Wastara Kikaangoni EATV, aibua mapya ya Mange Kimambi, Ali Kiba kumpa msaada na hasimu wake kumnyima

Aliye kusaidia yafaa asifiwe na apongezwe kwa wema wake tena alisaidia bila mapicha picha thats good.
Asiye kusaidia muache na uchoyo wake
After all unaitwa msaada ni kitu cha hiari hiko
Alikiba anaijua sana dini na aliisoma akaielewa
 
Diamond ndiye aliyesema wastara ni tapeli? Wakati imesemekana hakutoa feedback yoyote?

Sipati shida ya wewe kumuita Diamond mchoyo nilipenda niujue ulazima wa yeye kumsaidia wastara.

Kwanini hakuna sababu yoyote ya Diamond kutetewa?
Ishu ya utapeli wastara ana sema kuwa ni watu wa diamond ndio waliongea hivo ila yeye anahisi ndio maneno yale yaka muinfluence domo, ila Diamond personaly hakutoa feedack ya moja kwa moja.

Mimi toka mwanza nimesema kuwa Diamond hana haja ya kulaumiwa na si mlaumu, ila nilimuita mchoyo kama ku lebel tukio alilo lifanya.

Hakuna sababu ya kumtetea kwa sababu hii si kesi na wala haifuti jambo lolote zuri ambalo diamond amewahi kulifanya.

Sema nyie mna nitafsiri kama nime mind sanaa mchongo. [emoji23]
 
Futa kauli yako ya "Uchoyo" jaribu kuelimika basi, kumsaidia mtu kunatokana na kuguswa na tatizo. Hakuna "Uchoyo" katika msaada, Diamond anamsaada mkubwa sana kwa watu waliomgusa moyoni kwake, hawezi kumsaidia kila mtu, kama unahisi kuwa na pesa ndio unamsaidia kila mtu basi angeomba msaada kwa bakhresa. Siwezi kumsaidia mtu ambaye tatizo lale halijanigusa, huyu dada ana lawama sana, anahisi ana haki ya kuchangiwa pesa na Tanzania nzima.
 
Amuache da mange wetu huyu Dada hakurupukagi anachoandika anakuwa kakifanyia research na je mbona alifuta pichabaada ya mange kuandik kuhusu cannula asituletee maigizo yake alete risiti
 
Haijapendeza kumuita mtu mchoyo ati kisa hajamsaidia mwingine.. hii ndicho kiini cha discussion yangu nawe muda wote.

Karibu tule rafiki angu.
 
aliachiwa vitu na nani !!? marehemu sajuki alikuwa ni marioo tu wa huyo demu
 
mkuu hawawezi kukuelewa Hawa ...maana huwa wanaweka u team mpka kwenye mambo yenye tija
 
Haijapendeza kumuita mtu mchoyo ati kisa hajamsaidia mwingine.. hii ndicho kiini cha discussion yangu nawe muda wote.

Karibu tule rafiki angu.
Najua wewe hujafurahia kuskia namuita jamaa hivo. But naomba diamond apendwe ila penye kuzingua asemwe. Mi huwa nakuaminia sana mbona nduhu yangu, na nimefurahi tume exchange mawazo ki ustaarabu.

Ahsante ngoja niwahi kabla huja maliza.
 
Sawasawa!
 
mkuu hawawezi kukuelewa Hawa ...maana huwa wanaweka u team mpka kwenye mambo yenye tija
Hahahah
Asee nu kazi sana mi nikijua hii kesi ijo wazi kabsaa!
Ni shda sana kusahihisha hawa nastaa wenye mashabiki kindaki ndaki
 
hoja zako ni nzito mnooo ..so huwezi kueleweka nakila mtu ..expecialy watu walioamua kukataa makusudi kutoliruhusu jicho la tatu kuweza kufnya kazi Yke ...
 
hahaaaa jamaaa una fact sana
 
Hahaaaaa asante sana ....
 
Najua wewe hujafurahia kuskia namuita jamaa hivo. But naomba diamond apendwe ila penye kuzingua asemwe. Mi huwa nakuaminia sana mbona nduhu yangu, na nimefurahi tume exchange mawazo ki ustaarabu.

Ahsante ngoja niwahi kabla huja maliza.
Kutomchangia mtu ndio kuzingua? Hapana bna.
Mchango sio lazima kumpa mtu ni hiyari ya mtu tu.
Inajulikana siku zote wastara ni team kibakuli. Kama kachangiwa na alikiba inatosha. Diamond hajamchangia mimi pia sijamchangia. Aint a big deal at all
 
am not buying this Mange kabisa aulizie taarifa za wastara kwa jina lake halisi...sidhani.
Huyu Wastara muongo...though inawezekana Mange alipata taarifa za wasatara kupitia mtu flani but sio kwa njia hiyo aliyoisema Wastara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…