Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
Acha wehu..Usikute wewe ndio kilaza hujui Nini anataka
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wehu..Usikute wewe ndio kilaza hujui Nini anataka
Eeeh lecture tena mzee au lecturer!!!Inamana ameshindwa kuwa hata lecture , anauzamivu wa nini, ? Huyo binti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuendesha Bajaj anapata hela nyingi kuliko kukaa ofisini, hata mimi ningeendesha tuShahada mbili boss ni elimu kubwa sana kuja na mawazo ya kuendesha bajaji kwakweli lazima jamii isikitike na wale waliokupa pesa ya kwenda shule watamwaga machozi
Huo ndo ukweliHuko ni kuganga njaa sio kufanya kazi ya kukusomeshea watoto, ujenge, Ule uvae ufanye na maendeleo mengine tusidanganyane.
Siasa hizi,kwa hiyo wakiingia wengine tatizo la ajira linaisha hapo hapo ?Ni Jukumu la lazima kwa serikali kuajiri watu wake au kuwasaidia wajiajiri. Na wanalipwa pesa za walipa kodi kwa sababu hiyo.
Kama wameshindwa kufanya hilo, wap8she wawaachie wanaoweza.
Huwezi kumlipa mtu alime barabara upite, pesa anakula kila siku halafu anakwambia tatizo lako boss hutaki kujiongeza kulima tu mwenyewe upite.
Na wakati huo huo, hataki kuachia hiyo tenda ya kutengeneza barabara.
Wanachokifanya watawala ni kutafuta namna ya kukwepa wajibu wao ili watafune kodi za walalahoi bila kufanya kazi wala kupigiwa kelele.
Mnapenda kudanganywa,kwa hiyo hao wengine ndio watamaliza hilo tatizo ndani ya siku moja.Kwahiyo kazi ya watawala ni ipi ?
Maana naona unauliza swali la kichoko sana.
Mkuu mi naona kashindwa tu kutumia elimu yake...Utopolo mtupu.
Hivi unajua kuwa kuna kazi zingine za serikali matangazo yake huishia ofisini ndani kwa mkuu wa mkoa, mkuu wa Wilaya na ndani ofisi ya mkuu wa kitengo mkoa au wilaya?
Na ifahamike wengine huajiriwa na hawakai ofisini.
Kuna mama muuza mihogo barabarani VETA dar , yule mama ile kazi ya kuzurura juani haitegemei, yupo pale kwa mission.
Kama hadi wengine hujifanya machizi ili wapate info mtaani unakuja kushangaa huyo dada na shahada zake 2 kudrive bajaji?
Unamjua mmiliki wa hiyo baiaji?.
Kabla hamjaja juu kuhusu habari za mtu yeyote tafuteni nature yake mtajua ukweli.
Huyu kwao wanahela bhana hapa kaamua tu kutangaza biashara yakeView attachment 1660402
Nancy Lema ni msomi wa Elimu ya Masters ya Project Management Chuo cha SAINT MARY’S UNIVERSITY OF MINNESOTA Nchini Marekani na ameishi Marekani kwa miaka 10, mwaka 2015 aliamua kurudi rasmi Tanzania na kwenda kwao Mwanza na kuanza kutafuta kazi kwenye Makampuni bila mafanikio ndipo akaja na wazo la kuuza chakula aina ya makande kwenye ofisi Mwanza.
“Nilijua nimemaliza Masters yangu nakuja Tanzania kutafuta Kazi haitakuwa ngumu lakini kila sehemu niki-apply naambiwa subiri kwanza ilinifanya nifikirie nini cha kufanya” Nancy Lema
” Wazazi wangu hawakukubliana na mimi nianze kupika wakati wamenisomesha walitegemea niwe Meneja Kampuni flani na elimu kubwa, Ila kwa sasa ndio Wateja wangu wakubwa” Nancy Lema
Dada huyu msomi naye gumzo kwa kutafuta pesa bila kujali elimu kwani anaelewa nini maana ya neno moshi kwa wachaga !
Aisee umeongea kweli Kuna watu wanajigamba tu na vielimu vyao lakini nje ya hicho Cheti hana chochote cha maana.Kuwa na masters si ishu kubwa. Ulicho nacho kichwani baada ya masomo ndio habari kamili.
Sasa huyu dada na masters alikuwa analipwa chini ya laki 4 na institution gani hiyo?
Pengine hiyo masters yake ni cheti tu ila yuko empty!
Some people are not meant for greatness, the universe serves what's best for the kind of person you are.
Sasa Kuna haja gani ya kusoma MD halafu uje uchome mahindi?Ishu hapa ni pesa unazopata , kama kuchoma mahindi kunamlipa kuliko udaktari kwa nini asichome?
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Hata Mimi ningeendeshaKama kuendesha Bajaj anapata hela nyingi kuliko kukaa ofisini, hata mimi ningeendesha tu
Bakhresa alianza kuuza urojo saivi ana maviwandaTunasubiri sasa amiliki kiwanda cha bajaji,
Manake kuna motivesheni spika hapa anasema alianza kula yai la kuku moja la kukaanga sasa hivi ana miliki kuku wa mayai 10,000
Every success has a hidden story behindBakhresa alianza kuuza urojo saivi ana maviwanda
Hapo je[emoji1787][emoji1787]
Yule mzee hajaenda shule kihistoria so kastruggle kwelikweli miaka yote Hadi kawa bilionea,ila huyu bi mdada kapoteza muda class halafu anakuja kutamba eti ana masters anaendesha bajaji,angeishia la 7 na kuanza kuendesha bajaji then akaja mitandaoni na kusema niliishia la 7 nikajiajiri kuendesha bajaji na sasa nina miliki bajaji 10 ange-motivate vijana na wasomi wengine ,ila huyu dada ni kama anatumika kipropaganda na kuishusha hadhi elimu yetuBakhresa alianza kuuza urojo saivi ana maviwanda
Hapo je[emoji1787][emoji1787]
Sioni kama ni ushujaa. Msomi kujisifu kuendesha bajaji..Vitu vingine sio vya msomi kujivunia kufanya
Hamna NGO inayolipa mishahara ya laki 4 labda kama ni NGO ya kibongo.You think something.
UMEONGEA hoja ya msingi sana ..hiyo ni propaganda iliyo be calculated ...maana naona habari yenyewe ipo front page za magazeti.Yule mzee hajaenda shule kihistoria so kastruggle kwelikweli miaka yote Hadi kawa bilionea,ila huyu bi mdada kapoteza muda class halafu anakuja kutamba eti ana masters anaendesha bajaji,angeishia la 7 na kuanza kuendesha bajaji then akaja mitandaoni na kusema niliishia la 7 nikajiajiri kuendesha bajaji na sasa nina miliki bajaji 10 ange-motivate vijana na wasomi wengine ,ila huyu dada ni kama anatumika kipropaganda na kuishusha hadhi elimu yetu