witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji1][emoji23][emoji23]wasomi mmepagawaTulisema tu hiki chuo cha UDOM kitatutolea takataka ona Sasa. Eti mtu ana MASTAZ dereva bajaj. Jinga kabisa. UDOM ni janga jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji23][emoji23]wasomi mmepagawaTulisema tu hiki chuo cha UDOM kitatutolea takataka ona Sasa. Eti mtu ana MASTAZ dereva bajaj. Jinga kabisa. UDOM ni janga jamani.
Hongera kubwa Tangantika !Jipongeze kwa soda hapo ulipo kati ya hizo pichani.Anayejiyonga kwa kukosa ajira na anaendesha bajaji yupi bora?
Hivi kwenye kuendesha bajaji mnajua anakutana na watu wangapi? Mnajua niuzoefu gani anaupata?rar
Siku akipanua mradi bajaji zikawa 10 kuna dereva atamdanganya mapato,vifaa vinavyoharibika Mara kwa Mara,kuiba spea.
Aisee huyo Dada yupo katika shule moja kubwa sana, shule ya vitendo, huyo Dada ametupita wengi humu hata uelewa wa how to get customers.Huyo Dada hata akitaka kuandika kitabu anacho cha kuzungumza, nyinyi mtaandika hisia "not reality"
Ktk ujasiliamali kuna mstari unasema " How to sell" .
Heshimuni watu wanaofanya, experience is very important in life not theory. Mmekazana kuchangia utopolo humu,elimu elimu ikaenda ikarudi wewe umebuni nini na elimu yako ili huyo Dada aje ajifunze kwako jinsi kutumia elimu?
Bajaji unajifun..how to sell haha siunakaa kwa foleni tu na kusubiri abiriaAnayejiyonga kwa kukosa ajira na anaendesha bajaji yupi bora?
Hivi kwenye kuendesha bajaji mnajua anakutana na watu wangapi? Mnajua niuzoefu gani anaupata?
Siku akipanua mradi bajaji zikawa 10 kuna dereva atamdanganya mapato,vifaa vinavyoharibika Mara kwa Mara,kuiba spea.
Aisee huyo Dada yupo katika shule moja kubwa sana, shule ya vitendo, huyo Dada ametupita wengi humu hata uelewa wa how to get customers.Huyo Dada hata akitaka kuandika kitabu anacho cha kuzungumza, nyinyi mtaandika hisia "not reality"
Ktk ujasiliamali kuna mstari unasema " How to sell" .
Heshimuni watu wanaofanya, experience is very important in life not theory. Mmekazana kuchangia utopolo humu,elimu elimu ikaenda ikarudi wewe umebuni nini na elimu yako ili huyo Dada aje ajifunze kwako jinsi kutumia elimu?
Hahahaha hauko MakinTujifunze nini sasa? Toa ujinga hapa.
Hatukusomea kuendesha bajaji sisi.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Hahaha!![emoji375][emoji375]Vitu vingine sio vya msomi kujivunia kufanya
Ubarikiwe kwa shuhuda wako hapa Mersen na kufahamu mpambanaji dada Mwasu dereva mwenzako wa bajaji msomi mwenye shahada mbili mlioko Dodoma.Ushauri kwa graduate ni kwamba tunajichelewesha wenyewe nakusubiri ajira za mshahara wa 500,000 iwe mvua iwe jua uwezi kosa 30-50 kama mpambanaji unapata zaidi per day kama bajaji yako . Kwa graduate uwezi chezea ela kama hao la saba mnaosema humu. 2018 nilikuja humu kuomba ushauri wa kupata mkopo wa bajaji nilipokea cm nyingi sana na bandiko langu limesaidia wengi kupata mkopo wa bajaji .Kama bahati nimefanya kazi na Mwasu kijiwe kimoja namfahamu ni mpambanaji na mwanamke kweli kweli niishie hapo.
Kituo chenu kiko wapi Mersen hapo mjini ?Ushauri kwa graduate ni kwamba tunajichelewesha wenyewe nakusubiri ajira za mshahara wa 500,000 iwe mvua iwe jua uwezi kosa 30-50 kama mpambanaji unapata zaidi per day kama bajaji yako . Kwa graduate uwezi chezea ela kama hao la saba mnaosema humu. 2018 nilikuja humu kuomba ushauri wa kupata mkopo wa bajaji nilipokea cm nyingi sana na bandiko langu limesaidia wengi kupata mkopo wa bajaji .Kama bahati nimefanya kazi na Mwasu kijiwe kimoja namfahamu ni mpambanaji na mwanamke kweli kweli niishie hapo.
