Wasudan wajiuliza kuhamishwa raia wa nje kuachwa wao wapigane kuna hekima gani

hawakuishia hapo Serikali ya Sudan ilifadhiri seleka waliopeleka vita mpk leo huko afrika ya kati pia za chini chini , Sudan ndio walikuwa wanafadhiri vita nchini Ethiopia kwa kuwapa silaha TPLF , hao wasudan na wachad ni wachochez wa udini na vita baran afrika
 
ndio maana wanawacha mpingane akili kisoda , Ukraine imevamiwa , Sudan wanapigana watu wa nchi moja , huu undez wenu ndo unafanya bara hili halitokuja kuwa na aman sabab hamtak ukweo ujulikane
 
Urusi na Ukraine sio vita vya wenyewe kwa wenyewe(civil war), ni uvamizi wa taifa moja kwa taifa lingine.
 
Urusi na Ukraine sio vita vya wenyewe kwa wenyewe(civil war), ni uvamizi wa taifa moja kwa taifa lingine.
Wewe unasema...
Dunia ya magharibi inatuaminisha hivyo.....

Putin na makamarada wenzake wanaamini UKRAINE ni eneo la Urusi...TUSIKESHE SANA HAPA [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
ndio maana wanawacha mpingane akili kisoda , Ukraine imevamiwa , Sudan wanapigana watu wa nchi moja , huu undez wenu ndo unafanya bara hili halitokuja kuwa na aman sabab hamtak ukweo ujulikane
We nae ni wmiongoni mwa wapumbavu walewale.

Tofauti yako na huyo yehodaya wewe hauna haya wala aibu hata kidogo.

Mrusi(mkristo)kamvamia myukreini(mkristo) wote ni wakristo.

Tofauti hiko wapi tukiangalia kwa jicho la udini?

Jeshi la nchi ya Ukraine(wakristo) limeanza kupambana na waasi ambao ni wakristo wa majimbo ya Luhansk na donetsk katika mkoa wa Donbas wanaotaka kujitenga tangu mwaka 2014.

Hao wote ni wakristo na nchi ni moja hila kwa upumbavu wako umekaa kimya ujawatoa akili.

Wale waprotestant na wakatoliki waliotwangana Ireland ya kaskazini miaka ya 1963 nao ni waislamu?

Pumbavu.
 
Wasudan wanalipia gharama za kuongozwa na majenerali wajinga.
 
Siyo kila watu ni wa kutekwa tu kirahisi...
Ulishawahi kusikia kilichotokea Entebbe huko nyuma pale Iddi Amin Dada alipokubali kuhifadhi mateka wa Israel waliokuwa mikononi mwa magaidi wa Kiarabu?!
Kumbe katika operesheni ile Israel ilisaidiwa na Misri na Kenya. Misri ilishuhudia mazoezi ya jeshi la Israel kwa ajili ya uokoaji kule Kampala na haikusema kitu juu ya kwamba nchi hiyo ilipigwa na Israel mwaka 1967, Na Kenya nayo ilijua ndege za Israel zitakuja kutia mafuta pale kabla kutua Uganda, Kwa kutiwa fikra mbaya tuchukiane waafrika hatupendani wala hatusaidiani, Hiyo sifa kubwa ya jeshi la Israel wala isingekuwepo kama Misri ingetoa masharti yake na Kenya ikaidai Israel isitishe uvamizi wao kule Palestina.
Lakini Jommo Kenyatta alikwishatiwa fitna akamchukia jirani yake Idi Amini Dada kwa faida ya mataifa yasiyokuwa na utu wala ukweli katika mahusiano yao na wenzao.
 
Wewe unasema...
Dunia ya magharibi inatuaminisha hivyo.....

Putin na makamarada wenzake wanaamini UKRAINE ni eneo la Urusi...TUSIKESHE SANA HAPA [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Putin wa wap huyo ? lin alisema Ukraine ni sehem ya Urusi , hz story mnatungaga huko vijiwen msiwe mnakuja nazo humu , Putin aliivamia Ukraine ili awasaidie majimbo ya mashariki kujitenga ila alipokuta utelezi akajisahau akateleza mpk kyiev ila hakuwai sema Ukraine ni sehem ya Urusi
 
upeo wako mdg , unataka fananisha war na civil war , Rudi std 7 ukasome upya , Urusi kaivamia Ukraine , ni nchi mbili tofaut hazifanani kila kitu siasa , uchumi hata kijamii pia , Sudan ni nchi moja , WAAFRIKA KWA HIZI AKILI , AMANI NA MAENDELEO MTAYASIKIA KWENYE BOMBA LA SINDANO
 
ila waafrika upeo wetu mdg sana , Unahisi kisa Kenya na Misri kukataa kuwapa support Israel bas basi ndo operation isingefanyika , mtizamo wao unaonesha kabisa jinsi waafrika tulivyo na upeo mfupi hasa tukikutana na changamoto ndogo ndogo , kiufupi Israel angetafuta plan B , ni ngumu sana kuwaacha watu wake hass ndan yake walikuepo watu muhimu kwa serikali ya Israel
 
Serekali ya Taanzania kupitia wizara ya mambo ya nje yaamua kuwaondosha wanafunzi wote wa kitanzania wasomao nchini Sudan kutokana na hali ya vita vinavyoendele nchini humo, na kwa kua safari za ndege zimesita wanafunzi hao wataanza safari yao leo wakipitia boda za nchi hio kuelekea nchini Ethiopia kwa usafiri wa basi, wakiwasili Ethiopia kwa ushirikiano wa balozi wa Tanzania nchini humo watapanda ndege kurudi nyumbani, tuwaombee dua watoke salama na wafike nyumbani Tz salama
 
Kwamba unamaanisha hata hapa kwetu wasiojulikana ipo siku watafanya yao?tuombe tusifike huko
 
Soma vizuri nilichoandika....

"Kuamini" si kusema....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…