Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

Pole sana dada ila kwakuwa kesi ipo mahakamani kikubwa ni kuyatekeleza masharti yaliyotolewa na mahakama ili kuzinusuru nyumba zako
 
Watu mna roho mbaya sana! Mnafurahia matatizo ya watu?!? Mungu awasamehe hamjui mlifanyalo!
Huyo dada ana roho mbaya zaidi

Wacha aionje sumu aliyoipika mwenyewe

Mchimba kisima kaingia mwenyewe... mpeni kamba
 
Pole sana dada ila kwakuwa kesi ipo mahakamani kikubwa ni kuyatekeleza masharti yaliyotolewa na mahakama ili kuzinusuru nyumba zako
Kama amejenga pasipostahili, wacha zibomolewe... mbona ya mama Lwakatare tuliunga mkono humu??
 
Tufanyaje sisi tutamsaidiaje?Anyway aliyetaka mwenyewe..wakati sisi tunahangaika kuitoa ccm yy anahangaika kuinadi kwelikweli kwakucheza shoo jukwani..haya sasa madhara yakuku kuhonga mchele baadaye analiwa kwa wali.pole wastara hyo ndyo dhambi ya kuwasaliti watz
 
Tumejipanga mwaka huu mtaisomaaaaa,waache waandamane eee wajinga wale ccm mbele kwa mbele
 
Hizo nyumba anazo wapi mbona hatuzijui na picha hakuweka au ndo hivyo aonekane na yeye alikua na nyumba
 
Wastara kaolewa leo
 

Attachments

  • 1452193358042.jpg
    1452193358042.jpg
    24.2 KB · Views: 38
  • 1452193378295.jpg
    1452193378295.jpg
    20.6 KB · Views: 36
Hizi ni sheria za nchi zimetungwa na bunge.

Hata ingeshinda chadema lazima wangebomolewa tu.


Nchi haiongozwi kwa jinsi unavyojisikia ,inaongozwa kwa sheria za nchi
watcha waisome nambaaa eeee

ccm mbele kwa mbelee
 
Mbona wastara huwa ana majanga xana? hlf sielew watu mnachofurahia kwenye hii thread ni nini, matatizo yapo kwa kila mtu, wastara mbona sio bitch na mwenye show off feki kama akina wema?? lkn bado mnamsema vibaya tu
Angekua ukawa ningempa eneo kimara ajenge
 
Mpaka usiku wa leo alama katika nyumba mbili za Wastara bado ziko palepale baada ya tingatinga kupumzika, nadhani kesho au keshokutwa zitafikiwa.

Pia Wastara kapata mwenza kutoka chama kilekile kinachompandisha presha kila siku kama mwandishi wetu anavyolipoti "Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na Mbunge Mhe. Sadifa amuoa aliyekuwa Mke wa Sajuki na Msanii wa Bongo movie, Wastara.

Nawatakia kila la kheri"
 
Last edited by a moderator:
Kaolewa Leo....mbona hajatuma fcbk kushukuru Mungu?kaingia uke wenza akipata changamoto kidogo za ndoa atakimbilia IG kulalamika ili aonewe huruma.Yaani inaboa kwa kweli
 
Back
Top Bottom