Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

Wamejaa kila sehemu wanaishi kama ng'ombe tu maporini huko
Ng'ombe siyo wanyama wa porini, wanafugwa, halafu mazingira ya porini ni ya kitalii na yanafaa kwa afyà. Huwezi kufugà ng'ombe mjini.
 
Inasikitisha sana,
Haisaidii chochote zaidi ya kuongezeka umaskini tu.
Miafrika ndivyo tulivyo mkuu. Tukitoka hapo tunawalaumu wazungu. Jiulize huu ni mwaka 2024 je wakati mzungu anakuja hapa miaka ya 1870 huko babu yake huyu alikuwa na mawazo gani?
 

Bebe usatile ntwe?. Jaga kwa nfumu akwinhe bugota urye na mashi ga nyemu ukupona busatu.
Hata wewe unaweza kuwa msukuma. Lugha uJifunze uingie na kundi la bagalu au bageka ucheze ngoma ya mbina karibu sana😂🤣
 
W
Watu wote tunataka kuzaa, ila tayari wasukuma ni wengi sana.
Huo Wingi wao unakuja Kwa kuzaa vitoto 2,3 au 4? Acheni ujinga , Wasukuma wanazaa kiwango Cha chini Cha Watoto ni 5

Pili hawa wanajua kuzitafuta na kulinda Mali.

Ukiolewa upande huo mume akafariki au vinginevyo ukae ukijua wewe mwanamke huna Haki ya chochote ukizingua watakuchinja
 

Rekaga ubuhwahwa. Basukuma batasinzaga banhu 😂
 
Ni kweli yaan wasukuma ni wakalimu Sanaa..

Kuna dogo mmoja anatokea iliyo Sasa mkoa wa simiyu.

Alikuja kuanza chuo dar es salaam na ndio ilikuaga first time kuja mjini yaan waliuza ng'ombe ili yeye aje asome hakua amepata boom.

Kufika dar usiku saa wa 5 sijui saa 6 ubungo bus terminal akawa ame enda chuo direct akaambiwa atafute hifadhi arud kesho asbh

Akaanza kutembea Ile njia ya hapo mwenge kuelekea coca-cola road anatafuta guest house Yale maeneo ni industrial areas baada ya kutembea Sanaa

Akafika sehemu akakuta kulikua na kiduka na makazi hapo ni Kama Saba usiku akaenda akasalimia akaulizia guest akaambiwa hayo maeneo guest zipo mbali Sanaa

Mwenye duka akasema Cha kukusaidia ngoja nikuletee ndugu yako akaenda mwita mbaba mmoja ☺️😊 KIKAPIGWA PALE KISUKUMA SANAA BAADAE kidogo yule baba akasema twende wakaenda kwake akamwonyesha chumba yule mbaba alikua na mtoto wa form 4 yule mbaba akamwambia mwanae NIMEWALETEA MSOMI MWENZENU.

Jamaa akapata hifadhi mpaka kukamilisha Mambo ya chuo kisa TU kukizungumza vyema kisukuma
 
Basukuma banhu bawiza gete.
Basukuma balimi ba mapo na muchele
Basukuma balimi ba maliwa
Basukuma balimi ba pamba
Basukuma balena ng’ombe, mburi
Basukuma balena nhoro ne ngoko

Basukuma babini ba mbina
 
 
Basukuma banhu bawiza gete.
Basukuma balimi ba mapo na muchele
Basukuma balimi ba maliwa
Basukuma balimi ba pamba
Basukuma balena ng’ombe, mburi
Basukuma balena nhoro ne ngoko

Basukuma babini ba mbina
 
Kweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana.
Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
Tatizo wamejazana kama manamba Kwa Tanzania Ukitaka kibarua cheap unamchukua mrundi au msukuma
 
Miafrika ndivyo tulivyo mkuu. Tukitoka hapo tunawalaumu wazungu. Jiulize huu ni mwaka 2024 je wakati mzungu anakuja hapa miaka ya 1870 huko babu yake huyu alikuwa na mawazo gani?
Huko duniani watu leo wanajisifia kufanya vumbuzi, kwenda mwezini na vipaji vya sanaa, michezo sisi huku kwa kina FaizaFoxy bado tunashinda na kujisifia kuzaana na kujaza ardhi!🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…