akichui
Member
- Jul 23, 2016
- 69
- 47
Nimekuelewa bintiEATV , wastara, Ok!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa bintiEATV , wastara, Ok!
Alikiba anaijua sana dini na aliisoma akaielewaAliye kusaidia yafaa asifiwe na apongezwe kwa wema wake tena alisaidia bila mapicha picha thats good.
Asiye kusaidia muache na uchoyo wake
After all unaitwa msaada ni kitu cha hiari hiko
Ishu ya utapeli wastara ana sema kuwa ni watu wa diamond ndio waliongea hivo ila yeye anahisi ndio maneno yale yaka muinfluence domo, ila Diamond personaly hakutoa feedack ya moja kwa moja.Diamond ndiye aliyesema wastara ni tapeli? Wakati imesemekana hakutoa feedback yoyote?
Sipati shida ya wewe kumuita Diamond mchoyo nilipenda niujue ulazima wa yeye kumsaidia wastara.
Kwanini hakuna sababu yoyote ya Diamond kutetewa?
Futa kauli yako ya "Uchoyo" jaribu kuelimika basi, kumsaidia mtu kunatokana na kuguswa na tatizo. Hakuna "Uchoyo" katika msaada, Diamond anamsaada mkubwa sana kwa watu waliomgusa moyoni kwake, hawezi kumsaidia kila mtu, kama unahisi kuwa na pesa ndio unamsaidia kila mtu basi angeomba msaada kwa bakhresa. Siwezi kumsaidia mtu ambaye tatizo lale halijanigusa, huyu dada ana lawama sana, anahisi ana haki ya kuchangiwa pesa na Tanzania nzima.Point zangu zangu ni
SI LAZIMA diamond amsaidie Wastara. Halafu hakuna haja ya KUMLAUMU diamond. Usichanganywe na nnavo jibu may be tone ime kaa kilawama but believe me silaumu mtu.
Lakini pia SI LAZIMA tumtetee diamond kwenye ishu iliyo wazi kama hii. Angeweza kabsaaa kutoa msaada.
Haijapendeza kumuita mtu mchoyo ati kisa hajamsaidia mwingine.. hii ndicho kiini cha discussion yangu nawe muda wote.Ishu ya utapeli wastara ana sema kuwa ni watu wa diamond ndio waliongea hivo ila yeye anahisi ndio maneno yale yaka muinfluence domo, ila Diamond personaly hakutoa feedack ya moja kwa moja.
Mimi toka mwanza nimesema kuwa Diamond hana haja ya kulaumiwa na si mlaumu, ila nilimuita mchoyo kama ku lebel tukio alilo lifanya.
Hakuna sababu ya kumtetea kwa sababu hii si kesi na wala haifuti jambo lolote zuri ambalo diamond amewahi kulifanya.
Sema nyie mna nitafsiri kama nime mind sanaa mchongo. [emoji23]
aliachiwa vitu na nani !!? marehemu sajuki alikuwa ni marioo tu wa huyo demuWastara anaonekana mlalamishi na asie na shukrani sijui kalelewaje? Kama kufiwa yeye sio wa kwanza tena ashukuru Mungu aliachiwa hata hivyo vitu vichache, kuna wanawake wanashida sana kuliko hata yeye lakini hawalalamiki na watoto wao wanawalea hivyo hivyo. Suala la kuchangiwa ni hiari ya mtu,,,,wangapi wanakufa hata hela ya panado hawana ,kuongea yupi kachanga na yupi hajachanga sio sawa,,,maana huwezi kupangia bajeti pesa iliyo mfukoni mwa mtu mwingine. Ina maana ndugu zake wote walimchangia?
Kila mtu angeanika shida zake pasingetosha.
Anyway ni mtazamo tu,,sina timu mie
mkuu hawawezi kukuelewa Hawa ...maana huwa wanaweka u team mpka kwenye mambo yenye tijaHuwezi jua niko wap nnavo andika au nafanya nn i think msg yangu ume ielewa regardless of errors.
Yes! Especialky kama ana uwezo wa kusaidia. Ni mchoyo ila si lazima asiwe mchoyo.
