Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

Bongo bhna..

Mbona jambo dogo sana afu la kawaida kabsa....kuliweka front page ni kuaibishana tu.

Kunaulazima kama taifa hasa Vijana kwenda kujifunza Kwenye nchi za wenzetu...

Huyo dada hivi ameshindwa kabsa kuitumia elimu yako vzuri kujitofautsha na madereva wa la saba B.

Nilitarajia labda kupitia hyo bajaji angeajiri kijana,yeye aangalie fursa zengine za kibiashara....angeingiza kipato mara mbili au tatu.
 
Ishu hapa ni pesa unazopata , kama kuchoma mahindi kunamlipa kuliko udaktari kwa nini asichome?

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Mi nina kauli mbiu yangu kuwa"kuwa na elimu ni jambo la Kwanza,la pili lazima na ni lazima uitumie elimu uliyonayo to the maximum huwez nambia una masters afu unachowaza kichwani ni udereva bajaji na umeridhika kabisa haya ni matumizi mabaya ya elimu"
mimi kama cheti changu ninacho nitapambana kama nilivyopambana kusoma nipate kazi sio huo udereva

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Atupishe huko.. Huko ni kuvamia taaluma za watu wengine. Huo muda aliopoteza tokea Form 4 angekua na coster kabisa sahivi
 
Unajua walikoanzia hao

Huyu anaweza akawa kaanza na bajaji

Kesho kutwa akiwa na Bajaj kumi daladala,bodaboda utamtukana ?

Akili zingine bana

Huwa siwaelewagi watu ambao wanakatisha tamaa mtu akianza moja

Halafu siku akitusua utasikia "jamaa bana nilisoma nae yule ,aaah yule alikuwa muuza mitumba tu"

Wabongo nuksi sana roho mbaya za kichawi
 
yani kesho kutwa awe na bajaji kumi???acha ulongo field sio kwepesi kiasi hicho ni ngumu na itachukua muda na uzee utakua umesha mnyemelea na hata akifikisha ni nje ya matalajio yake kabisa
#si bora angeishia form four apambane kuwa na bajaji hizo kumi??

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
At the end of the day we only consider how much you have made .

Haba na Hana huzaa kibaba
 
Well said!
 
Risk taking ndio Jambo la msingi ili ufanikiwe

Uaipo risk chochote hufanikiwa kwa vyovyote
 
Uko sahihi huyu kapoteza muda wake bure kupata hizo digrii 2. Hata std 7 wanaendesha bajaj vizuri tuu so hakuna la kujifunza hapo. Halafu M&E officer kwenye NGOs inalipwa laki 4?? Ninafahamu watu wengi tuu wanalipwa 1.5 to 2M kwa hiyo post, labda alishindwa kujiuza kwenye interview... Halafu kama alifikia kwenda hadi China but still akashindwa kuwa na duka kubwa la nguo hiyo nayo inatia shaka. Watu wengi tuu wana bajaj mpaka 3 na bodaboda huku wanafanya kazi zingine.
 
Hamna Bilionea aliyeajiriwa,
Wengi wao hawakuamaliza chuo kabisa, Mark Zuckerberg, Bill Gates ect.
Sasa cha ajabu nini hapo
Shahada mbili boss ni elimu kubwa sana kuja na mawazo ya kuendesha bajaji kwakweli lazima jamii isikitike na wale waliokupa pesa ya kwenda shule watamwaga machozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…