Wasomi elimu isiwapumbaze mnapishana na fursa nyingi

Wasomi elimu isiwapumbaze mnapishana na fursa nyingi

Narudia tena, kuna dada mmoja alimaliza degree yake pale mlimani, badala ya kutembea na CV yake maofisini kuomba kazi, alifanya kazi ya kuuza uji wa ulezi. Anatembeza na chupa yake kubwa ya uji na kuuza uji na ucheshi mzuri. Sasa hivi amefungua saloon yake kwa kutumia kipato cha kuuza uji na mambo yake ni mazuri. Kazi ni kazi, ili mradi ujue kwa siku unaingiza ngapi.
Hongera kwakee
 
Happy Easter to everyone,

Nimeguswa ku share haya machache kuhusu hili kundi kubwa la watu (Wasomi) ambalo ndo linaongoza kulalamika huku mitandaoni kuwa maisha magumu na wengine wakienda mbali zaidi kuwa serikali yetu haiwajali

Nimefuatilia kwa ukaribu wasomi wengi , kitu kinachowakwamisha ni wao wenyewe kujiona wao ni tofauti na watu wengine kwenye jamii na wanastahili kupewa heshima kubwa

Huu mtazamo wenu wasomi ndo unawafanya mnapishana na fursa nyingi kwakua lazima tukubali hakuna serikali duniani iliyoweza kuwaajiri watu wake wote , hivyo basi ukiwa kama msomi na umekosa ajira cha kwanza kabisa kubali kujishusha kuendana na mazingira halisi ya mtaani

Elimu uliyo nayo isikufanye uzubae tuu jichanganye na watu wa mtaani walioanza ujasiriamali hata kama wanafanya kwa kiwango cha chini , kupitia kujichanganya kwako kutakuongezea maarifa ambayo huna.

Elimu uliyo nayo isikufanye kujiona kuwa wewe ni mtu wa hadhi ya juu , huku huna source yoyote ya kukuingizia kipato. Kama huna means yoyote ya kuingiza kipato basi ujue kuna vingi sana huvijui unapaswa ujifunze

Elimu uliyo nayo itakusaidia tuu endapo utakubali kubadilika kutokana na mazingira lakini pia kukubali uhalisia wa mambo coz huku mtaani mambo ni tofauti sana na vile wasomi wanavyochukulia pindi wakiwa vyuoni..

Elimu ulionayo ukiongeza na maarifa kidogo tuu utakayoyapata pindi ukijichanganya na watu mtaani itakua na faida sana , kuliko kusubiri ajira

Elimu uliyo nayo bila kuwa na pesa tambua fika hakuna atakayekupa heshima kama wengi wenu mlivo na mawazo hayo ya kijinga.

Kushinda mitandaoni na kulalamika kuwa ajira ngumu tuu bila kuchukua hatua zozote ni ujinga ambapo ni wa kuacha mara moja

Tunawategemea sana kuja kuleta ukombozi mtaani kutokana na elimu mlioipata...ila hii hali ya kulaumu tuu serikali inatupa sana mashaka kuwa kuna uwezekano tuna wasomi ambao hawajaelimika
Mbona unatufokea mkuu,tumekukosea nini🤣🤣🤣
 
Huna akili , kwa hiyo wewe kilaza na akili yako fupi kama mkia wa mbuzi unataka watu wawe wanasoma mpaka chuo kikuu halafu warudi kufanya kazi za kipumbavu kama hizo ? Tena wengi wamezoea hawa kwa pesa za serikali ,hizo pesa za walipa kodi si bora zingetumika kufanya vitu vya msingi ? ,Yaani mtu asome awe Engineer ,doctor , mwanasheria nk aje kuuza uji na kufanya usenge mwingine ,aisee ,kuna watu ni mataahira sana

Ninyi ngumbaru mna matatizo sana ya akili , huko kuuza uji na kufanya kazi za kipumbavu kama hizo kuna leta tija gani kiuchumi kwenye taifa ? , Pumbav , kauze uji na kutembeza chupi za wanawake mwenyewe , acha kupangia watu maisha
Kutukana hakubadili uhalisia, acha mihemko ya kijinga jibu hoja kwa hoja sio matusi.
Kila kitu kinahitaji target yako, uza uji uifikie hiyo target yako. Huna option ya cha kufanya ili utimize ndoto zako, ukisema ukae usubirie ajira utakaa sana na utatukana sana kuliko hata ulivyotukana hapa.

Tatizo la wengi ni kufanya kitu bila target, uza uji wako kwa malengo ya kutafuta mtaji wa kufanya yale ya ndoto yako.

Nb: hata dunia ipinduke haiwezekani ajira kwa wote.
 
🤣🤣🤣🤣Mkuu huyo mdau ametishaa
 
Wasomi tunaonewa wivu na kupigwa vita sana hapa Tz, mtusamehe ni akili zetu zimetuponza.

