tres bien
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 565
- 325
😄😄Mouth tena!!
Hii nchi nahama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄Mouth tena!!
Hii nchi nahama.
Mkuu mim nimesoma IT lakin cha ajabu nilijua kuiwasha kompyuta kipindi nipo chuo hii ilitokana na familia niliyotoka mkuu kwaiyo usishangae sana.Habarini wana JF,
Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani.
Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania.
Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree wanashindwa kuwasha computer, graduate hajui kutumia mouse ya computer au mouse ya laptop.
Graduate hajue MS Word, Excel vitu ambavyo ni rare na ni common kujua
Graduate awezi ku-type kitu na ku-save vizuri.
kuanda tu CV au kutuma application online ni kazi sana
Hali ni mbaya sana na sasa hivi interview kama za mabenki huwa mnafanya online kwa muda maalumu then una submit matokeo unapata. Hapo hapo je mtawezana na technolojia?
Naomba tuimbe wimbo wa taifa ubeti wa kwanza.
Huenda huyo alitumwa na kijiji yaani yeye alikua anawaza desa tuKama haujawai kuSolve pastpaper chuoni unamtindio wa ubongo
Na nilijua atafanya editing ndio maana nikafanya kuquote ili asijejikuta Newton. Anaponda wsdiojua kutumia computer wakati yeye kuandika hajui.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Zabron amem 'mock' mtoa mada, OP ndiyo aliyeandika 'mouth', mtoa mada aka edit fasta, japo bado ipo kwenye quote
Ujaolewa[emoji777]kama ujaolewa changamkaa usizeekee nyumbani
and go and google meaning of typing error
Sisi tumeziona.KWA chuo nilichosoma mtihani ukiisha mnakusanya papers za maswali ya UE. Na sijawahi ona zikizagaa
soma uzi vizuri wewe umebase kwenye field tuHoja yako haijakaa vizuri. Ndo mana ata vyuo vinatoa miez miwili adi mitatu wanafunz waende kijifunza waliyosoma kwa vitendo(field).
Mwanafunz aliyetoka chuo ambaye ajawa experience ya kaz ndo Mara ya kwanza kuwa ofisn kwanza atakuwa na uwoga flan kazin kabla hajazoea, kingine hawez kujua kila kitu kinavofanyika ndo mana hupuwa msimamiz wake(instructor), ambaye kazi yake kumwelekeza na kumsaidia anapokwama au akiwa na shida.
Field ni kwajili ya kujifunza na kupata uzoefu wa kazi. Ungefanya jambo la maana kama ungewasaidi pale wanapokwama..
wellKi Ukweli kabisa, Ukweli kabisa, hii nchi tunahitaji Mjadala wa Hatma ya Elimu yetu kama alivyowahi kuusia Big Ben. Hali ni mbaya mno huku mtaani, tena mbaya zaidi na huu uandishi wao wa 'x badala ya s'. Wanachokijua sana ni kubana sarawili zao na kuvaa viatu vya kung'aa
Haya mmeletewa Full Profesa baada yule mwenzetu wa Lindi kuchemsha! Happ vpwakijielewa
Hata nikikwambia, Haitakusaidia chochote Mkuuiyo IT uliyo soma imekusaidia nini