Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
braza kahemele anapigo za kinyamwezi snifahamike tu kwa sasa azam media ipo chini ya uongozi wa kijana machachari patrick kahemele
Mzee wa pugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
braza kahemele anapigo za kinyamwezi snifahamike tu kwa sasa azam media ipo chini ya uongozi wa kijana machachari patrick kahemele
Patrick Kahemele sio mrundi huyu bwana?swahiba wangu mwabulambo ameyatimba safari hii.
naona 2023 inaisha vibaya kwa baadhi ya wadau wa sector ya media
leo nikiwa viunga vya azamtv tabata nilipishana na bibie sophia mgaza, uso wake ulikuwa umejaa unyonge sana mpaka nikamuonea huruma.
ifahamike tu kwa sasa azam media ipo chini ya uongozi wa kijana machachari patrick kahemele baada ya mzee tido mhando kujiandaa kustaafu mwishoni mwa mwaka huu.
kwa maana hiyo sidhani kama patrick ataacha hili lipite hivihivi bila kuwawajibisha wanaotuhumiwa. mda ni rafiki mzuri, tusubiri kuona kile kitakachojiri.
Huko ndio kumejaa uvundo Bora hata wasipaguseKituo kinachofuata Star times
Pesa mbele huna Pesa toa penzi hapo vipi mama?Watu hawana ubinadamu kabisa!!
KUna mazingira yanakubana huna budi kutoa rushwa,Pesa mbele huna Pesa toa penzi hapo vipi mama?
Yaan utoe ili iweje kimfano maana unaweza utoe na usipate unachotaka ndio hapo kifuatacho fichua maovuKUna mazingira yanakubana huna budi kutoa rushwa,
Naweza kutoa ikibidi ila kupokea hapana
AibuWasiwasi hana wasiwasi hata kidogo.
Kuna mazingira yanaweza kukubana huwezi kukaza fuvu mfano hospital unaona mgonjwa anataka kufa madaktari wanakuangalia wanataka pesaYaan utoe ili iweje kimfano maana unaweza utoe na usipate unachotaka ndio hapo kifuatacho fichua maovu
Kwa hio utatoa hata ukiambiwa utoe penzi utatoa au utajifikiria? funguka mamaKuna mazingira yanaweza kukubana huwezi kukaza fuvu mfano hospital unaona mgonjwa anataka kufa madaktari wanakuangalia wanataka pesa
Siwezi kufunguka zaidi!Kwa hio utatoa hata ukiambiwa utoe penzi utatoa au utajifikiria? funguka mama
Labda ni mwandishi wa DW utajuajeSiwezi kufunguka zaidi!
Kwani wewe ni mwandishi wa BBC
UOngozi wa Azam uwafute kazi ili iwe fundisho kwa wengine.Labda ni mwandishi wa DW utajuaje
Haya sawa wafutwe tu kwani walianzia Azam wakifutwa si wataenda kwingine,UOngozi wa Azam uwafute kazi ili iwe fundisho kwa wengine.
Kwahiyo unasupport tabia yao!?Haya sawa wafutwe tu kwani walianzia Azam wakifutwa si wataenda kwingine,
Kwa hio wewe kutoa rushwa hauwasupport au nilikuelewa vibaya?Kwahiyo unasupport tabia yao!?
Ukishajua "adhabu" ni nini huwezi kusema maneno hayo
Ikibidi natoa sababu kuna binadamu kama wanyama;Kwa hio wewe kutoa rushwa hauwasupport au nilikuelewa vibaya?