Chakujifunza ni kwamba unaweza kua na elimu kubwa ila kipato kidgo.Hamna chakujifunza hapo ,huo ni upungufu wa akili huwezi kuwa na Masters halafu ukaendesha Bajaji ,
Kuna la kujifunza kwenye hii comment yako mkuu inabidi kutafakari sana.Bajaji inabeba watu wanne ambapo total ni sh 2000 , ili upate 30,000/= inabidi uende safari 15 kwa siku, assume unafanya kazi masaa 15 (sa12 asubuhi hadi sa3 usiku) manake kila ndani ya saa moja ujaze abiria utembee , na hapo ujue kijiweni haupo peke yako kuna foleni kama bajaji 10 hivi.
Toa hela ya mafuta
Mzee hiyo 30,000 utaondoka nayo mara chache sana ndai ya mwezi.
Ni biashara nzuri lakn sio mteremko kama unavyoielezea
Ukifuatilia vizuri story ya huyu dada ni tofauti kabisa na ya huyu mwendasha bajaji, yeye ametengeneza system kabisa ambayo anawafanyakazi na haitaji tena yy kuwepo ili iendelee, na pia kuna nyingine ya dada muuza miguu ya kuku na yy katengeneza mfumo ambao hamuitaji yy kuwepo. Bottom line: ni matumizi mabaya ya elimu kuendesha bajaji kwa level ya master huo ndio ukweli mchungu ila watu lazima waambiwe hiyo ni level ya kuunda biashara zinazojitegemeaView attachment 1660402
Nancy Lema ni msomi wa Elimu ya Masters ya Project Management Chuo cha SAINT MARY’S UNIVERSITY OF MINNESOTA Nchini Marekani na ameishi Marekani kwa miaka 10, mwaka 2015 aliamua kurudi rasmi Tanzania na kwenda kwao Mwanza na kuanza kutafuta kazi kwenye Makampuni bila mafanikio ndipo akaja na wazo la kuuza chakula aina ya makande kwenye ofisi Mwanza.
“Nilijua nimemaliza Masters yangu nakuja Tanzania kutafuta Kazi haitakuwa ngumu lakini kila sehemu niki-apply naambiwa subiri kwanza ilinifanya nifikirie nini cha kufanya” Nancy Lema
” Wazazi wangu hawakukubliana na mimi nianze kupika wakati wamenisomesha walitegemea niwe Meneja Kampuni flani na elimu kubwa, Ila kwa sasa ndio Wateja wangu wakubwa” Nancy Lema
Dada huyu msomi naye gumzo kwa kutafuta pesa bila kujali elimu kwani anaelewa nini maana ya neno moshi kwa wachaga !
Asante kwa maoni yako NicklausUkifuatilia vizuri story ya huyu dada ni tofauti kabisa na ya huyu mwendasha bajaji, yeye ametengeneza system kabisa ambayo anawafanyakazi na haitaji tena yy kuwepo ili iendelee, na pia kuna nyingine ya dada muuza miguu ya kuku na yy katengeneza mfumo ambao hamuitaji yy kuwepo. Bottom line: ni matumizi mabaya ya elimu kuendesha bajaji kwa level ya master huo ndio ukweli mchungu ila watu lazima waambiwe hiyo ni level ya kuunda biashara zinazojitegemea
Shukrani Mersen kwa maelezoBajaji inaufanyaji wake wa kazi kila eneo co kila kituo au mkoa wanakoroga za 500 sehemu nyingine ni kukodi kuanzia 3000 na hakuna za 500 binafsi sijawaifanya hyo kazi ya 500 unayosema shida ya cc waswahili ni kukatishana tamaa na kubisha hata tusivyovijua
Kama atakuwa na hivyo vitu ulivyotaja tayari basi si haha maisha yaenda murua kabisaHapo uenda ana nyumba yake.
Na vimradi vingine hatuwezi jua.
Ila kwa siku kuingiza elfu 50.
Ni hela nyingi sana.ni zaidi ya kuajiriwa.