Wasomali wamjia juu binti yao kwa kumlilia Diamond

Mkuu, hufai kuwa baba wa familia...vijana/wanao hawana cha kujifunza kutoka kwako babaa...
Mimi ni Baba na family yangu haina changamoto sana. Ninao mabinti na wavulana .

Kinachonishangaza ni kuwa binti mkubwa anaenda disko unamchaguliaje mpenzi ?!.
 
Nakubaliana

Ila sio wasomali pekee hata watanzania wenzetu kutoka kule kwa Maalim usajiri mpya wa ACT wanatubagua kuoa mabinti zao wanatuita sisi WASWAHILI. SIJUI wao wazungu?
We jamaa ushaleta siasa kwenye uzi wa watu?
 
Ethiopians wana asili ya kiyahudi suleman alipita na queen of sheba
 
Ethiopians wana asili ya kiyahudi suleman alipita na queen of sheba
Wayahudi na waarabu wako kwenye kundi jamii semites. Ndio maana Ethiopian na eretrians nao ni semites ila si wa Ethiopia wote ni semites bali ni kabila la Tigray ambapo queen sheba(wao wanasoma sabaa) alipotokea na mtoto alizaa na suleiman alikuwa anaitwa Menelik. Siyo yule melik 2
 
Familia duni, maisha duni, elimu duni, nchi duni unategemea nini? Hata dini hawajui utafikiri wao ndio wanajua uislam
mtu akikutenga na ww umtenge kwani shida iko wpi. ngoma draw
 
Uko deep bro umenikumbusha topic moja kwa history ilkua inaitwa "peopling people of africa"
 
Dah manzi hapo na kulowa kashalowa.

Hormones ziko at its height.

Jamaa akigusa tu demu anakojoa.

Mapenzi yana mengi aisee. Ila wanaume tutafute hela.
Mstari wa mwisho ndo ujumbe fasaha kabsaa kwa Kila mwanaume.
 
Thibitisha hii kamba
 
This is very true. Wengi hua hawaowi na kuolewa. Sababu wapo selective sana kwenye ndoa. Msichana akisoma tu hata ka degree, akifikisha 25yrs au asipofuata utamaduni wa kimavazi huyo haolewi tena. Wazazi wapo radhi bint yao azeeke ndani kuliko kuolewa na jamii tofauti.wanaume nao unless awe vizuri financially otherwise hapati mke.
It is a backward judgemental community.
Jamii ya wasomali kama inapungua vile...alafu cha kushangaza hawa jamaa huwa hawaowi wala kuolewa isipokuwa wachache sana.
 
Ni Wapumbavu sana Wasomali

Kwanza wanawake wao almost 95% wanatahiriwa.

Halafu wanatuita ''Nywele Ngumu''

Halafu kwenye mapenzi wanawake wao ni Zero.

Wanachojua zaidi ni kupika.

Ninaishi nao na pia nimesoma nao.
 
Aptii...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…