Wasiwasi Mwabulambo wa Azam TV atajwa kupokea Rushwa ya Tsh. 800,000 ili aidhinishe kipindi cha TV

Patrick Kahemele sio mrundi huyu bwana?
 
Kwa hio wewe kutoa rushwa hauwasupport au nilikuelewa vibaya?
Ikibidi natoa sababu kuna binadamu kama wanyama;
Nilikua na mgonjwa aliyepewa sumu, private hospital wakatupa transfer twende hospital flani kubwa ya serikali, kufika pale wakasema mgonjwa utumbo umeshaanza kuoza itabidi apate OP awekewe kipande cha utumbo wa plastic gharama 700k tukatoa
Siku 3 wanazunguka hadi mgonjwa anaanza kutoa wosia anasema anakufa ilibidi tuwakalipie madr kwanini awamfanyii hiyo OP, mmoja akasema tunamfanyiaje mtu OP tukiwa na njaa
400k ilitutoka mgonjwa akapata matibabu akapona
Tusingetoa hiyo hongo je? Tungempoteza! kuna Mazingira mtu anakubana unajikuta huna budi kutoa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…