Wasomi wa karne hii ni vilaza, wanabebwa na vyeti vya chabo kuliko taaluma halisia

Hizo kompyuta watu hukaa darasani kujifunza.

Kompyuta ni taaluma. Japo mtu yeyote anaweza kujifunza kama swala la ziada, lakini sio lazima.

Mtu akishajua basics za computer inatosha. Sio lazima kujua kila kitu.
 
Habarini wana JF,

Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani.

Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania.

Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree wanashindwa kuwasha computer, graduate hajui kutumia mouse ya computer au soft touch ya laptop.

Graduate hajue MS Word, Excel vitu ambavyo ni rare na ni common kujua

Graduate awezi ku-type kitu na ku-save vizuri.

kuanda tu CV au kutuma application online ni kazi sana

Hali ni mbaya sana na sasa hivi interview kama za mabenki huwa mnafanya online kwa muda maalumu then una submit matokeo unapata. Hapo hapo je mtawezana na technolojia?

Naomba tuimbe wimbo wa taifa ubeti wa kwanza.
True.... Ila sio wote, ni baadhi tu.

Kipindi nasoma chuo fulani, nilitenga mda wa kuwafundisha rafiki zangu computer.

Nilianza na introduction to computer, hapa niwaeleza mambo madogo madogo lakini yenye umuhimu kuhusu computer.

Baada ya introduction to computer, niliwafundisha Microsoft office (Ms. word na Excel).

Japokuwa somo la computer lilikuwepo kwenye mtaala na lilifundishwa, ila wanafunzi wengi walikuwa wana kariri ili wafaulu mitihani.

Ila sababu nyingine ambayo inapelekea graduates wengi kutojua computer ni walimu kujikita kwenye theory tu.

Kipindi nasoma mwalimu alifundisha theory tu, na ukizingatia kuna baadhi ya wanafunzi ambao computer kwao ni kitu kigeni, bila vitendo huwezi kujua computer.

Mimi nilijifunza computer kabla sijaanza chuo.
Ila waelekeze tu hao madogo, usichoke ndugu.
 
Wewe si msomi hujui kila kitu watu hujifunza, hafu kutokujua computer haimaanishi mtu sio msomi, maana wao hawajasoma computer science ndio maana Kuna wataalamu wa IT. Wewe una wivu kwanza umeanza kuponda utanashati wao na kuponda kwanini usiwafundishe, wewe ni wa hovyo
god bless you asikufungue rohoni tu bali machoni na kichwani pia
 
Hizo kompyuta watu hukaa darasani kujifunza.

Kompyuta ni taaluma. Japo mtu yeyote anaweza kujifunza kama swala la ziada, lakini sio lazima.

Mtu akishajua basics za computer inatosha. Sio lazima kujua kila kitu.
je kuanda CV au application letter nako si lazima
 
Sasa hivi labda uwe hutaki tu, ila kama una nia kweli hata u- professor unapata kwa madesa.
 
True.... Ila sio wote, ni baadhi tu.

Kipindi nasoma chuo fulani, nilitenga mda wa kuwafundisha rafiki zangu computer.

Nilianza na introduction to computer, hapa niwaeleza mambo madogo madogo lakini yenye umuhimu kuhusu computer.

Baada ya introduction to computer, niliwafundisha Microsoft office (Ms. word na Excel).

Japokuwa somo la computer lilikuwepo kwenye mtaala na lilifundishwa, ila wanafunzi wengi walikuwa wana kariri ili wafaulu mitihani.

Ila sababu nyingine ambayo inapelekea graduates wengi kutojua computer ni walimu kujikita kwenye theory tu.

Kipindi nasoma mwalimu alifundisha theory tu, na ukizingatia kuna baadhi ya wanafunzi ambao computer kwao ni kitu kigeni, bila vitendo huwezi kujua computer.

