ibrahimsaidi
Member
- Jun 16, 2015
- 10
- 0
Pole sana dada ila kwakuwa kesi ipo mahakamani kikubwa ni kuyatekeleza masharti yaliyotolewa na mahakama ili kuzinusuru nyumba zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha faraja zimegeuka uchunguSasa akisoma maneno kama haya si ndo atazima kabisa hahahaa
Huyo dada ana roho mbaya zaidiWatu mna roho mbaya sana! Mnafurahia matatizo ya watu?!? Mungu awasamehe hamjui mlifanyalo!
Kama amejenga pasipostahili, wacha zibomolewe... mbona ya mama Lwakatare tuliunga mkono humu??Pole sana dada ila kwakuwa kesi ipo mahakamani kikubwa ni kuyatekeleza masharti yaliyotolewa na mahakama ili kuzinusuru nyumba zako
mkuu,..hahaPresha ikishuka utaendelea kuisoma namba
Tunachangamsha baraza kidogo......Daaa nyie watu ....Teh Teh..
watcha waisome nambaaa eeeeHizi ni sheria za nchi zimetungwa na bunge.
Hata ingeshinda chadema lazima wangebomolewa tu.
Nchi haiongozwi kwa jinsi unavyojisikia ,inaongozwa kwa sheria za nchi
Angekua ukawa ningempa eneo kimara ajengeMbona wastara huwa ana majanga xana? hlf sielew watu mnachofurahia kwenye hii thread ni nini, matatizo yapo kwa kila mtu, wastara mbona sio bitch na mwenye show off feki kama akina wema?? lkn bado mnamsema vibaya tu
Yeye ndio asamehewe kwa kujenga sehemu isiyostahili..Watu mna roho mbaya sana! Mnafurahia matatizo ya watu?!? Mungu awasamehe hamjui mlifanyalo!
Kumbe alikuwa na nyumba mbili...kumbe bongo movie inalipa