajaleta maendeleo so apunguziwe tuuu ili tujaribu mbinu nyingine ikishindikana apia tutaona huko mbeleni kwa sababu hayo mamlaka yanampa kiburi na kumfanya awe juu ya sheria
 
Haya ndio maendeleo kuteka na kuua watanganyika.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hizo nguvu zimetumika Kuteka, kutesa, kubambikia kesi, kufira na kuua Watanzania maelfu mpaka sasa.

Maendeleo gani yameletwa na nguvu za rais nje ya Ripoti za CAG?
 
Zipi hasa huwa ndio Sifa za mgombea Urais?
Unapomchagua mgombea Urais unatazama vitu gani? Tuanzie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…