Wasira: Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo.

Sasa eti huyu babu ndio asikilizwe akiwa fofo bungen! Mburaa...
 
Pumbavu,kwahiyo Kenye tunaizidi maendeleo? Takataka. Sijui na lenyewe litaondoka lini, si linaenda kwenye 90
 
Yaani sikujua kwamba we jamaa ni mbumbumbu kiasi hiki jitaidigi basi kuficha upumbavu japo kidogo
Coz hata katiba pendekezwa ambayo ni zao la ccm ilipunguza madaraka ya rais rasimu ya warioba ndo usiseme kwa hiyo wewe akili zako zinawaza pumba tu
 
huna haja ya kuweweseke, kujawa mihemko au makasiriko dhidi ya maoni na mtazamo wangu dhidi ya madaraka, kinga na nguvu za Rais wa Tanzania gentleman.

toa tu maoni na mtazamo wako ukiwa umerelax na itapendeza zaidi, hakuna haja ya kupanic na kujipiga kifua hali ya kua hata maoni yenyewe huna
 
Kwa hiyo hapa umejibu nini kama maoni sina yaani ninyi ndio mnaiongoza nchi kaburini raisi anateua watu zaidi ya 200 haujui kwamba kwa vyovyote atainguzwa mkenge na wahuni?
Moja ya mambo ambayo kwa ustawi wa nchi rais anatakiwa kupunguziwa ni idadi ya watu anaoteua yeye
 
Yes,
ukweli lazima usemwe.

madaraka ya rais yapunguzwe halafu apewe nani au yaende wapi?

we uliskia nchi gani inafanya kitu useless kama hiyo
Bahati nzuri huwa watu wenye uwezo wa kuchalenji mambo ya kikatiba na kutoa maoni chanya ni wenye ni wenye upeo mkubwa sana ila wenye upeo mdogo wanabaki kushabikia tu type ya wasira
 
Ngedere huyu ,maendeleo gani mmeleta zaidi ya kujaza matumbo yenu miaka 65+ pumbavu mbwa taka taka ,Mkoloni mwingereza ni bora Mara milioni kuliko hizo takatkata ,Leo Tanzania ingekuwa London ndogo , haya mafala yanabwata na kutafuna resources Kama panya na mchwa ,ccm laana ya taifa
 
Bahati nzuri huwa watu wenye uwezo wa kuchalenji mambo ya kikatiba na kutoa maoni chanya ni wenye ni wenye upeo mkubwa sana ila wenye upeo mdogo wanabaki kushabikia tu type ya wasira
Mzee Wasira hua anatoa mawazo yanayoishi daima,
na hua hapepesi macho katika kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.

Jambo muhimu zaidi waTanzania wote wanamuelewa vizuri sana πŸ’
 
Mzee Wasira hua anatoa mawazo yanayoishi daima,
na hua hapepesi macho katika kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.

Jambo muhimu zaidi waTanzania wote wanamuelewa vizuri sana πŸ’
Pengine humfahamu wasira au huna historia
Yaani wasira ndo aina ya wanasiasa ambao hata baada ya kuondoka kwake hataacha legacy yoyote zaidi ya kupendekeza nguvu za rais zisipunguzwe
Wakati kwenye katiba pendekezwa alishauri rais apunguziwe madaraka
 
Fala huyu.
Kwa hiyo Marekani hawana maendeleo?
Vipi Kenya, tunawazidi nini?.
Hizi nchi mbili; Marekani na Kenya, marais hawana mamlaka mengi kama ya marais wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…