Hongera kwakeeNarudia tena, kuna dada mmoja alimaliza degree yake pale mlimani, badala ya kutembea na CV yake maofisini kuomba kazi, alifanya kazi ya kuuza uji wa ulezi. Anatembeza na chupa yake kubwa ya uji na kuuza uji na ucheshi mzuri. Sasa hivi amefungua saloon yake kwa kutumia kipato cha kuuza uji na mambo yake ni mazuri. Kazi ni kazi, ili mradi ujue kwa siku unaingiza ngapi.
Mbona unatufokea mkuu,tumekukosea nini🤣🤣🤣Happy Easter to everyone,
Nimeguswa ku share haya machache kuhusu hili kundi kubwa la watu (Wasomi) ambalo ndo linaongoza kulalamika huku mitandaoni kuwa maisha magumu na wengine wakienda mbali zaidi kuwa serikali yetu haiwajali
Nimefuatilia kwa ukaribu wasomi wengi , kitu kinachowakwamisha ni wao wenyewe kujiona wao ni tofauti na watu wengine kwenye jamii na wanastahili kupewa heshima kubwa
Huu mtazamo wenu wasomi ndo unawafanya mnapishana na fursa nyingi kwakua lazima tukubali hakuna serikali duniani iliyoweza kuwaajiri watu wake wote , hivyo basi ukiwa kama msomi na umekosa ajira cha kwanza kabisa kubali kujishusha kuendana na mazingira halisi ya mtaani
Elimu uliyo nayo isikufanye uzubae tuu jichanganye na watu wa mtaani walioanza ujasiriamali hata kama wanafanya kwa kiwango cha chini , kupitia kujichanganya kwako kutakuongezea maarifa ambayo huna.
Elimu uliyo nayo isikufanye kujiona kuwa wewe ni mtu wa hadhi ya juu , huku huna source yoyote ya kukuingizia kipato. Kama huna means yoyote ya kuingiza kipato basi ujue kuna vingi sana huvijui unapaswa ujifunze
Elimu uliyo nayo itakusaidia tuu endapo utakubali kubadilika kutokana na mazingira lakini pia kukubali uhalisia wa mambo coz huku mtaani mambo ni tofauti sana na vile wasomi wanavyochukulia pindi wakiwa vyuoni..
Elimu ulionayo ukiongeza na maarifa kidogo tuu utakayoyapata pindi ukijichanganya na watu mtaani itakua na faida sana , kuliko kusubiri ajira
Elimu uliyo nayo bila kuwa na pesa tambua fika hakuna atakayekupa heshima kama wengi wenu mlivo na mawazo hayo ya kijinga.
Kushinda mitandaoni na kulalamika kuwa ajira ngumu tuu bila kuchukua hatua zozote ni ujinga ambapo ni wa kuacha mara moja
Tunawategemea sana kuja kuleta ukombozi mtaani kutokana na elimu mlioipata...ila hii hali ya kulaumu tuu serikali inatupa sana mashaka kuwa kuna uwezekano tuna wasomi ambao hawajaelimika
Kutukana hakubadili uhalisia, acha mihemko ya kijinga jibu hoja kwa hoja sio matusi.Huna akili , kwa hiyo wewe kilaza na akili yako fupi kama mkia wa mbuzi unataka watu wawe wanasoma mpaka chuo kikuu halafu warudi kufanya kazi za kipumbavu kama hizo ? Tena wengi wamezoea hawa kwa pesa za serikali ,hizo pesa za walipa kodi si bora zingetumika kufanya vitu vya msingi ? ,Yaani mtu asome awe Engineer ,doctor , mwanasheria nk aje kuuza uji na kufanya usenge mwingine ,aisee ,kuna watu ni mataahira sana
Ninyi ngumbaru mna matatizo sana ya akili , huko kuuza uji na kufanya kazi za kipumbavu kama hizo kuna leta tija gani kiuchumi kwenye taifa ? , Pumbav , kauze uji na kutembeza chupi za wanawake mwenyewe , acha kupangia watu maisha
Cocca kuna fursa huku kitaani kwetu,njoo ndugu yanguSisi tupoo tunao pita na fursa yoyote, mtupe connection bas.
🤣🤣🤣🤣Mkuu huyo mdau ametishaaKutukana hakubadili uhalisia, acha mihemko ya kijinga jibu hoja kwa hoja sio matusi.
Kila kitu kinahitaji target yako, uza uji uifikie hiyo target yako. Huna option ya cha kufanya ili utimize ndoto zako, ukisema ukae usubirie ajira utakaa sana na utatukana sana kuliko hata ulivyotukana hapa.
Tatizo la wengi ni kufanya kitu bila target, uza uji wako kwa malengo ya kutafuta mtaji wa kufanya yale ya ndoto yako.
