Wasomali ni Waafrika.Kuna waafrika wabaguzi sana, na wadini sana. Hapo msomali unataka afanyiwe figisu mpaka waishiwe ndio mfurahi sio? Msomali atabakia msomali na hawezi kuwa mwafrika, na mwafrika hawezi kuwa msomali, ndivyo ilivyo kwa waarabu, wahindi na wazungu. Sasa wao hujiona sio waafrika, unataka wawe waafrika kwa lazima!!
Hizi nchi zilizo na manaswara ni tabu tupu, ukiwa muislamu utafanyiwa zengwe kukwamishiwa mambo yako, ukiwa mtu wa race flani utafanyiwa figisu sana sana ili wasione unafanikiwa. Roho mbaya na hasadi zinawatesa.
Kuna Msomali Mkenya na Msomali Msomalia, kama vile kulivyo na Mjaluo Mtanzania na Mjaluo Mkenya, Mmasai Mtanzania na Mmasai Mkenya.Suali ukiwa na asili ya kisomali lakini ume zaliwa Kenya utahesabiwa kama Mkenya au Msomali?.
Katika hao mabikra 72 je na bikra wenu Maria yumo? Kama yumo niwekee oder nije nimtoe rinderKwani wewe hutaki kwenda kufanya ngono peponi na mabikira 72? Hakuna kulala ni kupigana miti tu,pembeni kuna Osama bin laden, Mullah Omary,Alzawahil,muddy, Marehemu rais wa Iran etc etc
Wasomali ni Waafrika.
Mbona huku ulaya biashara zao siyo za kutisha? Jibu hakuna janja janja huku.Umesahau kusema pia kwamba Wasomali wana ndugu zao wengi huko nje Ulaya, Marekani na Uarabuni ambao wanawapa michongo ya biashara, mbinu mbalimbali za kukwepa kodi, kusafirisha na kuficha pesa za kila aina.
Waafrika ni kundi kubwa sana la Watu, kuna Wabantu, Nilotes, Cushites (Wasomalia, wamang'ati, Wairaq, Waethiopia), berbers, WahadzabeWao wanajutambua ni wasomali zaidi, hawataki kuwekwa kundi moja na waafrika
Wasomali ni WaafrikaHilo unalitambua wewe tu, tangu lini msomali akawa mwafrika! Na mwafrika akawa msomali!
Hivi siri ya Mafanikio yao nini?!Hao wasomali wana maisha hata South Africa kuna mitaa wao ndio wana maduka mengi.
Hilo unalijua wewe tuWasomali ni Waafrika
Endelea kubaki na ujinga wako.Hilo unalijua wewe tu
Kuna Waarabu wala nguruwe,Wakijiona kuwa ni waarabu kuna shida? Si bora wajione kuwa waarabu kuliko wala nguruwe
Allahu akbar ni wimbo wa kigaidiHupigana kwenye misngi ya kiukoo ila kila mmoja akibwatuka allah akbar, yaani sijawahi kukaa nikawaelewa.
Bado hubajibu swali NASEMAJEEE NASEMAJEEE NIANDALIENI BIKIRAA MARIAAA NIMFUMUE RINDERRRRNenda na wewe gaza ukapigane huku unaimba ule wimbo maarufu wa kigaidi " Allahu akbar"ubutuliwe na IDF ili uende peponi ukafanye ngono na dada zako wale 72. Hivi wapo na wachina na wajaluo na wahindi au muddy kawaandalia waarabu tu?
Yaani mtu hajui hata jirani ni naniwasomali ni raia kule na Wana magavana wannendani ya nchi
Na wewe uwe unaelimika kabla kudanganya watu wasomali kinachowagombanisha kwao ni clans ingawa sijawahi kuwapenda hawa watu ,wanajionaga bora kuliko race za sisi wabantu na huu uselfish wao ndio unawafanya kwao kila mtu anajiona bora wanaishia kupigana miaka yoteHapa umebugi, ukabila upo Kenya ila sio kwa kiwango hiki ulichoaminishwa.
Wapo wasomali wengi raia wa Kenya, wana mkoa wao kabisa, Wasomali ni watu wenye hulka ya kujituma, sema dini ya uislamu ndio iliwachelewesha sana na kusababisha waharibu nchi yao, kila wakijaribu kunyanyuka wanapigana kila mmoja akisema Akbar Akbar.