Mimi nilijifunza computer kabla sijaanza chuo.
Ila waelekeze tu hao madogo, usichoke ndugu.
mungu azidi kukufungua naona kuna kitu unacho na ulicho kielewa ambacho bado watu wamefungwaaa
kujua computer ni lazima kwa sasa sio ombi
 
Kujua computer ni muhimu ili kuendana na ulimwengu, lakini kutokujua sio dhambi. Mama alinunua tv mwaka 2000 ila mpaka sasa hajui kuunganisha nyaya.. Experience ndio hufanya MTU kujua vitu.. Sawa kama hajawahi kuwa na hiyo computer atajulia wapi ivyo vitu? Labda kama anasoma computer..
Unajitetea !? Kutojua kutumia computer kwa msomi was level ya elimu ya juu Ni AIBU Tena ya faa kuzomewa
 
Yani saivi sisi graduants tunapata shida kweli .Yani ni usumbufu sana kila mtu anatutukana sisi na kututupia maneno.Haipiti siku lazima usikie tunatukanwa.
 
Habarini wana JF,

Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani.

Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania.

Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree wanashindwa kuwasha computer, graduate hajui kutumia mouse ya computer au mouse ya laptop.

Graduate hajue MS Word, Excel vitu ambavyo ni rare na ni common kujua

Graduate awezi ku-type kitu na ku-save vizuri.

kuanda tu CV au kutuma application online ni kazi sana

Hali ni mbaya sana na sasa hivi interview kama za mabenki huwa mnafanya online kwa muda maalumu then una submit matokeo unapata. Hapo hapo je mtawezana na technolojia?

Naomba tuimbe wimbo wa taifa ubeti wa kwanza.
hizo zitakuwa product za shule za umma, huko kwenye Private mtoto wa nursery miaka 3 anajua kuwasha data na ku-download vi katuni kwenye utube...data bando ikiisha anakurudishia simu utasikia - nunua dada nunua dada ( dada ndiyo data)
 
Wewe si msomi hujui kila kitu watu hujifunza, hafu kutokujua computer haimaanishi mtu sio msomi, maana wao hawajasoma computer science ndio maana Kuna wataalamu wa IT. Wewe una wivu kwanza umeanza kuponda utanashati wao na kuponda kwanini usiwafundishe, wewe ni wa hovyo
Hana lolote la kuwafundisha. Hawa ndio wale keyboard warriors. Juzi tu hapa alikuwa analia lia kutafuta ajira, hana hata mtaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli usiopingika ni kwamba graduate waliokutana na past paper chuoni hamna kitu vichwani mwao. ☹☹
 
Habarini wana JF,

Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani.

Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania.

Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree wanashindwa kuwasha computer, graduate hajui kutumia mouse ya computer au mouse ya laptop.

Graduate hajue MS Word, Excel vitu ambavyo ni rare na ni common kujua

Graduate awezi ku-type kitu na ku-save vizuri.

kuanda tu CV au kutuma application online ni kazi sana

Hali ni mbaya sana na sasa hivi interview kama za mabenki huwa mnafanya online kwa muda maalumu then una submit matokeo unapata. Hapo hapo je mtawezana na technolojia?

Naomba tuimbe wimbo wa taifa ubeti wa kwanza.
Ni jukumu lako kuwaelekeza.... Sio wote wamesoma computer wanajua!!! me sijasoma ila hakuna nisichojua kuhusu computer usichoke kuwa mwalimu mzuri na ndo sababu wapo field ni ili kupata uzoefu wa wasiyoyajua so timiza wajibu wako brother
 
Hana lolote la kuwafundisha. Hawa ndio wale keyboard warriors. Juzi tu hapa alikuwa analia lia kutafuta ajira, hana hata mtaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na atakuwa kaishia la Saba au form four failure's ambao huwa vinara wa kuponda wasomi, yeye ku feli na ukilaza wake atakimbilia kuponda wengine waliofaulu, hajui kila mtu alijifunza kutoka kwa wengine. Hafu kumbe ni jobless
 
Ukweli usiopingika ni kwamba graduate waliokutana na past paper chuoni hamna kitu vichwani mwao. [emoji852][emoji852]
Chuoni hamnaga past paper wewe ukisoma secondary ndio Kuna past papers. Kuna ma prof nawajua hawajui excel, sasa washamgaa graduate
 
je kuanda CV au application letter nako si lazima
Wewe una uzamani sana CV aindaliwi bali ina editiwa kama uliwai kukaa chini na kuandaa CV from scratch wewe ni Zinjastropus huwezi kuwa Modern man na nina mashaka kama unajua Computer
 
Back
Top Bottom