Nb: hata dunia ipinduke haiwezekani ajira kwa wote.
Unategemea nini kwa taifa lilijaza upumbavu na kuendekeza mediocrity kama hili ? , Upuuz tu ndio umejaa humu .Halafu una skilled labour unashindwa kuitumia kujenga nchi , unawaza kutumia skilled and Proffessional labour kama wauza uji and other stupid , irrelevant issues ,Wasomi tunaonewa wivu na kupigwa vita sana hapa Tz, mtusamehe ni akili zetu zimetuponza.
NB:Ignore it!
Mkuu umeongea pointi ila umetumia lugha kali sanaHuna akili , kwa hiyo wewe kilaza na akili yako fupi kama mkia wa mbuzi unataka watu wawe wanasoma mpaka chuo kikuu halafu warudi kufanya kazi za kipumbavu kama hizo ? Tena wengi wamezoea hawa kwa pesa za serikali ,hizo pesa za walipa kodi si bora zingetumika kufanya vitu vya msingi ? ,Yaani mtu asome awe Engineer ,doctor , mwanasheria nk aje kuuza uji na kufanya usenge mwingine ,aisee ,kuna watu ni mataahira sana
Ninyi ngumbaru mna matatizo sana ya akili , huko kuuza uji na kufanya kazi za kipumbavu kama hizo kuna leta tija gani kiuchumi kwenye taifa ? , Pumbav , kauze uji na kutembeza chupi za wanawake mwenyewe , acha kupangia watu maisha
Anaonesha level ya ujinga wake. Itakua ana hasira za kuzunguka na bahasha bila mafanikio huku kiatu kikiisha soli upande upande.🤣🤣🤣🤣Mkuu huyo mdau ametishaa
Simsemi mtoa thread ni general comment.....watu wanaishiaga tu kusema hivi ukimfata akupe abc utapewa the impossibles hadi unawaza sa kwanini katufokea.Akikupatia binamu nirushie na Mimi huku kazura mimba kigoma
Sahivi sio dada tu na kina kaka ni makahaba 😁Wengi wanaishi kwa mashemeji zao huku mjini, wengine wanafikia hatua ya kufanya mambo ya hovyo kama dada zetu wengi hukimbilia kwenye ukahaba
Motivational speakers mmeanza.Narudia tena, kuna dada mmoja alimaliza degree yake pale mlimani, badala ya kutembea na CV yake maofisini kuomba kazi, alifanya kazi ya kuuza uji wa ulezi. Anatembeza na chupa yake kubwa ya uji na kuuza uji na ucheshi mzuri. Sasa hivi amefungua saloon yake kwa kutumia kipato cha kuuza uji na mambo yake ni mazuri. Kazi ni kazi, ili mradi ujue kwa siku unaingiza ngapi.
HR mtu mdogo sana, yaani HR wako so overated.Siku hizi mchawi HR HR akikukubari kazi IPO kiganjani mwako, nazungumzia Private Sector sio Government's
Sio mara zote, huyo HR wako anaweza kupigiwa simu moja tu jioni, kesho asubuhi unaenda ku report unakuta kashakuandalia mkataba wako huku anacheka cheka, same na simu moja ikipigwa asubuhi jioni unakutana na termination huku HR akiwa na uso mkavu.Connection inaanza kwa HR akikwambia njoo ndio unaenda akikwambia usije endelea kusugua bench,
Nafkir hujamuelewa, hapo katoa mfano tuu, lakini kila mtu anaweza kuanza kidogo kidogo kulingana na taaluma yake, yani asisubiri mpaka apate ajira ,Motivational speakers mmeanza.
Nyie ndio mnatumwa na serikali iliyofeli ya CCM kubariki hii mnayooita kujiajiri.
This is wastage of resources kwa ngazi ya familia mpaka taifa, yaani unawekeza millions of money kumtengeneza daktari, lawyer, engineer, mwalimu nk ...ili aje auze uji?!!!!
What a failed state?!!
Then unajivunia, kweli this is shithole country.
Inawezekana ulitaka mambo makubwa kwa haraka , ungempa mudaSimsemi mtoa thread ni general comment.....watu wanaishiaga tu kusema hivi ukimfata akupe abc utapewa the impossibles hadi unawaza sa kwanini katufokea.
Kuna simu niliwahi kuandika hapa natamani kubadili pm jamaa kakoment aah njoo pm kuna kazi bla bla nkaenda pm mweeh ye mwenyewe mbangaizaji tu jamani [emoji16]
Manager hana issue km HR akikutema, nazungumzia kwa wasiomjua Manager ni Nani shtukaMchongo wa connection ni kutoka kwa top managers tu, huyo HR ni secretary aliyechangamka.