NB:Ignore it!
Unategemea nini kwa taifa lilijaza upumbavu na kuendekeza mediocrity kama hili ? , Upuuz tu ndio umejaa humu .Halafu una skilled labour unashindwa kuitumia kujenga nchi , unawaza kutumia skilled and Proffessional labour kama wauza uji and other stupid , irrelevant issues ,
Kuna majitu yanafikiri kwa kutumia makalio ,halafu kimbulu kama huyo ndio anakuja kulalamika Tanzania haiendelei , ndio mbwa hawa hawa wanalalamika kila siku ubadhilifu mali za uma na Madudu mengine ambayo yana impact maisha yao direct
 
Huna akili , kwa hiyo wewe kilaza na akili yako fupi kama mkia wa mbuzi unataka watu wawe wanasoma mpaka chuo kikuu halafu warudi kufanya kazi za kipumbavu kama hizo ? Tena wengi wamezoea hawa kwa pesa za serikali ,hizo pesa za walipa kodi si bora zingetumika kufanya vitu vya msingi ? ,Yaani mtu asome awe Engineer ,doctor , mwanasheria nk aje kuuza uji na kufanya usenge mwingine ,aisee ,kuna watu ni mataahira sana

Ninyi ngumbaru mna matatizo sana ya akili , huko kuuza uji na kufanya kazi za kipumbavu kama hizo kuna leta tija gani kiuchumi kwenye taifa ? , Pumbav , kauze uji na kutembeza chupi za wanawake mwenyewe , acha kupangia watu maisha
Mkuu umeongea pointi ila umetumia lugha kali sana
 
Akikupatia binamu nirushie na Mimi huku kazura mimba kigoma
Simsemi mtoa thread ni general comment.....watu wanaishiaga tu kusema hivi ukimfata akupe abc utapewa the impossibles hadi unawaza sa kwanini katufokea.

Kuna simu niliwahi kuandika hapa natamani kubadili pm jamaa kakoment aah njoo pm kuna kazi bla bla nkaenda pm mweeh ye mwenyewe mbangaizaji tu jamani 😁
 
Narudia tena, kuna dada mmoja alimaliza degree yake pale mlimani, badala ya kutembea na CV yake maofisini kuomba kazi, alifanya kazi ya kuuza uji wa ulezi. Anatembeza na chupa yake kubwa ya uji na kuuza uji na ucheshi mzuri. Sasa hivi amefungua saloon yake kwa kutumia kipato cha kuuza uji na mambo yake ni mazuri. Kazi ni kazi, ili mradi ujue kwa siku unaingiza ngapi.
Motivational speakers mmeanza.

Nyie ndio mnatumwa na serikali iliyofeli ya CCM kubariki hii mnayooita kujiajiri.

This is wastage of resources kwa ngazi ya familia mpaka taifa, yaani unawekeza millions of money kumtengeneza daktari, lawyer, engineer, mwalimu nk ...ili aje auze uji?!!!!

What a failed state?!!

Then unajivunia, kweli this is shithole country.
 
Siku hizi mchawi HR HR akikukubari kazi IPO kiganjani mwako, nazungumzia Private Sector sio Government's
HR mtu mdogo sana, yaani HR wako so overated.

CEO, MDs and the likes kwa maana ya managers, wakikukubali au kukukataa huyo HR atafanya nini zaidi ya kupokea order tu ya kuku hire au kuku fire.
 
Connection inaanza kwa HR akikwambia njoo ndio unaenda akikwambia usije endelea kusugua bench,
Sio mara zote, huyo HR wako anaweza kupigiwa simu moja tu jioni, kesho asubuhi unaenda ku report unakuta kashakuandalia mkataba wako huku anacheka cheka, same na simu moja ikipigwa asubuhi jioni unakutana na termination huku HR akiwa na uso mkavu.

Mchongo wa connection ni kutoka kwa top managers tu, huyo HR ni secretary aliyechangamka.
 
Motivational speakers mmeanza.

Nyie ndio mnatumwa na serikali iliyofeli ya CCM kubariki hii mnayooita kujiajiri.

This is wastage of resources kwa ngazi ya familia mpaka taifa, yaani unawekeza millions of money kumtengeneza daktari, lawyer, engineer, mwalimu nk ...ili aje auze uji?!!!!

What a failed state?!!

Then unajivunia, kweli this is shithole country.
Nafkir hujamuelewa, hapo katoa mfano tuu, lakini kila mtu anaweza kuanza kidogo kidogo kulingana na taaluma yake, yani asisubiri mpaka apate ajira ,
 
Simsemi mtoa thread ni general comment.....watu wanaishiaga tu kusema hivi ukimfata akupe abc utapewa the impossibles hadi unawaza sa kwanini katufokea.

Kuna simu niliwahi kuandika hapa natamani kubadili pm jamaa kakoment aah njoo pm kuna kazi bla bla nkaenda pm mweeh ye mwenyewe mbangaizaji tu jamani [emoji16]
Inawezekana ulitaka mambo makubwa kwa haraka , ungempa muda
 
Mchongo wa connection ni kutoka kwa top managers tu, huyo HR ni secretary aliyechangamka.
Manager hana issue km HR akikutema, nazungumzia kwa wasiomjua Manager ni Nani shtuka

Pitia ule uzi wa LinkedIn upate madini, Kuna mdau alikutana na Manager huko LinkedIn Manager akapenda figure na profile akachat nae akamwambia achat na kuongea na HR akampa namba ya HR, paap akapigwa interview fupi na HR moja kwa moja, baada ya hapo HR akamwambia atamcheck ndio ikawa atamcheck hakuna Manager aliemtafuta wala HR, bado fuvu limekaza au tulegeze nati ? HR akikutema Manager kibogoyo tu maana anaeajiri watu sio Manager ni HR
 
Back
Top Bottom