Ukisoma hiyo stori fresh utagundua Diamond alifanya uchoyo. But na mimi namshauri wastara asi concentrate na alo mnyima msaada kwani si lazima kusaidiwa. A focus kwa alo mpa msaada.
Najua wewe hujafurahia kuskia namuita jamaa hivo. But naomba diamond apendwe ila penye kuzingua asemwe. Mi huwa nakuaminia sana mbona nduhu yangu, na nimefurahi tume exchange mawazo ki ustaarabu.Haijapendeza kumuita mtu mchoyo ati kisa hajamsaidia mwingine.. hii ndicho kiini cha discussion yangu nawe muda wote.
Karibu tule rafiki angu.
Sawasawa!Najua wewe hujafurahia kuskia namuita jamaa hivo. But naomba diamond apendwe ila penye kuzingua asemwe. Mi huwa nakuaminia sana mbona nduhu yangu, na nimefurahi tume exchange mawazo ki ustaarabu.
Ahsante ngoja niwahi kabla huja maliza.
Hahahahmkuu hawawezi kukuelewa Hawa ...maana huwa wanaweka u team mpka kwenye mambo yenye tija
hoja zako ni nzito mnooo ..so huwezi kueleweka nakila mtu ..expecialy watu walioamua kukataa makusudi kutoliruhusu jicho la tatu kuweza kufnya kazi Yke ...Fuatilia tuliko toka na binti kiziwi
Mimi comment yangu ilikuwa ni hakuna haja ya kumjadili diamond.
Ila nili imply diamond hakutaka kumsaidia wastara. Na wewe nakuuliza
Unadhani Wastara alikurupuka tu kusema Diamond hakumsaidia?
Mimi sjui mfuko wa diamond una shi ngap ila wewe unajua kias ganj Wastara alimuomba diamond?
Unadhani Wastara hana akili hadi amuome diamond pesa nje ya uwezo wake?
Nilimaliza kwa kusema msaada si lazima kwa hiyo diamond haya kama aliminyia kutoa msaada its okey.
hahaaaa jamaaa una fact sanaSasa braza unakosea mimi ntamlaumuje Diamond kwenye matumizi ya pesa zake? Nime eleza uhalisia tuu tena kiroho safi bila lawama, msaada ni hiari.
Tunashindwa kuelewana na nyie kwakuwa mnataka sasa mumtetee diamond eti alishindwa kutoa msaada eti hana hela. Tunamuongelea Diamond, msanii mwenye p0esa kuliko wote Tanzania haimek sense kumtetea.
Pili Diamond hakumwambia Wastara kuwa yeye hana hela, kwa hiyo tusiwe wasemaji wa Diamond.
Tuache kutetea upuuzi.
Mimi simlamumu Diamond hata kidogo. Iakini hainizuii kuongea uhalisia wa tukio.
Hahaaaaa asante sana ....Namuita diamond mchoyo kwa sababu sioni sababu ya yeye kutompa msaada Wastara eti kisa ni tapeli, sasa wewe mpaka Rais kamsaidia utamsemaje ni tapeli.
Unawekaje probablity ya diamond kuto kuwa na hela wakati yeye hakusema kuwa hana hela? Hiyo pribabilty ndio haimek sense.
Japo sioni shida ya mimi kuwa na akili sawa na za Wastara, Kusema nina akili sawa na za Wastara ndio tunarudi kule kule unaongea non sense kwa sababu unatakiwa uwe na at least ushahid wa kisayansi kulinganisha akili zetu.
Labda na wewe nikuulize unapata shida gani moyoni nikimuita Diamond mchoyo? Jambo ambalo ni kweli.
Sijasema ni mchoyo wa forever ila alifanya tukio ka kichoyo na hakuna sababu yyte ya kumtetea.
[emoji23][emoji23][emoji23]DIAMOND ASIPOMSAIDIA MTU NI KESI NI HABARI JAMAN DAAH
Kutomchangia mtu ndio kuzingua? Hapana bna.Najua wewe hujafurahia kuskia namuita jamaa hivo. But naomba diamond apendwe ila penye kuzingua asemwe. Mi huwa nakuaminia sana mbona nduhu yangu, na nimefurahi tume exchange mawazo ki ustaarabu.
Ahsante ngoja niwahi kabla huja maliza.