Wasomi elimu isiwapumbaze mnapishana na fursa nyingi

HR mtu mdogo sana, yaani HR wako so overated.

CEO, MDs and the likes kwa maana ya managers, wakikukubali au kukukataa huyo HR atafanya nini zaidi ya kupokea order tu ya kuku hire au kuku fire.
Oya we hujanielewa kabisa yaan still bado umekaza fuvu, nazungumzia mtu ambae hawezi kuonana na Manager na hamjui Manager au unafikiri Manager anajuana na kila mtu ovyo ovyo tu? Nimekwambia kuhusu HR sababu ushahidi ninao bila HR hupati kazi shikiria hapo na wanawala sana dada zenu
 
Kuna fursa gani au ndo wale mnaosema wajiajiri wakari mnazunguka kwenye viti?
 
Kwaiyo amesomea kazi ya kuuza uji?
 
Eti mtu asome degree halafu atembeze chupa ya uji, si bora angeishia la saba?
 
Hataki kazi za kawaida..ye anatakaa kuwa muhasibu tu.tena serikalini..interview wanajazana kwa maelfu bila kujua wenye connection washapitishwa.
Kakomalia
Haelewi maskini
Wanatakaga kazi wanazoamini zinawapa heshima kitaa..!! Mbaya zaidi, hata kwenye biashara wapo hivyo hivyo..!! Kama watahisi biashara fulani haiwapi heshima WANAYODHANI wanastahili kuipata, hawataifanya. Wapo tayari kupata hasara kuliko kukosa heshima wanayodhani wataipata
 
Manager hana issue km HR akikutema, nazungumzia kwa wasiomjua Manager ni Nani shtuka
Braza umeamua kuchekesha umati.

Unajua maana ya top managers kwanza.

Yaani managing director akukubali au akukatae then HR akuteme au akukubali kinyume cha boss wake!!

Hiyo barua inaandikwa kwa nani?
 
La saba mna matatizo sana, mbona la saba wenzenu ambao hawajatoboa ni wengi pia? Mbona kutwa kuwaponda wasomi? Hata wewe mtoa maada si ajabu unalala sebureni kwa shemeji yako lkn maneno mengi kwa wasomi.
 
Braza umeamua kuchekesha umati.

Unajua maana ya top managers kwanza.

Yaani managing director akukubali au akukatae then HR akuteme au akukubali kinyume cha boss wake!!

Hiyo barua inaandikwa kwa nani?
Mkuu wewe ukiomba kazi barua yako hua unaandika kwenda kwa Nani Boss wa Kampuni au HR? Emu tuanzie hapo maana Leo nimekutana na fuvu jipya
 
La saba mna matatizo sana, mbona la saba wenzenu ambao hawajatoboa ni wengi pia? Mbona kutwa kuwaponda wasomi? Hata wewe mtoa maada si ajabu unalala sebureni kwa shemeji yako lkn maneno mengi kwa wasomi.
LY hawatambi kitaa..! Wasomi sasa, kutamba kila pahala
 
Labda unamaanisha mkuu wa idara, sio managing director.

Kwanza hatuna uhakika huyo aliyejiita manager huko LinkedIn ni managing director au mkuu wa idara tu.

Na wala hatujui hiyo kampuni organization structure yake ikoje.

Halafu interview ya wapi inafanywaga na HR tu?!

Anyways, mimi sio wa kujifunza hivyo vitu eti LinkedIn, niko kwenye hii industry for more than 10 years now.

Labda kama wewe ndio unatafuta first appointment ndio unadhani HR ni mtu mkubwa sana, huyo ni secretary aliyechangamka tu.
 
Sawa mkuu umeeleweka,
 
La saba mna matatizo sana, mbona la saba wenzenu ambao hawajatoboa ni wengi pia? Mbona kutwa kuwaponda wasomi? Hata wewe mtoa maada si ajabu unalala sebureni kwa shemeji yako lkn maneno mengi kwa wasomi.
Mimi pia nimesoma na nna degree lakini nlijiongeza mapema sana , sikubweteka eti kisa nna degree coz nlijua sio chochote kama ntashindwa kulipa bills
 
Ni ujinga wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…