Wasudani weusi Waislam waliwasaidia waarabu kuwafuta wasudan wasio Waislam leo hii waarabu wanakanyaga wote

Makafiri wote hawana rinder hiyo ni amri kutoka kwa yesu kama unabisha mkague aliekuzaa uje unipe mrejesho humu
Kijana Fake I'd inakupea confidence za kijinga eeh?

Hivi huko Madrasa ndio huu ujinga mnaofundishwa au ni hulka na maelezi ya hovyo hovyo iliyopewa na wazazi wako?
 
"mpe mwafrika bunduki wataanza kuuana wenyewe kwa wenyewe,hawana jema"p.w Botha
waarabu wanaua weusi sudan mkuu , ni kama wale wasiotaka muunganiko , utengano ukitokea wale wenye muonekano wa muscat waanze kuchinja wale wenye muonekano wa burundi
 
Vita za Sudan ni kati ya RSF NA RAF.
Haihusiani na rangi au kabila.
Embu muachage kuropoka baada ya kushiba makande.
Mkuu kosugi,

upande wa northern hawakulizishwa na adis ababa agreement. Hivyo raisi Nimeiry mwaka 1983 akatangaza sudani ni taifa la kiislamu.
Katika Adis ababa agreement southern part ilipewa autonomus region ambapo % kubwa ni non-islamic.

Lakini pia raisi Gaafar nimeiry alijaribu kuchukua umiliki wa sehemu za mafuta kitu kilichosababisha vita. Southern sehemu kama Bentiu, upper nile, Adar oilfileds n.k ni sehemu potential.

Ishu ya udini pia inachangia mkuu japo kuna sababu nyingine, sababu northern ni Arabic na southern ni non-muslim majority.
 
Ume copy na paste maneno sijui yametoka wapi!?

Katika uislam Allah hakutufundisha kueneza dini kwa mapigano,bali katuhimiza KUITETEA DINI YAKE.
Ukisema kueneza dini kwa Upanga inamaana ni sawa na kulazimisha dini.
Na ARTICLE YOTE ULOLETA inapingana na Qur'an 2;256.




Jihad maana yake ni kufanya jitihada eidha kwa nguvu au pesa.
Na katika jihad kuna jihad ya mali na vita.
Na sheria za Jihad ya vita ni zifuatazo;
1)Hakuna kuua wanawake,watoto na wazee.
2)Hakuna kuharibu mji.
3)Hakuna kuharibu mali,mazao,miti.
4)Hakuna kupigana na asiyeshika silaha.
Asa unaposema dini imeenezwa kwa Upanga inamaana kila mtu alishikiwa panga na kuulizwa kama amekubali uislam au laaah,huo ni uongo.
Jiulize maswali haya mawili ana ulete majibu;
1)Kama uislam umeenezwa kwa upanga kwanini Muhammad aliruhusu mkataba na wayahudi??
2)Kama uislam umeenezwa kwa upanga kwanini Muhammad aliweka mikataba na WARUMI(ROMAN EMPIRE)?
3)Kama uislam ulienezwa kwa upanga kwanini kipindi waislam wanateswa Mecca Mungu aliwakataza wasipigane ila aliwaamuru wahame??

Endeleeni kuokota articles za uongo.
 
Mkuu hukusoma mada vizuri.
Jamaa yako anakwambia SASA HIVI SUDAN KASKAZINI WEUPE WANAUA WEUSI.
Huu ni uongo,vita ya kaskazini sasa hivi ni ya madaraka kati ya RSF na RAF.
Kama ingekua wanauliwa watu weusi tu wale wakimbizi wasomi WAARABU walokuja Tanzania wasingekuja
 
Hizi nyuzi za kidini zingepigwa marufuku humu JF. Hakuna dini yoyote chini ya jua isiyo na kasoro. Historia ya Katoliki imejaa damu tupu. Na hadi leo wanahusishwa na mambo mengi ya kikatili. Anzia vita ya Biafra hadi mauaji ya 1994 huko Rwanda utaona RC ilivyo kwa upande mwingine.
 
Wewe unauwalakini, Nitajie mtu mmoja tu mwisilam mweusi mwenye ukwasi unaousema wewe

Mweusi mwenye ukwasi alikuwaga Mengi tu, wengenewe wote ni makabakachori
Ona huyu mbuzi.
Nenda Tanga utakutana na matajiri weusi wakitanga waislam kibao tu.
Nenda Zanzibar utakutana na Wazanzibari-WANYAMWEZI kibao tu wana ukwasi.
Mmiliki wa shule ya Daarul Arqam ni Mpare japo kafariki.
Unajua ile shule inaingiza mamilioni mangapi!?
Huo ni mfano tu.
Mkiitwa matahira mnakataa.
 
Hawa WAGALATIA NDIO HUHUSISHA DINI ZA WATU MKUU.w
 
Nianze na utata wa Sudan kwanza.
Ushahidi wa vyombo vikubwa vyote vya habari na UN huu hapa kuhusu tatizo la Sudan.
Halafu nitarudi kuhusu JIHAD NIMALIZE UTATA.
 
Ukishakua mfuasi wa mudi chini ya jina la mnyaazi unakua na matatizo ya akili ya kudumu hadi siku unakufa, alafu hao ndio wanajiita dini ya amani dini ya kweli dini ya haki shenzi kabisa
 
Yani wewe hata historia hujui. Nimecopy na ku paste yes lakini ni historia iliyothibithishwa. Tafuta wanahistoria wakupe shule uelimike
 
Yani wewe hata historia hujui. Nimecopy na ku paste yes lakini ni historia iliyothibithishwa. Tafuta wanahistoria wakupe shule uelimike
Naijua historia KULIKO HUO UTUMBO ULIOLETA HAPA.
Wewe umefanya C&P mie nimesoma naelewa mlolongo wa uislam ulipotokea mpaka ukafika ulipofika na kwanini walipigana.
Nimekuuliza maswali hakuna ulilojibu hata moja.
Jibu hayo maswali huko juu kwanza.
 
Allah ana dini?
 
Kaka, Janjaweed ndio Hawa RSF
Sio RSF wote ni Janjaweed.
Wapo waliotoka na kuna waliobaki kutaka kuiendeleza Janjaweed.
Ndio RSF ikaundwa kupigana na janjaweed ya zamani.
Utata umekuja RAF ilipotoa waraka wa kuivunja RSF.
 
Botha alikuwa mbaguzi tu.
Sasa hivi wa Ukraine, warusi, wa yahudi, wafilist, nk, wote ni weupe pee.
Angalau wenzetu wana sababu ya kupigana.
Sisi huwa tunauana kwa upumbavu ambao kama tungekaa mezani dakika 10 tu ungeshatatulika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…