Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa โ€˜Stand Up Comedyโ€™ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

Siwezi linganishwa na Wachekeshaji

Atakachonishinda Msukuma ni kipaji chake cha kuchekesha na umri basii

Vilivyobaki namuacha kwa mbali sana
Kwa ushahid upi tofauti na utoto tuuonao apa , sema unatafta kufahamika kupitia msukuma
 
Kama huna hela, wewe pamoja na walimu wako ni wapumbavu tu.
 
Najua professor Muhongo ndio amewatuma sio kwa za uso zile




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada nimemwelewa vizuri sana. Amechagua sanaa na usanii kuwasilisha ujumbe wake. Wewe na Nyani mko stiff eti mnajiita wasomi. Mlitaka athibitishe usomi wake kwa kuandika English ile ya mzee punch wa enzi zile UDSM? Huo ni ulimbukeni
 
Napenda vioja vyenu darasa la saba

Msukuma yupo sahihi kwani yeye ni mchekeshaji na lengo lake kuu ni burudani pale bungeni

Hakuna mwenye akili atakayemchukulia sirius mchekeshaji
Kama na wewe ni msomi naanza kuona Msukuma yupo sahihi kwamba kuna watu ni trash. Ingawa kwa Prof Muhongo anakosea sana. Wewe ni aibu na cheti chako cha journalism unajiita msomi.
 
Kwani kkoo mimi sipo?

Hakuna Dsm mwenye umri kama wangu aliyeishia darasa la saba akanizidi kwenye ishu za kiuchumi

Mimi sifanyi uchuuzi

Hao unawataja hapo hata mtaji wao haufiki 500m

Umasikini wako ndio unaokufanya uwaone wamenizidi na mimi
Daah ww kweli masikini mtu awe na majengo ya kukodisha ninyi mpange awe na mtaji wa 500m daah ngoja niishie hapa aisee nipo na kihande...
 
FUTUHI...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Elimu kitu gani? Kua msomi haihalalishi ufanisi wako.
I stand with Msukuma.
Ana Maarifa Mazuri na Bora
 
Tuliaminishwa sisi tumesoma kumbe usomi wa Bongo ni wa kawaida kabisa "Critics and Arguments"ya Kibaji na Msukuma imewaondolea kabisa Maprofesa heshima Zao
 
Kweli msukuma anazingua, lakini na wewe usomi wako utakuwa wa mashaka, hata kuandika hujui?
 
Kama msomi unaona mashambuluzi ya kina msukuma kwa maprof bungeni ni hali ya kawaida, unastahili pole.

Siku ukiangalia stand up comedy ndio utaelewa nilichoandika

Kwa sasa nipokee pole yako tuu
 
Kweli msukuma anazingua, lakini na wewe usomi wako utakuwa wa mashaka, hata kuandika hujui?

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Namuelezea mtu wa darasa la saba kwa nini nitumie uandishi wa Phd?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